Hata mimi kwakweli leo napata habari mpya kabisa. Basi kama ni kweli basi naamini ni kweli dunia imefikia ukomoBinafsi nahisi hizi habari za wanyama kuingiliana ni habari za kusadikika, kuwapa ahueni gays wanaoshiriki ngono ya jinsia moja
Mimi nimewahi chunga mbuzi na ng'ombe miaka ya zamani, lakini sikuwahi kuona madume ya mbuzi/ng'ombe yakiingiliana
Tema mate chini! Niongee kitu ili kuwapa ahueni gays ili iweje?Binafsi nahisi hizi habari za wanyama kuingiliana ni habari za kusadikika, kuwapa ahueni gays wanaoshiriki ngono ya jinsia moja
Mimi nimewahi chunga mbuzi na ng'ombe miaka ya zamani, lakini sikuwahi kuona madume ya mbuzi/ng'ombe yakiingiliana
Utanifanya nishibde bandani ili nikiwaona niwarekodi nitume ushahidi.Nimefuga sana mkuu. Kwanza jogoo tu likimwona jogoo mwenzie anasogea karibu na himaya ya mitetea yake... Hiyo vita yake si ndogo...
Kwamba mifugo ya miaka hii kuna yenyewe hisia za kishoga?Zingatia neno miaka ya zamani
Hongera kwa kuwa mfugaji, Mimi pia nimefuga ng'ombe na mbuzi, ukiachana na kuku na bata
Lakini sijawahi kuona hao wanyama wakiingiliana
Mjadala uishe sasaDah nilishangaa juzi mara ya mwisho kushuhudia hivi ilikua mwaka juzi tena kwenye video,ila juzi nimeona live jogoo alikuwa kajifunga kamba miguuni nikamkamata hili nimvue kamba mwenzie akawa ananifuata, nilivyomaliza kumvua namtupa chini hapohapo yule jogoo aliyekuwa ananzonga akampandia kwa juu akamfanya chapuchap then akakimbia nilishangaa sana
Waione Asprin na GrahamsDah nilishangaa juzi mara ya mwisho kushuhudia hivi ilikua mwaka juzi tena kwenye video,ila juzi nimeona live jogoo alikuwa kajifunga kamba miguuni nikamkamata hili nimvue kamba mwenzie akawa ananifuata, nilivyomaliza kumvua namtupa chini hapohapo yule jogoo aliyekuwa ananzonga akampandia kwa juu akamfanya chapuchap then akakimbia nilishangaa sana
Mtoto wako wa kiume Leo alale na bamdogo ,anko sijui binamu halafu uje hapa uniambieKwamba mifugo ya miaka hii kuna yenyewe hisia za kishoga?
Nyasi tulizolisha sisi mwaka 47 ndiyo hizo hizo wanazokula ng'ombe wa sasa
Sijaona huo utofauti kwa kweli
Labda ng'ombe wa sasa wengi ni gays 🙌
Nimeishiwa pawa 🙌Kwasasa wanatumiana code ukikutana picha ya namna hii
Kutokea TEMEKE na viunga vyakeNimeishiwa pawa 🙌
Hili jambo lina sura mbili, hasa kwa Tanzania. 1. Kuna baadhi ya wanawake, hasa hawa wafuata mkumbo wasiojielewa huwa wanadanganyana kuwa ukimpa mwanamme nyuma unakuwa ni kama umemteka na hatakusahau.Kama watu wanaona punyeto tamu ndiyo watashindwa kuhisi huko ni kutamu pia
Pamoja na kula chumvi nyingi, sijawahi kuona hayo kwa kweli
Huo ujinga nilishakataaMtoto wako wa kiume Leo alale na bamdogo ,anko sijui binamu halafu uje hapa uniambie
Binafsi kwenye hili, nitabaki tomaso
Hizo ni habari za kusadikika, wanyama hawawezi kufanya kinyume cha maumbile MkuuMjadala uishe sasa
Huenda wanyama uliowaona walikuwa wakicheza, sio kuingilianaTema mate chini! Niongee kitu ili kuwapa ahueni gays ili iweje?
Nimeshuhudia zaidi ya mara 1 majogoo yakipandana.
Kama tutapata ushahidi wa video itapendeza sana Mkuu 🙏Utanifanya nishibde bandani ili nikiwaona niwarekodi nitume ushahidi.