Jinsi zimwi la mapenzi kinyume na maumbile linavyo act kila hatua ya maisha yako

Jinsi zimwi la mapenzi kinyume na maumbile linavyo act kila hatua ya maisha yako

Binafsi nahisi hizi habari za wanyama kuingiliana ni habari za kusadikika, kuwapa ahueni gays wanaoshiriki ngono ya jinsia moja

Mimi nimewahi chunga mbuzi na ng'ombe miaka ya zamani, lakini sikuwahi kuona madume ya mbuzi/ng'ombe yakiingiliana
Hata mimi kwakweli leo napata habari mpya kabisa. Basi kama ni kweli basi naamini ni kweli dunia imefikia ukomo
 
Binafsi nahisi hizi habari za wanyama kuingiliana ni habari za kusadikika, kuwapa ahueni gays wanaoshiriki ngono ya jinsia moja

Mimi nimewahi chunga mbuzi na ng'ombe miaka ya zamani, lakini sikuwahi kuona madume ya mbuzi/ng'ombe yakiingiliana
Tema mate chini! Niongee kitu ili kuwapa ahueni gays ili iweje?
Nimeshuhudia zaidi ya mara 1 majogoo yakipandana.
Nimefuga sana mkuu. Kwanza jogoo tu likimwona jogoo mwenzie anasogea karibu na himaya ya mitetea yake... Hiyo vita yake si ndogo...
Utanifanya nishibde bandani ili nikiwaona niwarekodi nitume ushahidi.
 
Hongera kwa kuwa mfugaji, Mimi pia nimefuga ng'ombe na mbuzi, ukiachana na kuku na bata

Lakini sijawahi kuona hao wanyama wakiingiliana
Dah nilishangaa juzi mara ya mwisho kushuhudia hivi ilikua mwaka juzi tena kwenye video,ila juzi nimeona live jogoo alikuwa kajifunga kamba miguuni nikamkamata hili nimvue kamba mwenzie akawa ananifuata, nilivyomaliza kumvua namtupa chini hapohapo yule jogoo aliyekuwa ananzonga akampandia kwa juu akamfanya chapuchap then akakimbia nilishangaa sana
Mjadala uishe sasa
 
Waione Asprin na Grahams
 
Kwamba mifugo ya miaka hii kuna yenyewe hisia za kishoga?

Nyasi tulizolisha sisi mwaka 47 ndiyo hizo hizo wanazokula ng'ombe wa sasa

Sijaona huo utofauti kwa kweli

Labda ng'ombe wa sasa wengi ni gays 🙌
Mtoto wako wa kiume Leo alale na bamdogo ,anko sijui binamu halafu uje hapa uniambie
 
Kama watu wanaona punyeto tamu ndiyo watashindwa kuhisi huko ni kutamu pia

Pamoja na kula chumvi nyingi, sijawahi kuona hayo kwa kweli
Hili jambo lina sura mbili, hasa kwa Tanzania. 1. Kuna baadhi ya wanawake, hasa hawa wafuata mkumbo wasiojielewa huwa wanadanganyana kuwa ukimpa mwanamme nyuma unakuwa ni kama umemteka na hatakusahau.

Wanasema hata kama ameoa, basi atamsahau mke wake kwa sababu wao wameenda extra milena kutoa kitu ambacho mkewe hatoi. 2. Kna wanaume wanaoamini kuwa ukitaka kumkomoa mwanamke na asikuringie tena basi mpige nyuma. Wanaume wa aina hii hupenda sana wanawake wenye makalio makubwa.

Sasa ukichanganya haya ''maono'' unakuta kuna kundi lisilojielewa vs kundi linadhani linakomoa. Ila jambo la ukweli ni kuwa wanaume wengi wanaoomba huo mchezo, siyo kwamba wanawapenda hao wadada bali wanatibu matatizo yao ya kisaikolojia na wengi hata siku hawalawiti wake zao.
 
Binafsi kwenye hili, nitabaki tomaso

Wanyama wanaingiliana kwa lengo la kuzaliana tu sio starehe kama ilivyo sisi binadamu ambao tunafanya ngono kwa malengo mawili, kuzaliana na starehe

Ndiyo maana mtu anamnunua changudoa ili akastarehe naye sio kumzalisha
 
Tema mate chini! Niongee kitu ili kuwapa ahueni gays ili iweje?
Nimeshuhudia zaidi ya mara 1 majogoo yakipandana.
Huenda wanyama uliowaona walikuwa wakicheza, sio kuingiliana

Kiasili wanyama wanaingiliana jike akiwa kwenye joto tu

Ndiyo maana nimekuwa mgumu kukubaliana na suala hili
Utanifanya nishibde bandani ili nikiwaona niwarekodi nitume ushahidi.
Kama tutapata ushahidi wa video itapendeza sana Mkuu 🙏
 
Nlikuwa restaurant moja hapo Mcity. Nimekaa namsubiria demu mmoja kaniomba tukutane naye hapo.

Mbele yangu walikuwa wamekaa wadada wawili na man mmoja. Kilichonishtua ni yule dada mmoja alipoamka nadhani akienda kunawa.

Nyuma alionekana ameloana maeneo ambayo si mazuri kuyatamka katikati ya makebo yake. Inaonekana ni kraang ilikuwa inatiririka kwa sababu ya michezo ya kishetan ambayo wanawake wengi siku hizi hufanyiwa.

Hilo jambo lilinifikirisha sana. Na mimi binafsi nmewahi kutana na bidada moja linataka nilisogoe hayo maeneo nlikataa. Likaendelea kuniomba angalau niingine kidole. Sasa mimi naona hilo ni jambo la kishetan na kraang ya mtu siwezi ifanyia masikhara inanuka na ni uchafu.

Haya ni mambo ambayo tunapaswa kuyapinga sana na kuyazodia. Hili jambo hata wanaume wapo ambao wanatoa kraang ukikaa nao unajisikia kinyaa sababu tayari wamesha uza ubingwa. Wananuka kraang tu kama choo.
 
Back
Top Bottom