Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Sitaki kuamini kwenye hili, wanyama hawawezi kufanya huo ufirauni
Mr graham you will be shocked, although si intentional
Sitaki kuamini kwenye hili, wanyama hawawezi kufanya huo ufirauni
Kiasili wanyama wanaingiliana kwa lengo la kuzaliana tu, hadi jike awe heat ndiyo anaingiliwaMr graham you will be shocked, although si intentional
Inasikitisha sana.SIHITAJI SADAKA YAKO, MIMI SIO NABII, SIKUFUNDISHI UAMINI NINI, ILA NATAKA UJUE UKWELI
Utazaliwa na kuitambua njia moja ya kutaka kupata tendo, ambayo ni kwenye uke.
Itafika hatua ambapo unakuwa mtazamaji wa pornograph, ambapo utaona "pleasure mpya" katika sehemu ya aja kubwa ya mwanamke, ile spiritual transmission inatoka kwa wale watu na itakuingia usiku wakati wa kulala.
Either utapata transmission hii kupitia kuangalia pornograph au msichana atakaekufundisha umfanye kinyume na maumbile (zamani ndio ilitokana na hivi)
Baada ya hapo unakuwa addicted na kumfanya msichana kiyume na maumbile, hata kama umeomewa unaweza usimfanye mke wako hivi ila lazima utakuwa na michepuko au makahaba wa kuwafanya hivi.
Average itakuchukua miaka mitano au saba hivi wa kuwafanya wanawake kinyume na maumbile, then kuna siku utalala utaota upo karibu na shoga na unashangaa una pata matamanio ya kumfanya sex shoga, hutokea mara moja au mara mbili kwa wiki,
Hapo unakuta ile spirit imekomaa ndani yako, na ile ikutambulishe katika kuwafanya mashoga , ita transmit kwako kwa njia ya kiroho, kupitia ndoto.
Baada ya hapo unajikuta kuwa tayari kuwafanya mashoga na inakuwa tabia yako mpya, kitu ambacho haukuwahi kutegemea maishani mwako.
KInachofatia ni kurubuni vivulana vidogo kuvilawiti au kutengeneza mahusiano na mashoga wakubwa.
Hii ndio circle iliofanya ushoga usikome duniani.
Then hata wewe unaweza wa kutengeneza mtoto shoga , inatokana na pale unapokuwa umezoea kumfanya mwanamke wa nje malaya au mchepuko nyuma kavu kavu na siku ukimkuta mwanamke wako yupo heat , na ukaennda kavu kavu nae, ndio ile mnazaa mtoto ambae ili spirit inamuingia
usipinge binafsi nilisha shuhudia mbuzi na nilimpiga na alinifikirisha sana hii inawezekanaje na majike yapo pembeniSitaki kuamini kwenye hili, wanyama hawawezi kufanya huo ufirauni
Ni maoni yangu kwamba jambo hili ni gumu kufanywa na wanyamausipinge binafsi nilisha shuhudia mbuzi na nilimpiga na alinifikirisha sana hii inawezekanaje na majike yapo pembeni
😂😂😂Nyumbani tuna kuku! Baadhi yao wanafanya hivi hasa hawa chotara.
Semeni nyie, nishawahi shuhudia mabeberu mawili yanakulana.Hata mbuzi na baadhi ya wanyama wa mwituni hupandana jinsia moja, kama ujachunga mifugo huwezi kuelewa
sawa ila amini kuna wanyama wanaingiliana kama huchungi au kufuga huta amani au kuelewa ila kwa walio shuhudia wanajua binafsi sikuamini na sikutegemea na siyo kuambiwa ila nilishuhudia kwa macho yangu mwenyewe na kunifikirisha sana sana. na vilikuwa vimbuzi vidogo tu siyo wakubwa hata.Ni maoni yangu kwamba jambo hili ni gumu kufanywa na wanyama
Ili mnyama aingiliane, ni lazima jike awe katika heat
Bila hivyo, hawawezi kuingiliana, as wao wanafanya kwa nia ya kuzaliana
Sisi binadamu tumegeuza ngono starehe, ndiyo maana tupo busy hadi kuomba BlowJob na kubuni style hadi za popo kanyea mbingu 🙌
Hiyo tofauti ya bei ina maana kubwa, Nilitegemea ungekuja na uzoefu na kutujuza hapa.Mbele alikua radhi kwa buku taru ila nyuma akaomba fifty. Nilikimbia
WanafanyaSitaki kuamini kwenye hili, wanyama hawawezi kufanya huo ufirauni
Sijui wanatuchukuliaje wafugaji wanaodai hata wanyama pia hufanya huo upumbavu?Wanyama ipo miaka nanmiaka, kwa wale walisomea zoology, or wanyamapori understand this. Ni binadam wame popularize hii kitu
Haki niliona hii kitu ikabidi nimuulize jirani yangu mbona hivi? Yan sikulala kumuona jogoo anampanda jogoo mwenzankeHiyo tabia imehamia hadi kwa kuku.
Jogoo anampanda jogoo mwenzake.
Tabia mbaya kila sehemuHaki niliona hii kitu ikabido nomuulize jirani yangu mbona hivi? Yan sikulala kumuona jogoo anampanda jogoo mwenzanke
Hivyo vilikuwa vinacheza tu, huwezi kukuta mbuzi wakubwa beberu kwa beberu wanaingilianasawa ila amini kuna wanyama wanaingiliana kama huchungi au kufuga huta amani au kuelewa ila kwa walio shuhudia wanajua binafsi sikuamini na sikutegemea na siyo kuambiwa ila nilishuhudia kwa macho yangu mwenyewe na kunifikirisha sana sana. na vilikuwa vimbuzi vidogo tu siyo wakubwa hata.