Jinsi Ziwa Natron linavyoweza kuifanya Tanzania kuwa moja ya mataifa tajiri duniani

Jinsi Ziwa Natron linavyoweza kuifanya Tanzania kuwa moja ya mataifa tajiri duniani

Ila Cha kushangaza utasikia wanasayansi wetu wanataka kutengeneza Ndege na treni ya mwendokasi

Badala ya kutengeneza vitu vyenye tija Kwa Taifa kama hizo Betri

Hi nchi tumelogwa na aliyetuloga ameshakufa
Tatizo ni watu wanaoyakimbia masomo ya sayansi ili waendelee kutunga hadithi tu.
Russia siku zote iko juu kwenye hisabati,sayansi ya anga kwa kuwa sayansi ndio ufumbuzi wa mambo mengi yanayoamua kuendelea kuwepo au kutowepo dunia yetu.
Pammoja na kishoka kutopendwa na nchi za magharibi kwenye vita vya Ukraine lakini kila siku anatoa masilaa mapya ya kufuta Ulaya kwa muda mfupu ikiwemo Ujerumani.
Puuzeni sayasi ili tufutike.
 
Ziwa Natron linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania mkapani na Kenya lina chemical materials ambazo ni muhimu viwandani. Ziwa Natron lina sodium carbonate na baking soda zenye matumizi mbalimbali.

Kama umeangalia kwa makini mwendelezo katika nyanja za sayansi, teknolojia na uvumbuzi duniani utaona na kugundua kuwa moja ya kitu kinachosukuma mabadiliko hayo ni ubunifu wa betri zinazoweza kukaa kwa muda mrefu.

Kuanzia kwa drones, magari ya umeme, baiskeli na pikipiki za umeme, umeme wa nishati mbadala kama jua, laptop computers, cellphones, machine zinazoongozwa na Artificial Intelligence, nk. hizi zote zinasukumwa na maboresho na ubunifu wa betri zinazoweza kukaa muda mrefu na ambazo ni "rechargeable". Ziwa Natron lina kemikali zinazoweza kutumika katika utengenezaji wa betri hizo.

Kuna mahitaji ya glass/vioo kwa matumizi mbalimbali. Duniani kote matumizi ya vioo ni makubwa sana. Kuanzia kwenye utengenezaji wa madirisha, milango na kuta za majengo ya kisasa, vioo vya magari, treni na ndege, vioo vya furniture, vyombo vya jikoni, electronics, nk. matumizi na mahitaji ya vioo ni makubwa sana. Ziwa Natron lina kemikali zinazohitajika sana katika utengenezaji wa vioo.

Embu niambieni nini nisichojua kinachokwamisha Ziwa Natron lisitumike ipasavyo kukuza uchumi wa nchi.

Utajiri namba Moja ni rasilimali watu. Singapore, Luxembourg, Swiss, Austria wanachimba nini?

For far too long waafrica hasa wabongo mmejazwa ujinga kwamba nchi yenu ni tajiri sana na nchi zingine zote zinawaonea wivu, I'm sorry to break it to you, utajiri wa rasilimali wa TZ ni wakawaida sana.

Natural resources zipo dunia nzima. Hazipo kwetu tu. Tofauti yetu na hizo nchi zingine ni cheap labor basi. Madini yote yaliopo TZ yanapatikana USA, Canada, Australia, China, Indonesia, Brazil, Congo in abundance. Kufikiri kwamba sisi ni matajiri sana wakati watu wetu hawana maarifa ni kulishana upepo.

2010 walisema TZ kuna gas ya kutosha na nchi nzima itakua tajiri, hiyo ndoto imeishia wapi? Utajiri wa gold, almas inayochimbwa toka miaka ya uwani imewafikisha wapi?

Nothing will change if you don't invest in people, that is how China, Singapore, S. Korea made a giant leap. Sio rasilimali.
 
NAPONGEZA SEREKALI KWA KUANZA MPANGO WA UCHIMBAJI MAGADI SODA, HUKO MONDULI, LAKINI TUNGEOMBA MASTER PLAN YA UVUNAJI WA MADINI HAYO, JE UVUNAJI HUO HAUTALIGUSA ZIWA LETU NATRON?, ENDAPO KAMA HAWATALIGUSA, ENDELEENI NA MUNGU AWABARIKI SANA.
 
Kama tumeweza kujenga SGR + JNHPP +Kigongo - Busisi Bridge + Tanzanite Bridge bila ya kwanza kuimpliment Mradi wa Liganga, hakuna serikali ya CCM inaweza fanya tukapata manufaa ya Ziwa Natron.
 
Utajiri namba Moja ni rasilimali watu. Singapore, Luxembourg, Swiss, Austria wanachimba nini?

For far too long waafrica hasa wabongo mmejazwa ujinga kwamba nchi yenu ni tajiri sana na nchi zingine zote zinawaonea wivu, I'm sorry to break it to you, utajiri wa rasilimali wa TZ ni wakawaida sana.

Natural resources zipo dunia nzima. Hazipo kwetu tu. Tofauti yetu na hizo nchi zingine ni cheap labor basi. Madini yote yaliopo TZ yanapatikana USA, Canada, Australia, China, Indonesia, Brazil, Congo in abundance. Kufikiri kwamba sisi ni matajiri sana wakati watu wetu hawana maarifa ni kulishana upepo.

2010 walisema TZ kuna gas ya kutosha na nchi nzima itakua tajiri, hiyo ndoto imeishia wapi? Utajiri wa gold, almas inayochimbwa toka miaka ya uwani imewafikisha wapi?

Nothing will change if you don't invest in people, that is how China, Singapore, S. Korea made a giant leap. Sio rasilimali.
Uko sahihi kabisa. Halmashauri badala ya kuwekeza kwenye huduma wanagawa viwanja tu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom