Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Ignorance, blind and dummy

Ukimuelekeza Mtu Ambaye Hajui Hata Kile Unachomuelekeza Ndio Utaambulia Majibu Anayokujibu Hana Point Kabaki Kukukaidisha Tu.. Just Ignore Him Hata Mmoja Hajamuunga Mkono Maana Wamejua Hakuna Anaesema Kitu Bila Kukijua Kakuita Bogus Huenda YEYE huitwa Hivyo Na Wa Kwao Halafu Ni Mtoto Sana Kiakili Anaonesha...

"Rakims"
 
Mkuu Rakims inasemekana your soul ikitoka nwilini mwako inakuwa ni hatari kwa sababu pepo wabaya wanaweza kuuingia mwiliwako kwasabavu unakuwa hauna kizuizi chochote, nitoe wasiwasi hapo
 

Nimesheelewa nilikuwa na Deal na level gani ya binadamu Rakims
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Rakims inasemekana your soul ikitoka nwilini mwako inakuwa ni hatari kwa sababu pepo wabaya wanaweza kuuingia mwiliwako kwasabavu unakuwa hauna kizuizi chochote, nitoe wasiwasi hapo

Hili Swali Huuliza Watu Wengi Sana Pia Online Utaona Kila Inapielezewa AP Utakuta Swali Hili.. Ukweli Ni Kuwa Ukitoka Astral Projection Ni Kama Ndoto Tu Mwili Unavyokuwa Maana Ile Safe Body Paralysis Inakuwa Active Ambayo Ni Kinga Ya Mwenyezi Mungu Aliotuwekea Inayosaidia Na Kufanya Astral Maana Kuna Watu Hufanya Astral Bila Kujua Pumzi Uchovu Joto N.k Vinakuwa Vinaendelea Kwenye Mwili Wako Kama Kawaida Ule Mwili Wa Astral Ni Mwili Wa Mawazo Upo Hapo Hapo Ulipo Lakini Nguvu Yako Ya Ubongo Inakuonyesha Pembe Zote Za Dunia... Mwili Wa AP Ni Wa Kujitengenezea Wewe Lakini Kinachofanya Kazi Ni Nguvu Ya Roho Yako Ambayo Huishi Life After Life... roho haitoki kinachotoka ni nguvu ya mawazo yako...
ingekuwa inatoka basi watu wangeweza kucheat death

ahsante...


"Rakims"
 
Hivii..Nikiwa kwenye huo mwili watu wengne wanaweza kuniona?Vp kuhusu pepo au wachawi hawawez kunidhuru njian na ikitokea nmepotea huko nlipoenda kushangaa itakuaje nkiamshwa nisiamke je kuna mvutano kati ya miili utaniita? Na ni vyema kufanya muda gani ni usiku tu au hata mchana ni byeee?Pia hali hiyo unaweza dumu nayo kwa muda gani (isije kuwa kama cinderela)..Naomba ufafanuzi tafadhali coz nimevutiwa
 
Rakims nkiwa katika hali hiyo naweza kuingia hata benki nisionekane?? naweza kubeba vitu vya uzito wa kawaida??:nod:

cc@pasco
 
Last edited by a moderator:
Makubwa Haya!!
 
Last edited by a moderator:
Big up mkuu Ramkin kwa kutupa somo.mimi nadhani kuna watu tupo na interest ya kuyajua haya mambo.so kama una hic hayakufai ni vyema ukatoa mtazamo wako na kumuacha mwalimu atujuze tusiojua na sio kumkatisha kwa hoja zako zakidini wakati dini yenyewe tumeletewa.

Mkuu Ramkin kama nahitaji zaidi kujua hizi mada kwa lugha yangu(Namaanisha kwa kiswahili ili nielewe vizuri bila misamiati) naweza kufata utaratibu gani?
 
Naweza kuiba ela na kurud nazo ktk ulmwengu wa kawaida??
 
Mmmh kumbe kuna mambo makubwa huku. Hivi kuna mashart yoyote katika kujifunza haya mambo?
 
Uchawi wako hauna mwiko kuelezewa waziwazi?
Wa-kiswahili ukitoa siri kama hizi unaadhibiwa na kutengwa kama si kuuwawa kabisa.
 
Wacha uoga wewe kwani hujui kufa kupo tu na hakukwepeki?

Na hii kitu inatakiwa iwe ni lazima kwa kila mtanzania kuijifunza iingizwe kwenye katiba mpya... na Sera za Chama tawala

Aaahahahahaaaa... My mbavuuu...
 

mchana kama upo peke yako... hutakiwi kubughuziwa ukiwa kwenye state hiyo kichwa kitakuuma maana utarudi kwa kasi... mvutano uliopo ni sawa na mikono miwili mmoja uweke kwenye maji baridi mwingine kwenye barafu utaielewa yote ndivyo inavyokuwa.. hivyo ukiona mkono wa barafu umegeuka moto lazima utauhamisha kwa uelewa tu.. kwanza hakuna kutisha kwa hivyo ni mitazamo yako tu....


"Rakims"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…