Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka kadhaa iliyopita kampuni yaTata Chemicals ya India ilianza mchakato wa kujenga kiwanda cha kutengeneza Soda Ash (Sodium Carbonate) lakini kukawa na upinzani kutoka watu wa Mazingira kwa madai kuwa kiwanda hicho kingeathiri mazalia ya ndege aina ya flamingo ambao ni kivutio cha utalii,inavyoelekea watetezi wa mazingira walishinda ndiyo maana hiyo project ilikufa natural death.Ziwa Natron linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania mkapani na Kenya lina chemical materials ambazo ni muhimu viwandani. Ziwa Natron lina sodium carbonate na baking soda zenye matumizi mbalimbali.
Kama umeangalia kwa makini mwendelezo katika nyanja za sayansi, teknolojia na uvumbuzi duniani utaona na kugundua kuwa moja ya kitu kinachosukuma mabadiliko hayo ni ubunifu wa betri zinazoweza kukaa kwa muda mrefu.
Kuanzia kwa drones, magari ya umeme, baiskeli na pikipiki za umeme, umeme wa nishati mbadala kama jua, laptop computers, cellphones, machine zinazoongozwa na Artificial Intelligence, nk. hizi zote zinasukumwa na maboresho na ubunifu wa betri zinazoweza kukaa muda mrefu na ambazo ni "rechargeable". Ziwa Natron lina kemikali zinazoweza kutumika katika utengenezaji wa betri hizo.
Kuna mahitaji ya glass/vioo kwa matumizi mbalimbali. Duniani kote matumizi ya vioo ni makubwa sana. Kuanzia kwenye utengenezaji wa madirisha, milango na kuta za majengo ya kisasa, vioo vya magari, treni na ndege, vioo vya furniture, vyombo vya jikoni, electronics, nk. matumizi na mahitaji ya vioo ni makubwa sana. Ziwa Natron lina kemikali zinazohitajika sana katika utengenezaji wa vioo.
Embu niambieni nini nisichojua kinachokwamisha Ziwa Natron lisitumike ipasavyo kukuza uchumi wa nchi.
Kinacho kwamisha naona ni Ujinga (Elimu).
Mfano Juzi umetokea moto huko Kalfonia, waafrika wengi wamekaa na kusema ule moto ameuwasha Mungu ili aiunguze Kalfonia kwa dhambi zao.
Sasa kwa akili hizi hatuwezi kufanya mabadiliko yoyote maana bado tunaishi kwenye zama za imani na Ujinga.
Raia wa California watakuja na kuzitumia rasilimali zinazopatikana ziwa Natroni na kuijenga Kalfonia yao upya na kuiacha afrika ikiwa hivi hivi (kama wanavyo chimba Almasi, Dhahabu na kupeleka kwao huku wakituachia mshimo)
Mwisho wa siku Afrika tutabaki hivi hivi na ujinga wetu.
Ni mawazo finyu kwa kweli. Lake Natron ni eneo pekee Afrika Mashariki ambamo ndege aina ya "lesser flamingos" wanazaliana. Hawa wanaweza kuwa sehemu ya vivutio vya utalii kwa mamia ya miaka ijayo wakati hiyo soda ash itaweza kuvunwa sana sana kwa miaka 150 tu. Aidha, tunajua kuwa watakaoajiriwa katika kiwanda hawatakuwa wenyeji wa hilo eneo na faida itakayopatikana haitatumika kwa manufaa.Ziwa Natron linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania mkapani na Kenya lina chemical materials ambazo ni muhimu viwandani. Ziwa Natron lina sodium carbonate na baking soda zenye matumizi mbalimbali.
Kama umeangalia kwa makini mwendelezo katika nyanja za sayansi, teknolojia na uvumbuzi duniani utaona na kugundua kuwa moja ya kitu kinachosukuma mabadiliko hayo ni ubunifu wa betri zinazoweza kukaa kwa muda mrefu.
Kuanzia kwa drones, magari ya umeme, baiskeli na pikipiki za umeme, umeme wa nishati mbadala kama jua, laptop computers, cellphones, machine zinazoongozwa na Artificial Intelligence, nk. hizi zote zinasukumwa na maboresho na ubunifu wa betri zinazoweza kukaa muda mrefu na ambazo ni "rechargeable". Ziwa Natron lina kemikali zinazoweza kutumika katika utengenezaji wa betri hizo.
