Jinsi zimwi la mapenzi kinyume na maumbile linavyo act kila hatua ya maisha yako

Jinsi zimwi la mapenzi kinyume na maumbile linavyo act kila hatua ya maisha yako

Ilikuwa hata kabla ya sodoma

Spirits zina mtindo wa kuabisha humanity

Na kwa njia ya mapenzi kinyume na umbile inatick boxes zote

SAsa spirits zinasomaga frequency na mtu mmoha kutumika kama catalyst,

Ndio maana tunaona hadi waarabu walikuwa wana fira wale slaves,

Ni generational
Kabla ya Sodoma na Gomora hakukuwa na hizo cases kuripotiwa kwenye bible

Nahisi ni pepo tu liliwakumba watu wa Sodoma ili maandiko ya Mungu yatimie

Kwasasa kinachoendelea kwenye Jamii zetu, itabidi tupige sana goti kuomba Mungu

Maana hadi Wanaume wenye familia, nao wanaingiliwa na Wanaume wenzao 🙌
 
Utazaliwa na kuitambua njia moja ya kutaka kupata tendo, ambayo ni kwenye uke.
sawa
Itafika hatua ambapo unakuwa mtazamaji wa pornograph, ambapo utaona "pleasure mpya" katika sehemu ya aja kubwa ya mwanamke, ile spiritual transmission inatoka kwa wale watu na itakuingia usiku wakati wa kulala.
Kwa hiyo suluhisho ni kuachana na porn?

Unaweza kuona na kuchangamana na wavutaji wa sigara, nk lakini usishawishike kuvuta. Ni sawa na hizo sex za matope, kama hupendi hazina mvuto, ni kinyaa.

Labda hayo mambo ya spirits ndo kipengele
 
Hiyo tabia imehamia hadi kwa kuku.
Jogoo anampanda jogoo mwenzake.
Kuna siku napinda zangu maeneo ya viwanja vya Malindi, kukawa na kundi kubwa la mbuzi, sasa kwenye harakati zao palikua na hicho kipengere cha kimasihara kimeshamiri mno, sikutilia maanani.

Nilivyosogea nikagundua wale wote walikua beberu ( mbuzi wa kiume). Nikabaki na maswali mengi kichwani huku nikijongea kwenye kijiwe cha urojo.
 
Yaani sijui shida ni nini
 
Yaani sijui shida ni nini
Tukiachilia wanyama, kwa upande wa binadamu, kwa sehem nakubaliana na mleta mada. Unaanza kwa wanawake kisha wanaume mwishowe na wewe unajikuta unataka ujaribiwe (unsleft group automatically)

Hua nawaza inakuaje upande hisia na mitsmbo ikae sawa kabisa tayari tayari kwa mwanaume mwenzako? Lazima kuna kitu cha ziada au akili inakua na mushkel kidogo.
 
Mbele alikua radhi kwa buku taru ila nyuma akaomba fifty. Nilikimbia
 
Back
Top Bottom