Jinsi ya kupika UGALI Fasta Fasta (Full Steps)

Jinsi ya kupika UGALI Fasta Fasta (Full Steps)

My way:
chemsha maji kwa heater
weka maji (kiasi) moto kwa sufuria iliyopo jikoni
weka unga kwenye sufuria na acha kidogo uchemke kabla ya kuanza kukoroga/kusonga
anza kusonga, na kisha ungeza maji moto kidogo ili kulainisha, kisha endelea kusonga kwa dakika 5 au zaidi kidogo

Dah......I miss those days! Huku dagaa wangu wapo pembeni.
 
Print hii weka pembeni tayari kwa kuifanyia kazi ili nawe uwe mahiri kwenye idara hii pia.

Ah msongaji mahiri nnae napika mboga tu nakaa mguu juu nasubiri ugali usongwe ila ntajifundisha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie niliambiwa unakata size ya tonge lako na kuuweka mkononi huku umekunja ngumi kwa nguvu. Ukiweza kuhesabu 1 mpaka 10 bila kuungua na hivyo kuifungua ngumi yako basi ni mbichi na kama umeiva hufikishi 10. Zoezi lifanywe mara tu baada ya kuusonga.

ha ha ha lol wanasema ukitaka kucheki ugali ka umeiva upige ukutani ukishika ujue kitu na box!!
 
Huu ugali ukiula..ukati gogo wiki nzima na siku ukikata gogo itabidi wakuchome sindano za ganzi makalioni...maana utakuwa kama unajifungua leba.....
 
Mie niliambiwa unakata size ya tonge lako na kuuweka mkononi huku umekunja ngumi kwa nguvu. Ukiweza kuhesabu 1 mpaka 10 bila kuungua na hivyo kuifungua ngumi yako basi ni mbichi na kama umeiva hufikishi 10. Zoezi lifanywe mara tu baada ya kuusonga.
Haaa hio sijaribu mikono yenyewe softisofti hii....maana ukitoka jikoni tu wakati wakuula kila ukikata tonge wapuliza na vidole!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haya bana usiharibu softness ya mikono yako, bora upige ukutani tu 🙂🙂

Haaa hio sijaribu mikono yenyewe softisofti hii....maana ukitoka jikoni tu wakati wakuula kila ukikata tonge wapuliza na vidole!!!!
 
Mi ujumbe wako tu ndo umeniacha hoi MACHONI ULIONYESHA WEMA KUMBE MOYONI SEPETU
 
Mie ugali siwezi kusongea mbanio sijui kwanini tu ila huo ugali duuuh!!!
 
Back
Top Bottom