Jinsi ya kupika UGALI Fasta Fasta (Full Steps)

Huu ugali wa kwenye steps Na wa kwenye picha mbona hauendani kaka?

Hapo nimetoa mfano tu Mkuu kwa fasta fasta ila we unaweza ukau-change usiwe kama niliouweka hapo juu Kwa kupunguza unga wakati unaanza kuusonga

LIKE Niku ADD
 
Last edited by a moderator:

Hiyo sahani uliuotumia imenikumbusha mbaali sanaa daa hapo zamani ilikuwa raha sana.
 
Haujawahi kupika ugali?sasa nikija kwako nitakuwa nakula nini na mie chakula changu ugali???🙁😀

Hahahhahha utakula vyengine vya ki nyumbani lol. ...utajiramba vidole hadi vikatike...
Ila si km sili ugali...jana tu nimetoka kuupiga ila mpishi si mimi
 
Hujawahi pika je unakula ugali?

Sanaaa jana nimeupiga na mchicha +kibua ...safiii
Ukweli naona na najua unavyopika ila mm tu kukaa nikapika sijawahi sababu kuna wataalamu zaidi yangu nawaacha wafanye kazi yao.. siku wakiwa hawapo labda ndo ntaisoma namba...lol
 
Sanaaa jana nimeupiga na mchicha +kibua ...safiii
Ukweli naona na najua unavyopika ila mm tu kukaa nikapika sijawahi sababu kuna wataalamu zaidi yangu nawaacha wafanye kazi yao.. siku wakiwa hawapo labda ndo ntaisoma namba...lol

Mie kusonga wa kwangu tu nasonga bibi nkala ukanipata ila ukizidi wa watu wa 3 hapana nguvu izo sina siku nkajitia hashuo namwambia mama aniachie me nsonge alafu ulikua wa nyumba nzima lol nliishia njiani
 
Somo zuri na linaeleweka kirahisi sana,pia huku niliko north America huwatunaletewa unga wa sembe tokea South America nafikiri ni nchi ya Colombia ambayo ni wakulima wakubwa sana wa mahindi sisi ni opposite yenu,tunaletewa unga ambao uko pre-cooked yaani wewe unachohitaji ni maji ya moto pamoja na mwiko wa aina yeyote ule unatia unga wa kutosha ndani ya sufuria la maji yanayochemka na halafu unaanza kuchanganya na kuuzunguusha,dakika moja tuu utaona ugali tayari umeisha tokea,utaalamu wa kuufanya hivyo ni vizuri kama mtu ataupeleka nyumbani ili kuwasaidia watu wengi hususani wale wanaoishi peke yao.Mr.Murage
 

Mbona hauna shape,na una scarface,huo sio usongaji wa ugali,ugali ukisongwa ili ujue umeiva hutoa presha na kutoa harufu ya kuungulia halafu unakuwa hauna makovu kama huu uliotuletea hapa,unatakiwa uwe smooth bila mipasuko,yafaa upewe talaka kwa kutuletea ugali wa kisukuma humu JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…