Kuna mahitaji ya glass/vioo kwa matumizi mbalimbali. Duniani kote matumizi ya vioo ni makubwa sana. Kuanzia kwenye utengenezaji wa madirisha, milango na kuta za majengo ya kisasa, vioo vya magari, treni na ndege, vioo vya furniture, vyombo vya jikoni, electronics, nk. matumizi na mahitaji ya vioo ni makubwa sana. Ziwa Natron lina kemikali zinazohitajika sana katika utengenezaji wa vioo.
Embu niambieni nini nisichojua kinachokwamisha Ziwa Natron lisitumike ipasavyo kukuza uchumi wa nchi.
Miaka kadhaa iliyopita kampuni yaTata Chemicals ya India ilianza mchakato wa kujenga kiwanda cha kutengeneza Soda Ash (Sodium Carbonate) lakini kukawa na upinzani kutoka watu wa Mazingira kwa madai kuwa kiwanda hicho kingeathiri mazalia ya ndege aina ya flamingo ambao ni kivutio cha utalii,inavyoelekea watetezi wa mazingira walishinda ndiyo maana hiyo project ilikufa natural death.
Vingine tuwaachiage viumbe wengine. Dunia si yetu peke yetu. Hapo tuwaachie flamingo na watoto wao. Kwanza humo hakuna madini ya betri.
Pamoja na kwamba najali sana umuhimu wa kutunza viumbe hai na asili, nadhani hii project inaweza kufanyika bila kuathiri uwepo wao.Ni mawazo finyu kwa kweli. Lake Natron ni eneo pekee Afrika Mashariki ambamo ndege aina ya "lesser flamingos" wanazaliana. Hawa wanaweza kuwa sehemu ya vivutio vya utalii kwa mamia ya miaka ijayo wakati hiyo soda ash itaweza kuvunwa sana sana kwa miaka 150 tu. Aidha, tunajua kuwa watakaoajiriwa katika kiwanda hawatakuwa wenyeji wa hilo eneo na faida itakayopatikana haitatumika kwa manufaa.
Ni watu myopic ndio peke yao wanaweza kuupigia debe mradi huu.
Inanikumbusha suala la vyura wa Kihansi. Hatukutaka kusikia lolote tulipoambiwa umuhimu wa wale vyura. Wamarekani wakawachukua baadhi na kuwatunza Marekani. Sasa tunajifanya kuwataka maana wametoweka kabisa kwetu. Hivyo hivyo tusimlaumu mtu hao lesser flamingos wakihamia Kenya au kwingine.
Amandla....
Ni mchanganyiko wa madini na joto la ziwa hilo ndio inawawezesha kuzaliana pale. Yale maji sio ya kunywa tu. Hali ya ziwa ikibadilika wataondoka na kutafuta sehemu nyingine yenye mazingira kama hayo. Mazingira ya Lake Natron ni unique ndio maana yanawafaa. Ingekuwa mazingira ya maziwa mengine yanawafaa pasingekuwa mahali pekee Afrika Mashariki ambapo wanazaliana. Uvunaji na ujenzi wa kiwanda na nyumba za makazi vitaharibu kabisa mazingira. Na tukisha yaharibu hatutaweza kuyarudisha tena.Pamoja na kwamba najali sana umuhimu wa kutunza viumbe hai na asili, nadhani hii project inaweza kufanyika bila kuathiri uwepo wao.
Kwanza sidhani kama hao flamingo wasipokunywa maji ya Ziwa Natron, wakapewa vyanzo vingine vya maji na chakula watakufa na kupotea.
Baada ya post yangu nimeona gazeti la The Citizen la wiki hii limesema serikali inaenda kuuendeleza huu mradi. Nilitaka kuocopy ile article ila nimeshindwa. Unaweza kuisoma kwa kwenda kwenye link hii.
Tanzania revives controversial Lake Natron soda ash project
Usiseme sana mpaka Zanzibar wakasikia. Hawachelewi kuwahamisha wenyeji wa hapo kwa nguvu kisha kwa kisingizio wanachafua mazingira Kisha, wakalamba mzigo wote na kuwaacha Watanganyika wakiwa hoi.Ziwa Natron linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania mkapani na Kenya lina chemical materials ambazo ni muhimu viwandani. Ziwa Natron lina sodium carbonate na baking soda zenye matumizi mbalimbali.
