Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
ha ha ha aaah.... huwez kufa weweeee,,,, binadam hawez kufa kirahs hvo. Acha uoga. leo jarbu tena but.... Empty your mind.... then Focus.
Then tonight ntarudia hilo zoezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha aaah.... huwez kufa weweeee,,,, binadam hawez kufa kirahs hvo. Acha uoga. leo jarbu tena but.... Empty your mind.... then Focus.
Nikishafika hatua hiyo huwa kila ninachojaribu kufanya nashindwa na kujikuta nimerudi hali ya kawaida
Leo jarbu kufanya hvi... (hakikisha mwili wako umeulegeza mpaka uhisi kama unaganzi hivi) unapolala empty your mind/ usifikirie chochote kichwani yaan mind yako iwe blank, kila wazo litakalokuja kichwan achana nalo/usilitafakari , mfano unaweza kuona matukio ya vitu ulivofanya leo,au kelele za watu,upepo ,horn za magar n.k usiyazingatie... mda unavyozid utaona vinapungua kujirudia katika ubongo wako na baadae kuisha kabisa (ndio maana tunasema empty your brain) baada ya hapo vuta taswira ya kama kuna mwili mwingine ndani yako, kwaurahisi uwe umefumba macho lakin uwe unajitazama kwa ndani(utaona kama upo gizan) endelea kutazama hivohivo(kumbuka chochote kitakacho endelea nje mfano kusikia kelele au horn za gari n.k usizingatie) we endelea kuwa makini kwa unachoona we tulia tu km unatazama movie hivi usitengeneze picha yako, mfano unaweza kuona km vinyotanyota vingi kwa mbali wala usivizingatie tulia tuu na uwe km mtazamaji kwa kinachoendelea (ndio maana tunasema Focus) hali hiyo ikiendelea utaona km unamwili mwingne mpya jaribu kuinuka taratibu(usitumie nguvu maana utaamka kwa mwili wa kawaida) na utaona kama ukitaka kuamka inakua km unavutwa chini wala usiogope, na pia usiogope chochote utakacho hisi ukiwa kwenye hili zoez maana kwa mwanzo lazma utakuwa na wenge fulan hiv we focus tuu, amin unachofanya unakielewa hadi utatokatuu.... pale utakapo shindwa lete feedback.
Cc jimena.

Mi pia sijaweza kutoka nje ya mwili zaidi ya kuishia kwenye ganzi, kwa uzoefu wako unadhani nakosea wapi?
unapofikia kwenye ganzi usiupe fahamu ubongo wako kwamba hapa ndio nipo kwenye ganzi just relax na amka taratibu kama nusu kimawazo robo live... you will be out....
Rakims
Leo jarbu kufanya hvi... (hakikisha mwili wako umeulegeza mpaka uhisi kama unaganzi hivi) unapolala empty your mind/ usifikirie chochote kichwani yaan mind yako iwe blank, kila wazo litakalokuja kichwan achana nalo/usilitafakari , mfano unaweza kuona matukio ya vitu ulivofanya leo,au kelele za watu,upepo ,horn za magar n.k usiyazingatie... mda unavyozid utaona vinapungua kujirudia katika ubongo wako na baadae kuisha kabisa (ndio maana tunasema empty your brain) baada ya hapo vuta taswira ya kama kuna mwili mwingine ndani yako, kwaurahisi uwe umefumba macho lakin uwe unajitazama kwa ndani(utaona kama upo gizan) endelea kutazama hivohivo(kumbuka chochote kitakacho endelea nje mfano kusikia kelele au horn za gari n.k usizingatie) we endelea kuwa makini kwa unachoona we tulia tu km unatazama movie hivi usitengeneze picha yako, mfano unaweza kuona km vinyotanyota vingi kwa mbali wala usivizingatie tulia tuu na uwe km mtazamaji kwa kinachoendelea (ndio maana tunasema Focus) hali hiyo ikiendelea utaona km unamwili mwingne mpya jaribu kuinuka taratibu(usitumie nguvu maana utaamka kwa mwili wa kawaida) na utaona kama ukitaka kuamka inakua km unavutwa chini wala usiogope, na pia usiogope chochote utakacho hisi ukiwa kwenye hili zoez maana kwa mwanzo lazma utakuwa na wenge fulan hiv we focus tuu, amin unachofanya unakielewa hadi utatokatuu.... pale utakapo shindwa lete feedback.
Cc jimena.
sasa kama unaogopa hivi you wont make it...
rakims
so MOTE it BE#Sawa Rakims ntafanya kama ulivyoelekeza. ABRACADABRA
Ukifanikiwa kutoka nje ya mwili usiende mbali kwasababu ni mara ya kwanza jaribu kupita kusipopitika kama ndani ya ceiling board nk ukishazoea then unaweza kwenda mbali.
Nimekosa kitufe cha like
Kukosekana kwa kitufe cha like imekuwa kero kubwa sana.
so MOTE it BE#
Nimekosa kitufe cha like
teh teh teh.......eeehhh..... mwandikie tu nime like comment yako, mi mwenyewe nafanyaga hivo#

Ntaanza kutumia hii sasa 👍