Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mrejesho

Kupitia ule msemo wa Practise makes perfect, nimejikuta nikifulu kwa asilimia kadhaa za A.P

japokuwa ile hatua ya mwanzo inaogopesha kwa hasasa kama akina sisi ambao ni begginers lakini kwa upande wangu nikasema lazima niweze.

Nimejaribu hii kitu kwa kama siku tano ivi bila mafanikio ila leo nimejaribu ikakubali!

Ila nimeishia kwenye stage ya kuparalyze,

kuna vitu viwili ambavyo nahisi ndivyo vilivyonifanya nishindwe kuendelea,
1. Mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda mbio kupita kawaida

2.kila nilipojaribu kuinuka na ile astral body nilishindwa nianzeje... Ila nilikuwa nahisi kama roho inatoka ivi...

Kunawakati mwingine nilikuwa nahisi huu mwili sio wangu kabisa, na nikawa najiskia kabisa jins ninavohema (kama kuna mtu pembeni )

nilikaa kwenye hali hiyo kama kwa muda wa sekunde arobaini ivi, kisha niakaamka...

Kingine, nilipoamka nikajikuta kama nguvu zimeniishia ivi...

NI HAYO TU...

Labda wakuu wenye ujuzi na haya mambo wanaweza wakachangia kitu..
 
ok hapo ulikuwa umefika hatua ya kuseparate two bodies ambazo zilikuwa merged na uliamka katika state ya paralysis mode ndio maana ukahisi hivyo hiyo ni hatua kubwa kwa begginner keep practice after three days i think utakuwa unatoka tu... bila kuhangaika mwanzo mgumu

"Rakims"
 
Ahsante Rakims..

Nitaendelea kujaribu japokuwa inaogopesha...
 
Vipi Rakims naweza kuifanya hii usiku,na vipi hiyo silver code itaonekana kwenye giza ?
Kwani kuna mtu amenitisha kuwa silver code ikikatika sitoweza kurudia mwili wangu.
 
Last edited by a moderator:
Vipi Rakims naweza kuifanya hii usiku,na vipi hiyo silver code itaonekana kwenye giza ?
Kwani kuna mtu amenitisha kuwa silver code ikikatika sitoweza kurudia mwili wangu.

silver cord haikatiki kirahisi kama mnavyoaminishwa hiyo hukatika pale mtu anapofariki dunia tu, anaekwambia silver cord inakatika huyo hana imani ya uwepo wa mwenyezi mungu kama unaamini hakuna mwenyezi mungu utaamini inakatika lakini kama unaamini kuna mungu kukatika ni ngumu watu wanaenda nje ya dunia na kuzunguka sayari nyinginezo kama ingekuwa inakatika kirahisi hivyo binafsi nisingekuwa nahadithia sasa hivi uvutano uliopo kati ya physical body na astral body sio wa mchezo.... pia ukitaka kuwa salama usizini na other spirits na usitembee maeneo ambayo utajiona wewe ndio taa tembea sehemu ambazo zina mataa nuru na mwanga taratibu utazoea na kuhusu kuiona silver cord unaiona hata kama upo giza la aina gani pia kwa beginners kurudi kwenye mwili njia kubwa ni kuufikiria ulipouacha tu unarudi....

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:
Mmmh, ngoja wafanye vijana;
nisijefia huko bado nasomesha.

Unachoamini Ni Bora Zaidi Kuliko Unachoskia Heri Uendelee Kuamini Hivyo Maana Ukijifunza Na Uoga Mind Yako Mwenyewe Inaweza Ikakutrick Kuwa Umeumia Na Ukaona Umeumia Kweli Hali Ya Kuwa Si Kweli.... Hata Hao Unaoona Heri Watoke Hawafai Kutoka Kama Wanahatari Ya Kuimagine Things Kwa Kuona Movies....

"Rakims"
 
Astral Travel Example
 
Attachments

  • 1427121001826.jpg
    1427121001826.jpg
    26.2 KB · Views: 429
Hello Rakims, I have few questions:

1. Umesha practise hii kitu wewe mwenyewe? If Yes, please give us the practical examples and where you have travelled.

2. Je kuna faida gani ya kupractise hii kitu?

3. Unapotumia Brain Waves tools coming down to Theta or Delta waves, your body slows down. Mara nyingi if you can keep
self yourself conscious, you feel in a very deep relaxation and comfort. Is there any connection between these?

4. How do you explain this phenomena scientifically? Do you think they comply with the Law of Universal Energy?
 
Hello... Nitakujibu Moja Tu About My OBE..

Na Pia Nitajibu Hivi "Ndio Nimeshawahi Sio Mara Moja Wala Mbili Ni Completely Obe Where I Travelled Its My Stuffs And I Don't Like To Share Sawa Na Wewe Nikuulize Unatumiaje Fedha Zako? Pia Nikikwambia Where Were I Go Utauliza nilienda kufanya nini... na Practical Examples Theres A Lot Na Niliyoitoa Ni Moja it Shows Ndio Ninayopenda....

2,3,4 you can find your answers online or google maana maneno yangu hayatoshi kuandika faida wala hasara zake na zikajitosheleza hata nikiandika hayata kufanya uamini... so you better find out yourself.........

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:
mambo mengine ni ya kwenda nayo taratibu. sio siku mbili tatu yanahitaji muda, ukomavu na utulivu.
unaweza rudi ukakuta kuna mgeni kwenye mwili wako sijui utafanyaje. kwani spirits nazo hutofautiana nguvu...
 
