Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,208
- 20,517
Usipoamini.haibadilishi maana , ila huo ndo ukweli mimi nafuga naonaga hayo majangaSitaki kuamini kwenye hili, wanyama hawawezi kufanya huo ufirauni
Usipoamini.haibadilishi maana , ila huo ndo ukweli mimi nafuga naonaga hayo majangaSitaki kuamini kwenye hili, wanyama hawawezi kufanya huo ufirauni
Hakuna wanyama wanafanya hayo mjukuuUsipoamini.haibadilishi maana , ila huo ndo ukweli mimi nafuga najua
Hao ni mashoga mkuu tupia mbwa hawafai hata kwa kulaHiyo tabia imehamia hadi kwa kuku.
Jogoo anampanda jogoo mwenzake.
Nitupie mbwa nipate hasara😂Hao ni mashoga mkuu tupia mbwa hawafai hata kwa kula
Ukiwaacha maana yake Unahamasisha hayo mamboNitupie mbwa nipate hasara😂
ChaiUkiwaacha maana yake Unahamasisha hayo mambo
Aisee we jamaa mbingu utaisikilizia radioni...Hiyo tabia imehamia hadi kwa kuku.
Jogoo anampanda jogoo mwenzake.
Kuku sio kama paka wao popote wanapandanaAisee we jamaa mbingu utaisikilizia radioni...
Unachungulia mpaka kuku??
Kwakweli nimeamini hii GenZ ni for real...Ndiyo nasikia kwako kwa kweli
Pamoja na kuzaliwa mwaka 47, ila sijawahi kuona wanyama wanaingiliana nyuma 🙌
Yaani jogoo kabisa liache mtetea likimbilie jogoo jenzie??? Hivi ushaona vita ya majogoo??Kuku sio kama paka wao popote wanapandana
Fuga kuku mkuu! Halafu utakuja kuniambiaYaani jogoo kabisa liache mtetea likimbilie jogoo jenzie??? Hivi ushaona vita ya majogoo??
Mimi sio mjukuu Man , naweza zalisha wanawake 5 Kwa mpigo mtaani.Hakuna wanyama wanafanya hayo mjukuu
Labda ukute Wanacheza lakini sio dume kwa dume kuingiliana
Kwa binadamu wenyewe, wale wanaowaingilia wapenzi wao nyuma, lazima watumie lubricants
Ndiyo iwe kwa wanyama?
Siwezi kuamini kwa kweli
Nimefuga sana mkuu. Kwanza jogoo tu likimwona jogoo mwenzie anasogea karibu na himaya ya mitetea yake... Hiyo vita yake si ndogo...Fuga kuku mkuu! Halafu utakuja kuniambia
Binafsi nahisi hizi habari za wanyama kuingiliana ni habari za kusadikika, kuwapa ahueni gays wanaoshiriki ngono ya jinsia mojaKwakweli nimeamini hii GenZ ni for real...
Yaani hata kuku? Na uzee wangu huu sijawahi kushuhudia
Achana nao shem, Hadi Leo naona kinyaa kula kuku Kwa niliyoyaonaFuga kuku mkuu! Halafu utakuja kuniambia
Shem wako kwa nani lakini?Achana nao shem, Hadi Leo naona kinyaa kula kuku Kwa niliyoyaona
Dah nilishangaa juzi mara ya mwisho kushuhudia hivi ilikua mwaka juzi tena kwenye video,ila juzi nimeona live jogoo alikuwa kajifunga kamba miguuni nikamkamata hili nimvue kamba mwenzie akawa ananifuata, nilivyomaliza kumvua namtupa chini hapohapo yule jogoo aliyekuwa ananzonga akampandia kwa juu akamfanya chapuchap then akakimbia nilishangaa sanaHiyo tabia imehamia hadi kwa kuku.
Jogoo anampanda jogoo mwenzake.
Hongera kwa kuwa mfugaji, Mimi pia nimefuga ng'ombe na mbuzi, ukiachana na kuku na bataMimi sio mjukuu Man , naweza zalisha wanawake 5 Kwa mpigo mtaani.
Kuhusu wanyama fuga TU utajionea mwenyewe.
Mi nafuga najioneaga Dunia umebadilika hii
Zingatia neno miaka ya zamaniMimi nimewahi chunga mbuzi na ng'ombe miaka ya zamani, lakini sikuwahi kuona madume ya mbuzi/ng'ombe yakiingiliana