Jionee mwenyewe jinsi teknolojia inayotumika Israel kuzuia makombora ilivyoboreshwa, akili iliyotumika kubuni huu mtambo si ya kawaida

Jionee mwenyewe jinsi teknolojia inayotumika Israel kuzuia makombora ilivyoboreshwa, akili iliyotumika kubuni huu mtambo si ya kawaida

Israel wanapewa dollars billion 3 ($ 3 billion) na US kila mwaka ili kugharamia huo mfumo wa Iron dome.

Kiufupi huo mfumo upo Israel ila unafadhiliwa na kugharamiwa na US.
Ni kweli nae Marekani anawapa support kimtindo, kumbuka pato la taifa la Israel kwa mwaka huu pekee ni dola bilioni 500 sawa na shilingi trilioni elf 1,400,
 
Waarabu ni wabinafsi, familia chache zimejimilikisha visima vya mafuta huku wengine wana hali mbaya kiuchumi, na ndio hawa unawakuta wana jeuri ya pesa ana magari 100, majumba kibao, n.k. hajali kuwa kuna waarabu wengi wana hali duni

Wayahudi wapo matajiri wengi lakini wana nidhamu ya pesa na ni wasomi, wanaishi simple, tajiri unamkuta ana gari moja na wala hajitangazi, fedha zingine anasaidia wengine, na hawezi kukataa msaada hata apewe laki 1.
Mkumbushe matajiri wakubwa pale US ni waisrael so US lazima apeleke misaada sio kwa kujificha bali kwa kulinda maslahi ya kibiashara zaidi
 
Waisraeli na Israel yao sio matajiri ila Wayahudi ni matajiri. Israel haiwezi kuwa tajiri sababu haina resources, ina changamoto za kiusalama, haipo strategically located kama sisi au Singapore. Yani Israel haina lolote la kuifanya iwe nzuri kiuchumi, pale ilipo ni juhudi na akili kubwa yao. Ikitakiwa iwe level za Yemen, wale ndio Middle East wasio na rasilimali kabisa. Usiilinganishe Israel na Qatar nchi ya pili kwa kuchimba gesi duniani. Usiilinganishe na Saudi Arabia inayouza zaidi ya mapipa milioni 2 ya mafuta kila siku.

Wapemba ni matajiri Kariakoo, ila Pemba sio eneo tajiri. Ukiwa Pemba uuze nini ili uwe tajiri? Samaki uuze Tanga, Unguja, Dar ambapo nao wanavua? Ulime kwa ardhi gani iliyopo Pemba?

Sababu mojawapo ya Wayahudi kuchukiwa ni kila wakienda sehemu wanatajirika na kushika sekta nyeti kuliko wazawa. Usingekuwa Uislamu wabongo wangewachukia Waarabu ambao hata Kiswahili hawajui fasaha ila wanamiliki uchumi wa miji. Wahindi hawapendwi wanatajirika kwa hela wakati Wazaramo wanatajirika kwa singeli na vigodoro.
Mkuu nikujuze tu ya kwamba pato la taifa kwa mwaka huu tu ni dola bilioni 500 sawa na shilingi zetu trilioni elf moja na mia nne, hapo kumbuka wana vita, itoshe kusema kiuchumi wamejitahidi
 
Mkuu nikujuze tu ya kwamba pato la taifa kwa mwaka huu tu ni dola bilioni 500 sawa na shilingi zetu trilioni elf moja na mia nne, hapo kumbuka wana vita, itoshe kusema kiuchumi wamejitahidi
Ila watu wana uchumi kudadeki hiyo bado sio nchi tajiri level za kina US China nk
 
Tumia akili braza hakuna kombora la Tsh 125M, ingekuwa hivo hata sisi TZ tungekuwa tunavimiliki ok so punguza shobo yakheee!!

Alafu punguza pia ujinga, hakuna kombora lililotengenezwa kienyeji ok, so unamanisa Iran inatengeneza vitu kienyeji?

Iron Dome ni level nyingine, tukubali tu yaishe, coz kazi yake imeonekana Duniani hata Ayatollah anajiuliza hii akili Muisrael kaitoa wapi.
Rocket za Hamas sio kipimo sahihi cha iron dome. Japo ndio mfumo wao wa IDS ila bado haijakutana na changamoto za ukweli. Siku nchi kama Tutkey, Iran na wahuni wa Hizbollah wakinukishe ndio watajua anga lao lipo salama kwa kiwango gani.
 
Waisrael ndio wanashikilia mifumo ya fedha, suala la pesa sio tatizo kwao ila hawasemi hadharani, missle moja ya iron dome kuwa dola elf 50 kwao ni kama kununua mawe ya manati.

