Jinsi ya kusimamisha matiti yaliyolala

Jinsi ya kusimamisha matiti yaliyolala

Mkuu kwani wewe mpaka umri huo haujaanza kula chakula cha kawaida bado unategemea maziwa ya mama?
Kwanini wasikuzoeshe maziwa ya ng'ombe?

Maskini yaani mpaka unamiliki smartphone na jf unaijua bado hujaanza kula vyakula vya watu wazima?

[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vipi kuhusu makwinyazi ya usoni umri unapowatupa mkono, wanatakiwa watumie nini mjomba?
 
Mkuu kwani wewe mpaka umri huo haujaanza kula chakula cha kawaida bado unategemea maziwa ya mama?
Kwanini wasikuzoeshe maziwa ya ng'ombe?

Maskini yaani mpaka unamiliki smartphone na jf unaijua bado hujaanza kula vyakula vya watu wazima?

[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sipati picha na unavyopambana na hili somo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahahahaaaaaa hili somo halinihusu maana sijafanikiwa kunyonyesha voluntarily or accidentally [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu niache mie
 
Ahahahaaaaaa hili somo halinihusu maana sijafanikiwa kunyonyesha voluntarily or accidentally [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu niache mie
Nimekupata sana
Siku mambo yakikamilika usisite hata kunitag tupeane moyo sio vibaya maana na mimi bado nipo nipo pia
 
Back
Top Bottom