Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,828
- 9,546
- Thread starter
- #41
Mi ujumbe wako tu ndo umeniacha hoi MACHONI ULIONYESHA WEMA KUMBE MOYONI SEPETU
Hahaha bas sawaa
LIKE Niku ADD
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ujumbe wako tu ndo umeniacha hoi MACHONI ULIONYESHA WEMA KUMBE MOYONI SEPETU
Tatizo ukiukosea mwanzo tu wakati wa kuweka unga,hayo mabuda hayaondok...yaani ukiwa unaweka unga unatakiwa unachanganya fastafasta mkono ukilegea tu unakula mabuda!!!Lakini kuna watu wanapenda ugali wa hivo dia mgumu na wenye muonekano huo!!
ha ha ha lol wanasema ukitaka kucheki ugali ka umeiva upige ukutani ukishika ujue kitu na box!!
ha ha ha lol wanasema ukitaka kucheki ugali ka umeiva upige ukutani ukishika ujue kitu na box!!
Hahhahaha na ukishakua huujulii mtu inakubidi ujifanye mi napenda wa hivi lol...sababu ndo kila siku unaukosea usemeje...
Mi sijawah kupika ugali lkn hata siku nikipika afadhali uwe uji kuliko hivi
Hahhahaha na ukishakua huujulii mtu inakubidi ujifanye mi napenda wa hivi lol...sababu ndo kila siku unaukosea usemeje...
Mi sijawah kupika ugali lkn hata siku nikipika afadhali uwe uji kuliko hivi
Huo una bounce na kukurudia bana :lol::lol::lol:
Hahhahaha na ukishakua huujulii mtu inakubidi ujifanye mi napenda wa hivi lol...sababu ndo kila siku unaukosea usemeje...
Mi sijawah kupika ugali lkn hata siku nikipika afadhali uwe uji kuliko hivi
Itabidi uchukue somo hapa mamaa!!Hahhahaha na ukishakua huujulii mtu inakubidi ujifanye mi napenda wa hivi lol...sababu ndo kila siku unaukosea usemeje...
Mi sijawah kupika ugali lkn hata siku nikipika afadhali uwe uji kuliko hivi
we fata hizo step hapo juu mkuu utauweza tu ni simpo sana
LIKE Niku ADD
uji uliochemka vizuri na ugali ukasongwa ipasavyo hauwez kuonyesha mipasuko/ mashimo/ o gullies km hv
ugali hujishika hata ukimwagika chini haushiki mchanga
n.b umeacha kueleza na aina za upikaji ugali mf
ugali wa bia- huu huwa mtekemteke o soft flan km wa mama mzazi
nguna- huu huwa mgumu kias chake na hukamatika hasa mkononi bila kunasa nasa,,,,faida ya huu hukufany kuwahi kushiba kwa kuwa uko heavy ukicompare na wajuu,matonge kadhaa tu ushashiba
ugali unavutia zaid ukila na mboga zifuatazo,
samaki wa kukaanga na mboga za majani,hata wa kupika pia makin tu
nyama rost,inavutia km añayopikaga mama rambo pale tanesco magomen
dagraà wawe wa kigoma o wa mwanza,ila wapikwe o wawe rosted kiyakinifu pemben tembele lina ndimu kwa mbali
dagaa mchele km aliyokuwa anakaanga mzee abdala pale karibia na mwembechai na kachumbari matata
na mboga nyinginezo