Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Kwaio no need of PESA?
Kwa kweli kwa mara ya kwanza kabisa huwa nakuaga mzito lakini tukionana mara mbili tatu naombaga tu mengine yanaanzia hapo.Sasa namba unachukuaje?
alivyorudi ulitakiwa umle kimasihara umbwage, haukujiuliza kwanini kabadili mawazo?Binafsi mimi mwanamke nilienae tulikutana kiajabu ajabu tu
nilimtongoza mwaka jana mwezi wa 7, tena nikaenda direct dakika hio hio kwamba nataka kumuoa... AKANIKATAA VIBAYA SANA😂😂😂
na mimi nikasema sawa hamna shida, ila wewe ndio uko moyoni.. sikutaka kuendelea kumwambia chochote zaidi ya salam na mazungumzo mengine..
nakumbuka niliondoka mkoani kwao nikarudi Mwanza baada ya siku 4 na sikuwahi kumtafuta yule mwanamke..
cha ajabu amekuja kunitafuta mwaka huu mwezi wa June na kudai ananipenda sana na anataka Ndoa🥵🥵🥵
nilichomwambia ni kwamba sina mahari ya kuolea labda aje tu tuanze maisha mdogo.mdogo...
Huwez amini ndugu msomaji, huyo.mwanamke alitoroka kwao na mpaka sasa tunaishi pamoja kama mke na mume toka August 1
na wazazi hawajapewa mahari
View attachment 2384063
Kwahyo sasa wewe unajitofautishaje na sisi😂Wanahangaika wenzangu, mie sina hata kimoja hapo hahaa
Dah, Kwahyo ukiona pisi kali kwenye daladala ndoivyo unafanyaje?Kwa kweli kwa mara ya kwanza kabisa huwa nakuaga mzito lakini tukionana mara mbili tatu naombaga tu mengine yanaanzia hapo.
🤣 JamanHy miwani Kama kamanda Siro
Duh, kuna watu wanatumia pick up line kama hizo aisee 😅😂😂 Afu hawa ndio wamejaa,nakutana nao mara kibao wenye hizi swaga
Ilikuwaje mkuu...Mimi ndio maana napenda mtu nizoeane naye kidogo...sipendi kutolewa nishai kabisaNilipigwa kibao barabara na demu sitasahau
Khaaa 🤣 mwanamke ni mwanamke tu nyau weeKwahyo sasa wewe unajitofautishaje na sisi😂
Dah, Kwahyo ukiona pisi kali kwenye daladala ndoivyo unafanyaje?
Dah, wewe noma...Kwahyo umekutana nae tu na kumtangazia ndoa hapohapo?😂😂Binafsi mimi mwanamke nilienae tulikutana kiajabu ajabu tu
nilimtongoza mwaka jana mwezi wa 7, tena nikaenda direct dakika hio hio kwamba nataka kumuoa... AKANIKATAA VIBAYA SANA😂😂😂
na mimi nikasema sawa hamna shida, ila wewe ndio uko moyoni.. sikutaka kuendelea kumwambia chochote zaidi ya salam na mazungumzo mengine..
nakumbuka niliondoka mkoani kwao nikarudi Mwanza baada ya siku 4 na sikuwahi kumtafuta yule mwanamke..
cha ajabu amekuja kunitafuta mwaka huu mwezi wa June na kudai ananipenda sana na anataka Ndoa🥵🥵🥵
nilichomwambia ni kwamba sina mahari ya kuolea labda aje tu tuanze maisha mdogo.mdogo...
Huwez amini ndugu msomaji, huyo.mwanamke alitoroka kwao na mpaka sasa tunaishi pamoja kama mke na mume toka August 1
na wazazi hawajapewa mahari
View attachment 2384063
Utanikosa hv HV tall dark handsome hapaa😁🤣 Jaman
sinaa sababu za kumfanyia hayo:alivyorudi ulitakiwa umle kimasihara umbwage, haukujiuliza kwanini kabadili mawazo?
Yako smooth si kakwambia kaja August kwahiyo wana miezi miwili... penzi jipya mwambie December akuletee conversation yao...if he’s lucky kama atakuwa bado yupo huyo manziDah, wewe noma...Kwahyo umekutana nae tu na kumtangazia ndoa hapohapo?😂😂
Sema kudos, nmeona maongezi yenu yako smooth.
Be careful though, kuna possibility hajakupenda wewe ila amependa ndoa.sinaa sababu za kumfanyia hayo:
Kwanza kabisa huyu mwanamke kakosana na wazazi wake kwa ajili yangu, mpaka sasa hawaelewani..
cha pili, katoroka kwao kwa gharama zake kafika kwangu mpaka sasa katulia..
tatu, mpaka wa leo namuona ni wife material mwezi wa 3 sasa sioni mbambamba zozote kutoka kwake. Ni mtulivu sana.
Nimeamua kutulia nae tujenge maisha
😂 Wapo, huwa nachekaDuh, kuna watu wanatumia pick up line kama hizo aisee 😅
Ukweli muda mfupi namna hiyo sifanyi kitu aende tu....kwenye basi Kati ya mkoa n mkoa ndio naweza.Kwahyo sasa wewe unajitofautishaje na sisi😂
Dah, Kwahyo ukiona pisi kali kwenye daladala ndoivyo unafanyaje?
😂 Au sioUtanikosa hv HV tall dark handsome hapaa😁