Mrejesho
Kupitia ule msemo wa Practise makes perfect, nimejikuta nikifulu kwa asilimia kadhaa za A.P
japokuwa ile hatua ya mwanzo inaogopesha kwa hasasa kama akina sisi ambao ni begginers lakini kwa upande wangu nikasema lazima niweze.
Nimejaribu hii kitu kwa kama siku tano ivi bila mafanikio ila leo nimejaribu ikakubali!
Ila nimeishia kwenye stage ya kuparalyze,
kuna vitu viwili ambavyo nahisi ndivyo vilivyonifanya nishindwe kuendelea,
1. Mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda mbio kupita kawaida
2.kila nilipojaribu kuinuka na ile astral body nilishindwa nianzeje... Ila nilikuwa nahisi kama roho inatoka ivi...
Kunawakati mwingine nilikuwa nahisi huu mwili sio wangu kabisa, na nikawa najiskia kabisa jins ninavohema (kama kuna mtu pembeni )
nilikaa kwenye hali hiyo kama kwa muda wa sekunde arobaini ivi, kisha niakaamka...
Kingine, nilipoamka nikajikuta kama nguvu zimeniishia ivi...
NI HAYO TU...
Labda wakuu wenye ujuzi na haya mambo wanaweza wakachangia kitu..