Jinsi ya kutongoza mwanamke msiyejuana (Barabarani, kwenye daladala au popote)

Be careful though, kuna possibility hajakupenda wewe ila amependa ndoa.
Ndoa hata sina ajira, sina mahari sina chanzo cha fedha cha kueleweka mkuu..😒😒😒

Yote hayo nilimweleza yeye na wazazi wake ili nimkatishe tamaa lakini bado akaja kwa Gharama zake.

Walishakuja wachumba wenye uwezo financially... mahari Cash, akawakataa.

Mpaka leo najiuliza imewezekanaje
 
Uliwaona hao wenye uwezo financially aliowakataaa mbona hatunaga skepticism, mwanamke akiweza forsake wazazi wake waliomlea kwanini asikuache wewe uliekutana nae, considering alikukataa mwanzo hata kwa zile text she’s too good to be true

binafsi I don’t trust a whore ambae anakataa familia yake, mtu anamktaa mama yake kwanini asikukatae wewe...think
 
Fact, brother afikirie hii point
 
Maneno mengi ilikua zamani.
Mdalimie binti mpe 50 elfu ya vocha Kisha omba namba yake ya simu.
Kesho yake mtumie Tena elfu hamsini. Baada ya siku tatu mtumie laki ya vocha. Siku ya nne akipiga usipokee.
Kesho yake m command popote unapotaka atakuja baada ya kumtumia nauli ya taxi.
Inategemeana na the way ulivo;

Kuna kina sie ni kama ulimbo hatuhangaiki sana kutuma mijihela ,wananasa wenyewe kwa fractionation seduction.

Kutoatoa hela kabla ni u-BETA MALE
 
Yani niruhusu ww uingie kweny ukoo wangu hapana Ntafunga na kusali

Eeh Mungu mtu huyu akigusa namba ya yoyote kweny familia yangu tafadhali fanya jambo amen
Mie wala sina baya...mawazo yako tuu
 
Back
Top Bottom