Jinsi ya kutongoza mwanamke msiyejuana (Barabarani, kwenye daladala au popote)

Jinsi ya kutongoza mwanamke msiyejuana (Barabarani, kwenye daladala au popote)

Uliwaona hao wenye uwezo financially aliowakataaa mbona hatunaga skepticism, mwanamke akiweza forsake wazazi wake waliomlea kwanini asikuache wewe uliekutana nae, considering alikukataa mwanzo hata kwa zile text she’s too good to be true

binafsi I don’t trust a whore ambae anakataa familia yake, mtu anamktaa mama yake kwanini asikukatae wewe...think

Mkuu acha vitisho maisha sio magumu kiasi icho, hawa viumbe wanaendeshwa na hisia siku zote ndo maana hawaeleweki, sasa akikubal walio financial good ndo unadhan watadumu?! Mwanamke anaeza kataa mwanaume mwenye gari na akampenda bodaboda ni hisia zao na popote pale anaweza kudumu na anaweza kusaliti haijalishi umempataje, acha kutisha watu if u don't trust them let it be for all women, utakuja kuumizwa usiamini.
 
Kuna jamaa yangu alikua anakaa zile nyumba za uswazi za room 6. Choo,jiko na bafu uani na Kuna vyumba vya uani 2.
Jamaa alikua anakaa chumba Cha mbele, enzi hizo miaka ya 90. Wanawake wa wapangaji wanafanya usafi kwa zamu. Mjinga yule kila akienda kuoga alfajiri mwanamke atakaye mkuta uani anafanya usafi anampa 20 buku. Wanawake wakawa wanagombania kufanya usafi. Alitembea nao wote.
 
Miaka ya 90 utoe buku 20?? We boya acha kutupanga, yaan mchele gunia moja??
 
Miaka ya 90 utoe buku 20?? We boya acha kutupanga, yaan mchele gunia moja??
Unashangaa buku 20 wenzio wanahonga magorofa kariakoo. Ndio maana na baridi yote hiyo ya njombe umelala peke yako.
Jiongeze kabla hujapewa uenyekiti CHAPUTA.
 
Ndo

Ndo maana kalynda Mnapigwa iyo Tafuta Hela Tafuta Hela [emoji23] mnatafuta Hela Kwa nguvu [emoji23][emoji23][emoji23]
Huu msemo tafuta hela umewapoteza sana vijana
Ona sasa wanatafuta hela hadi kwenye shimo la tewa (kalynda) wana lia lia sasa hivi oooh mama tusaidie oooh mama tusaidie

Huyo mama aliwatuma??
Je mnge win game mngamkumbuka huyo mama??

Wajinga hawataisha eti hadi na wasomi maprofesa kabsaa

Kusoma sio kuelimika wasomi uchwara ni wengi Sana acha mpigwe tuu na wajanja
 
Kabisa mkuu wanafikiri kilakitu ni hela wamuulize billgate 😂kwann ndoa ilimshinda na Hela zipo za kutosha
 
Muwe mnatuonea huruma sasa, maana hapo ukikosea ukaskip step, imekula kwako.

Kama unajua unachokifanya, unaweza uka skip step na bado uka succeed. Kwa sisi ma pro hata hizo step hatuna haja nazo una gonga maeneo muhimu tu game over.

Mfano: wanaume wengi sana hua tunafeli pale mwanzo kabisa unapokutana na mwanamke. Kumbuka mwanamke unapokutana nae na kuanza mazungumzo, ndani ya sekunde 5 yeye ameshajua unataka nini, na ameshaamua kama atakupa au la! Wanawake hua wanazaliwa na uwezo mkubwa wa kusoma "body language" kwahiyo wewe kabla hujaongea chochote yeye tayari kashajua unachotaka.

Sasa hapo maanake ni kwamba una sekunde 5 za kucheza na akili yake na ukiweza kucheza vizuri ndani ya sekunde hizo 5 unakua umemaliza mchezo!!

Nikipata muda ntaanzisha uzi wa jinsi ya kumaliza mchezo ndani ya sekunde 5 tu.
 
Mbona mimi nasumbuliwa sana na hawa watoto na wanafunguka shida ni nini ?, Kuna mda naichukia sana hii hali maana ni too much
Anza kuwala,yani kila anayekutongoza mle halafu uone nini kitatokea...
 
Maneno mengi ilikua zamani.
Mdalimie binti mpe 50 elfu ya vocha Kisha omba namba yake ya simu.
Kesho yake mtumie Tena elfu hamsini. Baada ya siku tatu mtumie laki ya vocha. Siku ya nne akipiga usipokee.
Kesho yake m command popote unapotaka atakuja baada ya kumtumia nauli ya taxi.
Wewe ni mwehu, sasa yote ya nn? Mbinu zako ni kwa kina Mwajuma ndala ndefu tu
 
Back
Top Bottom