Hapana Huwezi Kukuta Spirit Kwenye Mwili Wako Isipokuwa Kule Uendako Astral Body Yako Huwa Ni Nuru Iliyozungukwa Na Aura Nyeupe Pindi Ukikatiza Maeneo Ambayo Hukaa Spirits Mbaya Huona Nuru Yako Na Kuanza Kuifuata Na Ukiwa Umetoka Bila Kuomba Mungu Akulinde Kwa Imani Yako Ndio Hukufuata Hizo Spirit Madhara Yake Ikitokea Zikakushambulia Unarudi Umechoka Na Hamu Ya Kwenda Astral Inakuishia...

"Rakims"
 
ok hapo ulikuwa umefika hatua ya kuseparate two bodies ambazo zilikuwa merged na uliamka katika state ya paralysis mode ndio maana ukahisi hivyo hiyo ni hatua kubwa kwa begginner keep practice after three days i think utakuwa unatoka tu... bila kuhangaika mwanzo mgumu

"Rakims"

Mkuu Rakims hii hali ni ya kweli kabisa...ilikuwa inanitokea sana, hasa nilipokuwa mvulana mdogo...na mara nyingi hutokea wakati mtu unapokuwa mpwek na katika hali ya utulivu. ila kadri nilivyokuwa hali hii ilipotea taratibu. sasa hv nikijaribu kujituliza ili nipatwe na hali hiyo, inawezekana kwa muda wa takribani sekunde tatu hivi. na hali hii ikimtokea mtu huogofya, mapigo ya moyo huongezeka na unaweza kujikuta ukipiga kelele kama vile kuna kitu kimekutisha. zamani nilikuwa nashindwa kueleza hii hali lakini kumbe ni jambo linaloweza kuwatokea watu wengi. asante sana mtoa mada, ngoja nikapractise hii ya kwako nione kama nitaweza naweza kuwa perfect.
 
Yeah Ni Kila Mtu Hali Hii Lazima Ikutokee Sema Wachache Huishuudia Hali Hiyo Ya Kuparalysis na watu wanaoshuhudua hali hii ni watu wenye awareness kubwa ndani ya ndoto zao....

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:
Rakims
Nina maswali yangu kama yafuatayo:
1. Je nilazima uwe msafi wa mwili (na maanisha usiwe na janaba, hedhi, pombe n.k)
2. Unawazungumzia vp watu ambao huota wanapaa?
 
Last edited by a moderator:
Rakims
Nina maswali yangu kama yafuatayo:
1. Je nilazima uwe msafi wa mwili (na maanisha usiwe na janaba, hedhi, pombe n.k)
2. Unawazungumzia vp watu ambao huota wanapaa?

1: Siyo Lazima Lakini Kwanini Uwe mchafu Je Ukiwa Mchafu Ndio Unakuwa Comfortable? kama ndio sawa hakuna tabu lakini kama imani haikupi kuingia spirit world na janaba basi sio salama kwako kuwa out of body kwa maana imani ya kidini mtu ukiwa na janaba kwa muda mrefu basi ni rahisi kuingiliwa na pepo wachafu hata kama haupo Out Of Body...

ukiwa na pombe pia haifai kwa maana pombe inalegeza misuli ya koklea na kuondoa balance kwenye kichwa ambayo husababisha system za mwili kwenda kombo...

hedhi pia si vema kwa maana utatoka vipi out of body hali ya kuwa unahisi hauko sawa yani sio hayo tu hata ukijihisi haupo sawa kutoka hata kama ni mzima lakini akili tu haikupi usitoke siku hiyo...

NB: Ukitaka Kufanya Lolote Kwa Usalama Basi Lifanye Ukiwa Salama... Na Pia Utawaona Vipi Spirits Wema Kama Angels Watakao Kulinda Kama Upo Mchafu? Jibu Ni Hapana Huwezi Kuwaona...

Kwa Hiyo Hapo Unakuwa Ni Sawa Na Mtu Anaetembea Peke Yake Usiku Wa Manane Bila Company Wala Ulinzi....

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:
Je, ni madhara yapi humtokea mtu atakayefanya mapenzi na Spirits nyingine?

Na hizo spirits ni zipi? Ni malaika, watu waliokufa au ni mashetani?
 
Mkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo hao wanafunzi wenzi, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.

Masharti ni haya.

  1. Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa fungua, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha tuu na kuchange position hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
  2. Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ndio bora zaidi, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, safari jumla!.
  3. Hizi ni highest stages za maditation ambazo haziruhusiwa kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised vinginevyo ni safari!.
  4. Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening the "third eye!"
  5. Hizi ndizo the first stages za wachawi!.

Wito wangu mimi, kama hujui unataka nini, utoke out of body ili kuachieve nini, please don't do!. Mtu asikudanganye its is not fun!. Too much knowledge is harmful please don't try!.

Pasco

wonders shall never end in this World!!
 
SWALI JINGINE...

Samahani kama ntakuwa nimekuingilia katika maisha yako..
Lakini mimi binafsi nimevutiwa sana na ufaham wako juu ya mambo mengi unayoyajua, na ninatamani namimi niwe angalau kama wewe Rakims...

Je, hizi elimu wewe umejifunzia wapi?
Na ilikuchukua muda gani mpaka ukazifaham?
Je, ni mtu gani aliku'motivate mpaka ukaamua kujifunza?
Na Kwakunisaidia mimi ambaye nahitaji kujifunza, Unanishauri nifanye nini ili angalau niweze kufikia level yako?
Ahsante
 
Back
Top Bottom