Jinsi ya kuweka akiba kwa wale tunaoanza maisha

Tafuta namna ya kutengeneza pesa haraka...mwaka mzima ni kupoteza muda
 
kwanza unasave vipi wakati kipato duni, kabla hujala unaanza kuwaza
Watu wanapata pesa na wanasave, ina mana hao wanaonunua majumba huko barabarani wanafanyaje ?
 
Unaona kitu gani hapo hakiwezekani in practical ?
Kuhamia geto la bei nafuu? Kupika msosi ? Kuwa na demu mmoja ? Kuacha pombe ?
Hivyo vitu huwezi ku maintain Kwa miaka yote ya ku save .


Ume plan ku save ndani ya miaka 5. Unaweza kuwa na Dem mmoja au usiguse pombe , au chochote unacho hisi kitaharibu plan yako ya ku save Kwa miaka yote hiyo
 
Hivyo vitu huwezi ku maintain Kwa miaka yote ya ku save .


Ume plan ku save ndani ya miaka 5. Unaweza kuwa na Dem mmoja au usiguse pombe , au chochote unacho hisi kitaharibu plan yako ya ku save Kwa miaka yote hiyo
Penye nia pana Njia
 
Tatizo kuiweka hiyo hela ndo changamoto,weekend imefika una kiu ya lager na hela umeweka hone kwenye kibubu.
Lazima uvunje kibubu.
 
Mimi nina mshahara wa 800k
Huu ndo mchanganuo wangu
1.200k house
2.200k usafiri na kula
3 100k natuma kijijini
4.100k savings
5.200k enjoyment
Upo vizuri sema tu punguza Enjoyments hapo, ukiweza pia hamia nyumba ya bei ya chini, kipato chako kinataka ukae nyumba ya 80K, πŸ˜‚
(Unless una familia)
 
Suala la kuhonga mimi ni mwiko kwangu nipo lazi nipongwe na upwiru wangu ila sio kumpa mtoto wa mtu pesa,suala la kisave ni muhimu kupita maelezo,hakuna fedha isiyokuwa na akiba
 
Beberu gani Fala tuu wewe!
 
Ukifanya hivyo utaishi limited life na kipato chako hakitakuwa. Ili uchumi wako ukuo pamoja na maendeleo yako binafsi unahitaji challenges.
Nachoweza kuwashauri:

Moja focus kwenye kukuza kipato kila siku badala ya kufocus kubana matumizi.

Pili, Weka matumizi mdabala wa matumizi yasiyo ya muhimu, hapa nazungumzia kuwekeza katika assets.

Tatu, tumia utashi wa kupembua kabla haujafanya maamuzi ya kulipia kitu chochote. Jiulize maswali kama kitu hicho unachotaka kulipia unahitaji au unakitaka tu?

Kuwa na roho ngumu na isiyo mbaya, kuna mambo mengine bila kuwa na roho ngumu hutoki.

Ukifanya hivyo utasave huku ukifurahia maisha na ustawi wako ukiendelea vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…