Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
-
- #21
Sasa ndio ujue lipo et uje ujaribuHili pishi niliwahi ona mtu anapika, siku note km ni lipo kweli, nilihisi ni yeye na kujiongeza kwake.
Leo naona kwako hapa, nyiee mtakuja mpike na visivyopikwa, wallah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema hakuna migomba tu uku ππHuyu kuna siku atatupikia nyama na foil ya mgomba
π π π π kwakweli ata mi nasema umezidi we utaoa kweli kwa ufundi huu jmnAsante ila wana jf wananichamba kuwa nimezod sasa ππ
Nitao kabisa we subiri uone ππ π π π kwakweli ata mi nasema umezidi we utaoa kweli kwa ufundi huu jmn
Hata mayai ya kukaanga, atatumia jani la mgomba huyu. LolHuyu kuna siku atatupikia nyama na foil ya mgomba
Hahaaaa mkuu bhna poa we tupe madini tu ya misosi.Sema hakuna migomba tu uku ππ
Aaah wee, kupeana kansa huku mbona, hamuogopii?Sasa ndio ujue lipo et uje ujaribu
Foil ukiifunga vizuri ni sufuria kabisa.Sasa hii ni kuzidi, mbna kupeana kansa asubuhi asubuhi, Lol
Foil iivishe nyama kweli? Aaah wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tupo hapaaa na kama kawa tutategemea tuone kadiNitao kabisa we subiri uone π
Inaivisha hata mguu wa mbuziSasa hii ni kuzidi, mbna kupeana kansa asubuhi asubuhi, Lol
Foil iivishe nyama kweli? Aaah wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Duuh nyie hamuogopi kansa? Mie hata ikiwa inafungwa kwa chips vile huwa nawaza sana,Foil ukiifunga vizuri ni sufuria kabisa.
Au nikachukue form ya ubunge ππHahaaaa mkuu bhna poa we tupe madini tu ya misosi.
Kifo ni kifo tuAaah wee, kupeana kansa huku mbona, hamuogopii?
Mwambie uyo hajui ππFoil ukiifunga vizuri ni sufuria kabisa.
Sasa olewenu msichange ππTupo hapaaa na kama kawa tutategemea tuone kadi
Hajui et ππInaivisha hata mguu wa mbuzi
Hahahaaaa mkuu siku shauri kabisa katika hizi siasa za kijan na njano πAu nikachukue form ya ubunge ππ
DR HAYA LAND anasema ana miaka mitano hajagusa ugaliUsile na ugali maana ugali nasikia ni chakula cha ng'ombe! Ila wanaJF.