Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Ooh..!
Utakuja kufa maji siku moja mwanamama..!
 
Mkuu OBE DREAM NI NDOTO ZA AINA GANI
 
Naogopa kujiua..!
Kulala bila kutumia chandaruana. Sehem ina mbu ni kujiua,,kuumwa na kumeza panadol bila kwenda hosp n kujiua,, kula viagra n kujiua,, kula chakula chenye mafuta mengi mf.chips n kujiua,, kutembea na mke wa mtu n kujiua,, kusex bila kondom na hamjapima n kujiua,, kujenga nyumba ktk bonde n kujiua,, kuendesha gar spid kubwa n kujiua,, bila kusahau kunywa pombe na kuvuta sigara n kujiua,, ama unazungumzia kujiua kwa stail yangu??? Ww ushajiua kwa mangapi?? TAFAKARI
 
Dooh...
Basi yaishe mama..!
 
Nitaacha kulala bila kutumia chandarua..!
 
1. Je kama ikitokea mwili wako umehamishwa wakati haupo itakuwaje? 2. watu wakiusemesha mwili wako utasikia au kuwaona? au wakiutikisa utashituka?
 
Hizo nguvu za kutenda hayo zinatoka wapi..
Naitaji Kukutana Na Idadi Zaidi Ya Wanafunzi Wangu OBE Ili Tuwe Tuna Prove Wengi Hii Kitu Sio Wawili Watatu...
Ndio Maana Nahitaji Kufundisha Free Hata Hivyo Nikisema Sh 100 mia kila mwanafunzi watasema wametapeliwa... bora ufundishe free kwenye mia hakosi mmoja kufaulu... ambaye yupo Serious...

Rakims
 
Fanya hima mkuu...
Tunasubiri hilo DARASA..!
 
Ebanaee haya mambo yana wenyewe!!
Nimejaribu ila duh! nikaanza kuhisi pumzi inayoyoma/inapungua..! nikahairisha.
vipi mambo ndo hua hivyo ama me nimepita wrong way...?
Kwa Kuanza Unatakiwa Usipoteze Breath Control Maana Ukipoteza Hiyo Hata Kutoka Huwezi Unatakiwa Uuache Mwili Kwenye Dream State Ambayo Inaanzia Kwenye Safe Body Paralyses Hapo Ndio Geti La Astral Projection Na Lucid Dream Ukichelewa Tu Unakuwa Umeingia Lucid Dream

Rakims
 
Wewe Ulishatoka Au Unazungumzia Movies Mkuu?

Rakims
 
Sijawahi na sina mpango,labda itokee kwangu lakini iwe inaongozwa na Mungu maana yake yeye atanipa wa kuniongoza lakin si hii ya kujifanyia kisha unakutana na roho chafu ambazo zinaweza kukudhuru.
Kwanza Kabisa Unatakiwa Ufahamu Kuwa Ninachofundisha Hapa Ni Kwa Beginners Na Simple Way Hakuna Wa Kukuona Katika Astral Planet Hadi Umfanye Akuone Kama Ni Dark Spirits Wao They Sense Your Fear Lakini Light Spirits Wanasense Your Belief Ndio Maana Kwenye Meditation Huwa Tunawaita Ili Wakuangalie Na Kukulinda Na Dark Spirits Na Muwakil Mmoja Anaweza Kuuwa Mapepo 100 Kwa Sekunde Chache Tu Ndio Maana Kwenye Meditation Huwa Hawasogei Maana Unakuwa Close To Your Soul...

Sijui Nimeeleweka Mkuu,


Rakims
 
Ndio ulikuwa unaelekea kuweza. Unafika stage ambayo utahisi hupumui kabisa na ukimya kutawala na hatimaye utaamua utoke ukatalii wapi
hiyo ni masters level mkuu,, death experience yeye bado beginner huwezi anzisha mtoto shule akaanza darasa la tano...

Rakims
 
Duh! mambo haya si mchezo.
we ulishafanya hivyo ukapata faida gani..?
au kuna nini amaizing kitakuwa faida kwangu..?
chochote unachotaka like keeping your belief closer to allah/god for muslims Or Keeping Your Closer To Jehova/Jesus To Christians Or Keeping You Closer To Demons If Your Paganism Or Keeping You Closer To Devil If You Are Ant-religious You Found There Whatever You Believe In Or Even Luxuries it depends on your demands Son,

Rakims
 
hizo ni waves zinazosaidia kukutoa nje ya mwili mkuu...

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…