Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntaanza kutumia hii sasa
Ntaanza kutumia hii sasa
👍👍👍👍👍👍👍👍
Then tonight ntarudia hilo zoezi
dada Jimena, umefanikiwa ?? afu nina ombi: nakutaka uwe ndo 'mwalimu' wangu kwenye hili. Tutaanza na theories, then tunamalizia na practical. Teh Teh
Nimefanikiwa kiasi, sawa ningependa kuwa mwalimu wako ila tatizo mi niko mbali saaaana kiasi kwamba hizo practical mhhh haitakuwa rahisi.
nipo tayari kukufuata popote ulipo for practical, at your own 'preferable' scheduling.
Tutaangalia itakavyokuwa
Nimefanikiwa kiasi, sawa ningependa kuwa mwalimu wako ila tatizo mi niko mbali saaaana kiasi kwamba hizo practical mhhh haitakuwa rahisi.
Hivi kumbe wewe ni "ke" ?
Ndio. Na hiyo avatar ya sasa ni picha yangu halisi. Naonekana kama me nini?
Mh! Hapa jf mimi na wewe tumekaa kama mandugu kumbe hata jinsia hatujuani?
Naona kama ni uongo maana tangu nakuona huku nilidhani mwanaume.
Kuna muda nakuitaga Mr Jimena na wewe unavunga tu, teh tehhhh
Hivi kumbe wewe ni "ke" ?
kwi kwi kwiiiii... teh teeh teeeh...... ha ha haa haaa aaaah......
Hahahahahahaha sasa leo umejua. Jimena/Ximena inatamkwa Himena ni jina la mtoto wa kike na asili yake ni kispanish, Sema hili jina bongo sio maarufu ndomana ulichanganya CD.
Ok, vipi lakini, wewe ndio dada G?
Ok, vipi lakini, wewe ndio dada G?
Hapana mkuu mi ni dada Jimena tu wala sina mambo mengi
kqaaaah???..... tena,