Mambo ya fedha hayawaumizi vichwa.
Sasa kwanini wa naomba misaada marekani na Ulaya.
 
Hiyo ndio David Sling? Mtagin Faizafox aje atizame Burudani
 
Israel iliwahi poteza vita moja tu, vita ya propaganda dhidi ya Waislamu na Waarabu. Na hiyo vita inaenda kuwa neutral diplomasia zinafanya kazi.

Hizo nyingine waletwe hao Hezbollah, Hamas, Iran, Islamic Jihad na yeyote tukae miezi michache tuone baada ya vita kuisha ni ardhi ya nchi gani imeongezeka.

Syria wanajua, Jordan hao hata ukiwa gaidi ndani yao ukaitishia Israel wanakupiga alafu wanaitaarifu Israel kwa kuomba msamaha. Sera kwa sasa ni ileile, ukishindwa kumkanya mwanao tutajua unamtuma wewe na tutakuja kumuadhibu wenyewe kwako. Misri hana huo muda, avunje mkataba Sinai ibebwe tena.
Sasa kama Israel inajiweza hicho kielehele cha Marekani kupeleka meli ,silaha , na wanajeshi nchini Israel kinatoka wapi?

Kama ni historia hata Iran haina historia ya kushindwa vita tena dhidi ya maadui wenye nguvu kuwazidi hao maadui wa Israel kwa karne kadhaa mpaka sasa.

Mbona Lebanon hai kugawanywa nusu kwa nusu mwaka 2006 badala yake Israel ndo aliye razimika kutema ardhi aliye iteka kutoka kwa jeshi la Lebanon?

Mbona kwenye vita ya Sinai Israel hakuongeza eneo ndani ya misri badala yake akaitema Sinai baada ya Marekani kumshawishi Sadart azuie wanajeshi wa misri wasisonge mbele kwa ahadi za mabilioni ya dora kila mwaka kutoka Marekani?

Mpaka sasa Israel imesha dondosha mabomu 7,000 kwenye kieneo kidogo kama gaza lakini mpaka sasa bado hamas wanarusha maroketi ndani ya Israel sasa hiyo miundo mbinu ya hamas wanayo sema wanaipiga iko wapi?

Dunia kwa sasa imebadilika sana achana na mambo ya nyuma ya sijui historia kwa sababu hata Ujerumani kabla ya kushindwa vita ya dunia alikuwa amesha shinda vita huko nyuma.

Mfano Tz tuilishinda Uganda na mpaka tukaiteka kampala,ina maana Nyerere angeamua kuichukua wenda mpaka sasa Uganda ingekuwa sehemu ya Tz, lakini hilo halimaanishi ya kuwa leo tunaweza kwenda vitani na Uganda tukaiteka mpaka Kampala kama mwaka 1979.

Usalama wa Israel unadhaminiwa na Marekani na Unafiki wa waarabu full stop hizo zingine ni story za abunwasi.
 
Sasa kwanini wa naomba misaada marekani na Ulaya.
Ni mambo ya siasa za kimataifa, hata Uingereza ikiingia vitani inaweza kuomb isaidiwe hata chakula, si kwamba hawana chakula bali ni kusapotiana kwenye majanga (anaekusaidia kwenye shida ndie wa kumsaidia akipata shida)
 
Mkuu nikujuze tu ya kwamba pato la taifa kwa mwaka huu tu ni dola bilioni 500 sawa na shilingi zetu trilioni elf moja na mia nne, hapo kumbuka wana vita, itoshe kusema kiuchumi wamejitahidi
Sasa mkuu unalinganishaje banana republic na taifa lenye kutumia akili kila kitu.
Mimi nililinganisha Qatar, Saudi na Israel.

Nyongeza ya hapo, uchumi wao ungekuwa mzuri sana endapo wasingekuwa na majirani visirani. Waarabu huwa hawanunui bidhaa za Israel zenye substitutes hivyo inaipunguzia international market. Imagine Rwanda, Burundi, Kenya, Mozambique, Malawi, DRC hazinunui bidhaa za Tanzania.
 
Lini Israel imeshindwa Vita vya chini ?

T14 Armata
Ilisha shindwa vita nyingi tu na ndio maana walipingwa na kufurushwa mashariki ya kati na warumi wakaenda kutanga tanga duniani.

Mwaka 1972 alishindwa Vita dhidi ya Misri na ndio maana aliitema Sinai na Marekani kurazimika kuilipa mabilion ya dora Misri kila mwaka kwa sharti la kutoishambulia Israel.

Mwaka 2006 ali shindwa vita na Hizbulah na ndio maana alirazimika kuitema ardhi ya Lebanon aliyo kuwa ameiteka kutoka kwa jeshi la Lebanon.
 
Back
Top Bottom