Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

Kufuta FAO la kujitoa hapa hata mifuko yenyewe itafika kipindi itakuwa haikui maana mtoa mada huenda angepata hiyo pesa angefungua biashara baada ya miaka kadhaa ingezalisha ajira na kupata wateja wapya wa mfuko

Pia hii mifuko ingetoa mwanya wa mtu kutumia pesa aliokuwa nayo huko kama dhamana au kupokea business plan kutoka Kwa wachangiaji waliomaliza mikataba Yao maana unakuta MTU either amekwama mtaji wa kuanzisha au mtaji mdogo lakini ana aidia nzuri na hakopesheki lakini ana pesa zake zimekaa huko
 
Kwakweli viongozi wetu ktk hili la kikokoto walituumiza sana shida sasa inakuja kwetu watanzania hatuna mahala pa kwenda kujitetea wala hatuna utaratibu huo. Tunabakia kusema wee waache tu Mungu anawaona lakini sisi tunateseka na kazi tuliifanya, kwa kweli inauma sana. Lini tutaweza au kuwa na vyombo tunavyo weza kuviwajibisha? hasa tunapo kuwa na malalamiko makubwa kama haya na tukasikilizwa kwa haki?
 
Boss me nisaidie nna kahela kangu huko nataka nikakatoe nifanye yangu vyuma vimekaza
 
We are on the same boat, je umeshaandika barua ya kutaka pesa zako zote?
 
Hivi mfano mfanyakazi ameamua kuacha kazi na akaandika barua ikafika kwa muajiri nayeye akakubali, je huyu mtu alieacha kazi ataweza pata stahiki zake za NSSF/PSSF.?
Ukiacha mwenyewe imekula kwako mpaka ustaafu. Ukiachishwa ndiyo utalipwa 33.3% ya mshahara wako
 
Hapo ni changamoto ,nina mtu wangu hapa anakaribu mil 58 huko , kakosa cha kufanya kaambilia malipo ya miezi 6 tu .

Hicho kikokotoo shida
 
Hivi mfano mfanyakazi ameamua kuacha kazi na akaandika barua ikafika kwa muajiri nayeye akakubali, je huyu mtu alieacha kazi ataweza pata stahiki zake za NSSF/PSSF.?
Hawezi kupata stahiki yoyote itabidi asubili hadi atakofika miaka ya uzee ya kustaafu 55-60 au aendelee kuchangia michango kwa hiari .
 
Ulipaswa kabla hujajaza fomu umpate mtu ambae atakusaidia ili upate hela yote kwa pamoja, kwakua ushapokea 200k ya mwezi wa kwanza hapo ndo basi tena hakuna kitakachobadirika na unapaswa usubiri miezi 18 ipite ndo ukadai pesa iliyobaki.
 
Waliotunga hizo sheria utafikiri walikata vichwa wakati wanazipitisha au kwakuwa wao haziwahusu?
 
Mbona unanitisha? [emoji22][emoji22][emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…