Jinsi ya kuweka akiba kwa wale tunaoanza maisha

kuweka akiba bila mipango endelevu ni sawa na mwanafunzi anaejituma kusoma na kujua vitu vingi lakini siku ya mtihani kushindwa kupambana kufanya mtihani vizuri
 

Acha kudanganya watu hivi unajua bei ya mti mmoja?
 
Umenena vema sana mkuu
 
Dagaa wawili mchuzi mwingi bila mafuta chukuchuku ugali nusu na maji mengi ya kunywa hapo ni mchana na jioni tu in one

Unga nusu 700
Dagaa wa 500 unakula mwezi mzima

Kwa hiyo ukipiga hesabu vizuri hakikisha Kwa siku usitumie zaidi ya buku jero hapo ndo utatoboa
 
Huu siyo utaratibu wa HUSTLER mpenda maendeleo. Hustler anakula mara mbili tu, asubuhi na jioni. mchana ni muda wa kazi, utakula saa ngapi?

Asubuhi pika msosi wako fresh na kula ushibe. Nenda kwenye kazi za watu. Jioni pika na ule ushibe. Mchana ni mwendo wa maji tuuu😑😑 mambo ya kuwaiga wazungu wanaokula kila baada ya masaa mawili sisi Waafrika yanatumaliza kiuchumi. Fikiria babu wa babako alikunywa chai wapi? Alikula chakula cha mchana wapi na jioni alikula nini?

Mambo ya mademu kila mmoja abebe mzigo wake.
 
hayo maji ya mchana unanunua au unakunywa ya bombanii?
 
Hapano kwenye fridge Cha hifadhi mboga umedanganya maana unaweza Kuta ukahifadhi kibakuli Cha hero kwa umeme wa elfu2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…