Jinsi zimwi la mapenzi kinyume na maumbile linavyo act kila hatua ya maisha yako

Mr graham you will be shocked, although si intentional
Kiasili wanyama wanaingiliana kwa lengo la kuzaliana tu, hadi jike awe heat ndiyo anaingiliwa

Sisi binadamu tunaingiliana kwa lengo la kuzaliana na starehe zaidi

Ndiyo maana mwanamke ananunua dildo la kumpa starehe

Ndiyo maana Wanaume tunaweza kuomba kufanyiwa BlowJob ili kupata starehe

Kwahiyo nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba wanyama wanaingiliana kinyume Cha maumbile
 
Inasikitisha sana.
 
usipinge binafsi nilisha shuhudia mbuzi na nilimpiga na alinifikirisha sana hii inawezekanaje na majike yapo pembeni
Ni maoni yangu kwamba jambo hili ni gumu kufanywa na wanyama

Ili mnyama aingiliane, ni lazima jike awe katika heat

Bila hivyo, hawawezi kuingiliana, as wao wanafanya kwa nia ya kuzaliana

Sisi binadamu tumegeuza ngono starehe, ndiyo maana tupo busy hadi kuomba BlowJob na kubuni style hadi za popo kanyea mbingu 🙌
 
sawa ila amini kuna wanyama wanaingiliana kama huchungi au kufuga huta amani au kuelewa ila kwa walio shuhudia wanajua binafsi sikuamini na sikutegemea na siyo kuambiwa ila nilishuhudia kwa macho yangu mwenyewe na kunifikirisha sana sana. na vilikuwa vimbuzi vidogo tu siyo wakubwa hata.
 
WaTanzania tumeletewa tech huku tukiwa hatupo vizuri sana logically.

Ni kivipi mtu anaweza kuandika upotoshaji na watu wakalike na kuona mtu kaandika kitu sahihi?
 
 
Hiyo tabia imehamia hadi kwa kuku.
Jogoo anampanda jogoo mwenzake.
Haki niliona hii kitu ikabidi nimuulize jirani yangu mbona hivi? Yan sikulala kumuona jogoo anampanda jogoo mwenzanke
 
Hivyo vilikuwa vinacheza tu, huwezi kukuta mbuzi wakubwa beberu kwa beberu wanaingiliana

Wanyama wanaingiliana wanapotaka kuzaa tu

Sio kama sisi binadamu, unamlia demu karanga,korosho hadi Viagra ukapige shoo ya goli 5 ama 4

Wakati bao moja tu linatosha mkeo/mpenzi wako kubeba mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…