Kama umeangalia kwa makini mwendelezo katika nyanja za sayansi, teknolojia na uvumbuzi duniani utaona na kugundua kuwa moja ya kitu kinachosukuma mabadiliko hayo ni ubunifu wa betri zinazoweza kukaa kwa muda mrefu.
Kuanzia kwa drones, magari ya umeme, baiskeli na pikipiki za umeme, umeme wa nishati mbadala kama jua, laptop computers, cellphones, machine zinazoongozwa na Artificial Intelligence, nk. hizi zote zinasukumwa na maboresho na ubunifu wa betri zinazoweza kukaa muda mrefu na ambazo ni "rechargeable". Ziwa Natron lina kemikali zinazoweza kutumika katika utengenezaji wa betri hizo.
Kuna mahitaji ya glass/vioo kwa matumizi mbalimbali. Duniani kote matumizi ya vioo ni makubwa sana. Kuanzia kwenye utengenezaji wa madirisha, milango na kuta za majengo ya kisasa, vioo vya magari, treni na ndege, vioo vya furniture, vyombo vya jikoni, electronics, nk. matumizi na mahitaji ya vioo ni makubwa sana. Ziwa Natron lina kemikali zinazohitajika sana katika utengenezaji wa vioo.
Embu niambieni nini nisichojua kinachokwamisha Ziwa Natron lisitumike ipasavyo kukuza uchumi wa nchi.
Eti vitu rahisi kabisa kama teknolojia ya kutengeneza betri tunashindwa kweli?Ila Cha kushangaza utasikia wanasayansi wetu wanataka kutengeneza Ndege na treni ya mwendokasi
Badala ya kutengeneza vitu vyenye tija Kwa Taifa kama hizo Betri
Hi nchi tumelogwa na aliyetuloga ameshakufa
Unadhani ni kama betri za redio?Eti vitu rahisi kabisa kama teknolojia ya kutengeneza betri tunashindwa kweli?
Siyo kwa Tanzania ambayo ina wapumbavu wengiiZiwa Natron linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania mkapani na Kenya lina chemical materials ambazo ni muhimu viwandani. Ziwa Natron lina sodium carbonate na baking soda zenye matumizi mbalimbali.
Kama umeangalia kwa makini mwendelezo katika nyanja za sayansi, teknolojia na uvumbuzi duniani utaona na kugundua kuwa moja ya kitu kinachosukuma mabadiliko hayo ni ubunifu wa betri zinazoweza kukaa kwa muda mrefu.
Kuanzia kwa drones, magari ya umeme, baiskeli na pikipiki za umeme, umeme wa nishati mbadala kama jua, laptop computers, cellphones, machine zinazoongozwa na Artificial Intelligence, nk. hizi zote zinasukumwa na maboresho na ubunifu wa betri zinazoweza kukaa muda mrefu na ambazo ni "rechargeable". Ziwa Natron lina kemikali zinazoweza kutumika katika utengenezaji wa betri hizo.
Kuna mahitaji ya glass/vioo kwa matumizi mbalimbali. Duniani kote matumizi ya vioo ni makubwa sana. Kuanzia kwenye utengenezaji wa madirisha, milango na kuta za majengo ya kisasa, vioo vya magari, treni na ndege, vioo vya furniture, vyombo vya jikoni, electronics, nk. matumizi na mahitaji ya vioo ni makubwa sana. Ziwa Natron lina kemikali zinazohitajika sana katika utengenezaji wa vioo.
Embu niambieni nini nisichojua kinachokwamisha Ziwa Natron lisitumike ipasavyo kukuza uchumi wa nchi.
NAKAZIAHii post iwekewe lamination
🤣🤣🤣🤣........shida Iko wapi hapo kwenye baking oowder? Si mama ntilie na migahawa zitapika maandazi mengi kwa gharama nafuu kuwezesha walaji kununua maandazi kwa bei nafuu? Pato la mama ntilie itaongezeka maradufu. Siyo utajiri huo?Tumeshindwa kutajirika kwa Gesi, Dhahabu na Tanzanite tuje tutajirike kwa baking soda, acha basiii 😅
Hii nchi hii. 🚮