Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

FAnya Haya: Jitahidi Kuacha kuangalia scary movies, jitahidi kabla ya saa tatu usiku uwe umeshakula na chakula kiwe laini... jitahidi kulala masaa mawili au zaidi baada ya kula, jitahidi kulala kabla ya kuanza kusinzia hovyo, jitahidi kuomba ulinzi wa mwenyezi mungu kabla ya kulala... jitahidi kuoga wakati wa usiku masaa mawili kabla ya kulala.....
 
Nataka kujaribu mkuu.lakini nitaanzaje kupaa na kuzunguka.? Na naweza kuona hata kusikia watu majumbani au disco.? Na kuna uwezekano wa kuongea na wafu.? Ina maana huko nakuwa peke yangu .?

Mkuu Kuongea Na Wafu Huwezi Zaidi Utaongea Na Majini Yenye Sura Zao... Hii Ni Astral Projection Mkuu Kuna Mengi Ya Faida Zaidi Ya Kuongea Na Wafu Na Kwa Nini Uongee Na Wafu? Their Rest Why You Wanna Disturb Them!?
 
Huu ni ulozi,
Huu ni uchawi
Huu ni ushetani'
Mungu atusaidie kushindana na nguvu hizi chafu za ki-freemason katika ulimwengu wa roho

Amina... Is That All You Like To Hear.?

"Rakims"
 
Shukran kwa ushauri wako.nitafatilia.lakini nna kazi mana mimi usingizi kuja ni tabu sana.na wakti mwengine huwa nahisi kuna kitu ninacho ila sikijui na nahitaji kitu alkini sijui ni nini .nasumbuka na mwisho huwa ni kilio. Na mda mwingi mimi huwa ni mpweke sana.!
 
Mkuu Kuongea Na Wafu Huwezi Zaidi Utaongea Na Majini Yenye Sura Zao... Hii Ni Astral Projection Mkuu Kuna Mengi Ya Faida Zaidi Ya Kuongea Na Wafu Na Kwa Nini Uongee Na Wafu? Their Rest Why You Wanna Disturb Them!?

Mkuu., majini na sura zile za kutisha.? Hapana hayana mchezo mwema yale.! Wafu kwa vile sikumuona mama yangu....wala picha namtamani walau nimuone nasali lakini wapi.! Na napenda kujua zaidi kuhusu hii thread.usikasirike maswalini mengi mkuu.!
 
Mmh...haya lete faida zake na undani wake tuelimike mkuu...
 
Mkuu., majini na sura zile za kutisha.? Hapana hayana mchezo mwema yale.! Wafu kwa vile sikumuona mama yangu....wala picha namtamani walau nimuone nasali lakini wapi.! Na napenda kujua zaidi kuhusu hii thread.usikasirike maswalini mengi mkuu.!

basi kama ni hivyo utamuona tu wala usijali hayo majini ukiyafuata maeneo yao utayakuta.....
 
Huu ndio ushetani...mimi sio hata iweje nyambavu.
 
Aliyelielewa hili somo na akafanikiwa kutoka nje ya mwili alete ushuhuda hapa, vipi ktk hali hiyo unaweza kushika kitu kikashikika ama kusafiri umbali na vip ukitaka kurudia hali ya kawaida inakuaje? Kwako Rakims
 
Last edited by a moderator:
mnamkosea mungu maana njia hii ni ya kishetani,unakuwa unaruhusu mapepo yanakuingia kwa wingi,hii ni mojawapo ya style za yoga.Jaribu kugoogle'mwanafunzi wa mchawi'utaona mtu aliyefanya style hii kwa kipindi kirefu akitoa ushuhuda.
 
hayo yote yanawezekana
 
Pasco ukitaka kujua uharamu wa kitu ni vema ujaribu. Unajuaje disko ni haramu kama hujaenda, au unasemaje pombe mbaya kama haijakugaraza? Yatosha kusema hivyo kwa kumuona mlevi aliyechanganya masanga?? Je umejaribu AP au unaishuhudia kwa kusoma articles? Hivi waafrika tumeshawahi kujiuliza ni kwanini sisi si wavimbuzi kama walivyo wahindi, wajapan au wazungu kwa ujumla wao?? Ninachokiona pale tunapojaribu kutaka kujua siri ya uvumbuzi ni makaripio makali sana kama si kupigwa live na wenye nguvu.

Tafakari...
 
Last edited by a moderator:

Unataka kujaribu sumu kwa kuionja?
 
Last edited by a moderator:

Una vitu vingi unavijua, hebu leta nondo mkuuu. Tupate kujua vitu
 
mkuu kuwa makini tusije tukakukosa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…