Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hii si kama IT tu ya pale DIT?
Kwa inakua ipo moja tu?wakiweka Iron dome nyingi inazuiaHii ndio Iron dome iliyoboreshwa?
Ikikutana na maroketi zaidi ya 1000 mfululizo lazima izidiwe
T14 Armata
Ni kweli nae Marekani anawapa support kimtindo, kumbuka pato la taifa la Israel kwa mwaka huu pekee ni dola bilioni 500 sawa na shilingi trilioni elf 1,400,Israel wanapewa dollars billion 3 ($ 3 billion) na US kila mwaka ili kugharamia huo mfumo wa Iron dome.
Kiufupi huo mfumo upo Israel ila unafadhiliwa na kugharamiwa na US.
Mkumbushe matajiri wakubwa pale US ni waisrael so US lazima apeleke misaada sio kwa kujificha bali kwa kulinda maslahi ya kibiashara zaidiWaarabu ni wabinafsi, familia chache zimejimilikisha visima vya mafuta huku wengine wana hali mbaya kiuchumi, na ndio hawa unawakuta wana jeuri ya pesa ana magari 100, majumba kibao, n.k. hajali kuwa kuna waarabu wengi wana hali duni
Wayahudi wapo matajiri wengi lakini wana nidhamu ya pesa na ni wasomi, wanaishi simple, tajiri unamkuta ana gari moja na wala hajitangazi, fedha zingine anasaidia wengine, na hawezi kukataa msaada hata apewe laki 1.
Mkuu nikujuze tu ya kwamba pato la taifa kwa mwaka huu tu ni dola bilioni 500 sawa na shilingi zetu trilioni elf moja na mia nne, hapo kumbuka wana vita, itoshe kusema kiuchumi wamejitahidiWaisraeli na Israel yao sio matajiri ila Wayahudi ni matajiri. Israel haiwezi kuwa tajiri sababu haina resources, ina changamoto za kiusalama, haipo strategically located kama sisi au Singapore. Yani Israel haina lolote la kuifanya iwe nzuri kiuchumi, pale ilipo ni juhudi na akili kubwa yao. Ikitakiwa iwe level za Yemen, wale ndio Middle East wasio na rasilimali kabisa. Usiilinganishe Israel na Qatar nchi ya pili kwa kuchimba gesi duniani. Usiilinganishe na Saudi Arabia inayouza zaidi ya mapipa milioni 2 ya mafuta kila siku.
Wapemba ni matajiri Kariakoo, ila Pemba sio eneo tajiri. Ukiwa Pemba uuze nini ili uwe tajiri? Samaki uuze Tanga, Unguja, Dar ambapo nao wanavua? Ulime kwa ardhi gani iliyopo Pemba?
Sababu mojawapo ya Wayahudi kuchukiwa ni kila wakienda sehemu wanatajirika na kushika sekta nyeti kuliko wazawa. Usingekuwa Uislamu wabongo wangewachukia Waarabu ambao hata Kiswahili hawajui fasaha ila wanamiliki uchumi wa miji. Wahindi hawapendwi wanatajirika kwa hela wakati Wazaramo wanatajirika kwa singeli na vigodoro.
Ila watu wana uchumi kudadeki hiyo bado sio nchi tajiri level za kina US China nkMkuu nikujuze tu ya kwamba pato la taifa kwa mwaka huu tu ni dola bilioni 500 sawa na shilingi zetu trilioni elf moja na mia nne, hapo kumbuka wana vita, itoshe kusema kiuchumi wamejitahidi
Mchawi bando
Timu pempaz wamejipangaDaah KOBAZ kazi kwao
Hakuna watu wanafrana kama waarabu msijidangane.Timu pempaz wamejipanga
Rocket za Hamas sio kipimo sahihi cha iron dome. Japo ndio mfumo wao wa IDS ila bado haijakutana na changamoto za ukweli. Siku nchi kama Tutkey, Iran na wahuni wa Hizbollah wakinukishe ndio watajua anga lao lipo salama kwa kiwango gani.Tumia akili braza hakuna kombora la Tsh 125M, ingekuwa hivo hata sisi TZ tungekuwa tunavimiliki ok so punguza shobo yakheee!!
Alafu punguza pia ujinga, hakuna kombora lililotengenezwa kienyeji ok, so unamanisa Iran inatengeneza vitu kienyeji?
Iron Dome ni level nyingine, tukubali tu yaishe, coz kazi yake imeonekana Duniani hata Ayatollah anajiuliza hii akili Muisrael kaitoa wapi.
Upo sahihHakuna watu wanafrana kama waarabu msijidangane.
Ndio maana ma ostadh kutwa wanafra watoto
Sasa kwanini wa naomba misaada marekani na Ulaya.Waisrael ndio wanashikilia mifumo ya fedha, suala la pesa sio tatizo kwao ila hawasemi hadharani, missle moja ya iron dome kuwa dola elf 50 kwao ni kama kununua mawe ya manati.
Mambo ya fedha hayawaumizi vichwa.
Yaah tuwe wakweli:Upo sahih
Lkn upande ule imekua rasm mpaka ndoa zinafungwa serikalin
Sasa kama Israel inajiweza hicho kielehele cha Marekani kupeleka meli ,silaha , na wanajeshi nchini Israel kinatoka wapi?Israel iliwahi poteza vita moja tu, vita ya propaganda dhidi ya Waislamu na Waarabu. Na hiyo vita inaenda kuwa neutral diplomasia zinafanya kazi.
Hizo nyingine waletwe hao Hezbollah, Hamas, Iran, Islamic Jihad na yeyote tukae miezi michache tuone baada ya vita kuisha ni ardhi ya nchi gani imeongezeka.
Syria wanajua, Jordan hao hata ukiwa gaidi ndani yao ukaitishia Israel wanakupiga alafu wanaitaarifu Israel kwa kuomba msamaha. Sera kwa sasa ni ileile, ukishindwa kumkanya mwanao tutajua unamtuma wewe na tutakuja kumuadhibu wenyewe kwako. Misri hana huo muda, avunje mkataba Sinai ibebwe tena.
Ni mambo ya siasa za kimataifa, hata Uingereza ikiingia vitani inaweza kuomb isaidiwe hata chakula, si kwamba hawana chakula bali ni kusapotiana kwenye majanga (anaekusaidia kwenye shida ndie wa kumsaidia akipata shida)Sasa kwanini wa naomba misaada marekani na Ulaya.
Sasa mkuu unalinganishaje banana republic na taifa lenye kutumia akili kila kitu.Mkuu nikujuze tu ya kwamba pato la taifa kwa mwaka huu tu ni dola bilioni 500 sawa na shilingi zetu trilioni elf moja na mia nne, hapo kumbuka wana vita, itoshe kusema kiuchumi wamejitahidi
Marekani kuna matajiri kutoka kila jamii.Mkumbushe matajiri wakubwa pale US ni waisrael so US lazima apeleke misaada sio kwa kujificha bali kwa kulinda maslahi ya kibiashara zaidi
Ilisha shindwa vita nyingi tu na ndio maana walipingwa na kufurushwa mashariki ya kati na warumi wakaenda kutanga tanga duniani.