Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Hii Inatokea Wakati Unatoa Kiwili Wili Akili Na Hisia Zinabaki Nyuma, Sio Mbaya Wengi Wanajikuta Wakifanya Hivyo Yule Dada Muhindi Alivyomuita Yule Mtoto Ile Ilikua Tayari Ni OBE Dream Na Jinsi Ulivyorudi Still Bado Ilikuwa Hiyo Hiyo,
Ulijikaba Mwenyewe Katika Kuparangana Kutoa Mikono Ya Yule Dada

NB: Watoto Wana Powerful AURAS no One Can Harm Them In OBE...

Rakims
 
Watu Wakikuangalia Wanaona Unapumua Vizuri Na Umelala Mkuu Maana Unaacha Mwili Huachi GOGO

Rakims
 
Mtoa uzi!!!!! hicho kivuli kikitembea kinaonwa na watu wengne au kinaonwa na vivuli vyenzie?
Ukitaka Kuona Chenye Nafsi Tumia Nafsi Ukitaka Kuona Moyo Tumia Moyo Na Ukitaka Kuona Giza Kaa Gizani,, Waliokama Wewe Ndio Watakuona...

Rakims
 
hapo huwa unaishia paralysis state!!

rakims
 
LD
 
Unaweza Ukapractice zoezi hili hadi kwa Muda gani mpaka ukafanikiwa,?
Na je roho ikishatoka kwenye mwili hali gani hutokea kwenye macho? Ni wewe nwenyewe hutakiwa kuyafumbua au ghafla tu ukishakuwa hewani uang'avu huja na kuanza kuona bila kufumbua?
ukoshahisi Unaelea Hapo Hapo Unaopen Eyes...

Rakims
 
mi hii nimejaribu juz kati,aisee raha sana nilikua nazinguana na mapaka usiku yaani.unasafir kokote halafu kimawazo kuna wakati nlikua najiona amaizing sana
Wakati Umeingia Huko Ulijaribu Kutafuta Psychic Power Ulionayo Au Ulikua Unacheza Na Paka Tu?

rakims
 
j2 nlijaribu sa akati niko mtaani huku home ndugu yangu akaniamsha kwa kutikisa mwili kwa nguvu aisee nilirudi spidi kuuvaa mwili ndo nikaamka kidogo silverkodi ikatike. ila kuchezea roho raha sana
we ulijuaje kidogo ikatike? hii ingekua inakatika kirahisi wale wanaoenda kujaza much power huko wasingekua wanamaliza muda wanakufa what about wale wanaouwa mnyama kwa meditation nao wangekuwa wanakufa baada ya kuuwa mnyama?
bado hujafahamu how powerful your brain is?

Rakims
 
Nia ya hili somo ni nin?vtu kama hiv kwenye jimuiya kama hii c vzur mana wengine hawapitwag
niya ya somo hili kama unafuatilia nyuzi ninazo shusha Utaelewa Ila Kama Unaona Huu Mmoja Peke Yake Huwezi Elewa Na Hakuna Mtu Anaeweza Kufanya Kitu bila Kujua + Na - Zake Labda Wewe Uwe Wa Kwanza Ndio Maana Wanazidi Kuuliza Maswali Kutaka Kujua Vitu Hivyo Viwili...

rakims
 
Kujaza much power..!?
Kuua mnyama..!?
 
Yap The Mastering States Of Spiritual Practices!!! Hizi Hazifundishwi Public... Sorry Wala Hazielezewi Sana...

Rakims
Owkay..
Ila kwa kuanzia ngoja nigoogle haya maneno kwanza..!
"The Mastering States Of Spiritual Practices"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…