Jionee mwenyewe jinsi teknolojia inayotumika Israel kuzuia makombora ilivyoboreshwa, akili iliyotumika kubuni huu mtambo si ya kawaida

Ni mambo ya siasa za kimataifa, hata Uingereza ikiingia vitani inaweza kuomb isaidiwe hata chakula, si kwamba hawana chakula bali ni kusapotiana kwenye majanga (anaekusaidia kwenye shida ndie wa kumsaidia akipata shida)
Sijawahi sikia Usa anaomba misaada wapambane na wengine sana sana wao watatoa misaada ya kifedha nchi nyengine ili watume watu wao wakaungane na USA kupigana pamoja.

Ama hizo Siasa anazijua Israel tu na Sio Usa na wengine
 
Usisahau pia Israel wana uchumi mkubwa kwa misaada, wanapewa Misaada ya pesa Taslim na wanapewa misaada kwa Kampuni kubwa kuwekeza Nchini kwao kuhakikisha wanapata Ajira na upendeleo mwengine.
 
Sasa kama Israel inajiweza hicho kielehele cha Marekani kupeleka meli ,silaha , na wanajeshi nchini Israel kinatoka wapi?
Kama ambavyo Iran inaomba msaada wa Syria, Yemen, Lebanon, Iraq kuishambulia Israel?
Kama ni historia hata Iran haina historia ya kushindwa vita tena dhidi ya maadui wenye nguvu kuwazidi hao maadui wa Israel kwa karne kadhaa mpaka sasa.
Iran haijawahi pigana vita na adui mwenye nguvu, ilipigana na Iraq miaka nane kwa mamilioni ya wapiganaji zikatoka suluhu. Iraq hiyohiyo ikapigana na coalition forces ya wanajeshi 130,000 tu hazikupita siku 50 Saddam Hussein alikutwa kwenye shimo. Wakati muda huo Saddam ana jeshi kubwa Middle East nzima.
Mbona Lebanon hai kugawanywa nusu kwa nusu mwaka 2006 badala yake Israel ndo aliye razimika kutema ardhi aliye iteka kutoka kwa jeshi la Lebanon?
Mbona hujaitaja Syria iliyochukuliwa Golan heights, hujaitaja Jordan inayodai eneo lake, hujaitaja Palestina, hujaitaja Misri iliyochukuliwa Sinai eneo kubwa kuliko hata Israel yenyewe.
Ni lini serikali ya Lebanon iliwahi tangaza vita dhidi ya Israel?
Mbona kwenye vita ya Sinai Israel hakuongeza eneo ndani ya misri badala yake akaitema Sinai baada ya Marekani kumshawishi Sadart azuie wanajeshi wa misri wasisonge mbele kwa ahadi za mabilioni ya dora kila mwaka kutoka Marekani?
"Akaitema Sinai" hiyo Sinai ilitemwa baada ya kuchukuliwa kwa nani si ni Misri huyohuyo? Kuna aliyemlazimisha Sadat asitishe vita? Angeendeleaje kukaza shingo wakati Israel ilikuwa imeiweka kati Egyptian III Army Corps wanajeshi 30,000 hawana supply wala route ya kurudi. Ingebidi Egypt iandae majeneza 30,000 wakati inakaza shingo. Nani aliizuia Israel isishambulie hiyo III Army kama si Marekani? Isingekuwa hivyo si wangesaga meno.

Wakati vita inasitishwa jeshi la nani lilikuwa ardhi ya mwenzake? Israel ilikuwa imevuka bahari ya Sham iko upande wa Egypt Sadat yuko anapata kizunguzungu. Na kwanini Israel ilirudisha Sinai mwaka 1972 na kuondoka kabisa 1982, wakati vita ililiteka 1967.

Ulisoma makubaliano kwanini Israel ILIWARUDISHIA Sinai, sio Misri waliirudisha au waliinyang'anya. Sema Israel ILIWARUDISHIA. Sababu ni kuwepo amani na kuitambua Israel, na ndio maana elimu ahera wenzako walimuua Sadat. Na Misri ndio nchi ya kwanza ya Kiarabu kuitambua Israel, kabla ya hapo ilikuwa kiherehere na kimbelembele ikapigwa ikachakaa. That time Misri ndio ina jeshi kubwa zaidi Middle East inaweza wajumlisha Iran na Iraq ikawatandika kwa pamoja.

Ndio maana sitaki Israel iwaonee huruma baadae msije sema ujinga. Sasa hivi mpigwe mchakae.
Mpaka sasa Israel imesha dondosha mabomu 7,000 kwenye kieneo kidogo kama gaza lakini mpaka sasa bado hamas wanarusha maroketi ndani ya Israel sasa hiyo miundo mbinu ya hamas wanayo sema wanaipiga iko wapi?
Kwanini usiishauri Hamas namna ya kuiangamiza Israel badala yake unaishauri Israel adui yako namna ya kuiangamiza Hamas. Israel haitaki ushauri wako, kafungueni kampuni ya kufukua vifusi hapo Gaza utajirike.
Dunia kwa sasa imebadilika sana achana na mambo ya nyuma ya sijui historia kwa sababu hata Ujerumani kabla ya kushindwa vita ya dunia alikuwa amesha shinda vita huko nyuma.
Dunia imebadilika ndio. Kufanya ugaidi, ukapigwa alafu ukapost picha za maiti za watoto hakutakufanya uonewe huruma. Utatandikwa mpaka akili zirudi kichwani.
Na sasa hakuna Mwarabu mpuuzi wa kutetea ujinga wenu. Waarabu wenyewe nyie Wapalestina mkienda kwao mnakuwa wajuaji mnaharibu nchi zao.
Unafiki wa Waarabu upi? Si kila siku wanajilipua, wanajitoa mhanga, wanadhamini mashambulizi. Wanachofanya mataifa ya Kiarabu sio unafiki ni woga, kila ukinyoosha kidole unadundwa sasa ungekuwa wewe ungekubali. Cha kufia nini kisa Palestina, mnabaki nyinyi wajilipuaji na lawama. Kabebe paraglider kama Hamas uingie Israel ufie uko ukawahi mito ya pombe mbinguni.
 
Usisahau pia Israel wana uchumi mkubwa kwa misaada, wanapewa Misaada ya pesa Taslim na wanapewa misaada kwa Kampuni kubwa kuwekeza Nchini kwao kuhakikisha wanapata Ajira na upendeleo mwengine.
Wewe na ndugu zako mnaoishi kwa misaada ya ARVs, chandarua, chanjo na vyoo kutoka ukouko kwa maadui zako katika imani mbona hamna uchumi mkubwa?

Na nyinyi si mnatoa misaada ya visima, ngamia na tende. Si vinakuza uchumi si ndio?
 
Wewe na ndugu zako mnaoishi kwa misaada ya ARVs, chandarua, chanjo na vyoo kutoka ukouko kwa maadui zako katika imani mbona hamna uchumi mkubwa?

Na nyinyi si mnatoa misaada ya visima, ngamia na tende. Si vinakuza uchumi si ndio?
TOFAUTISHA Arv na Matrilioni ya misaada ambayo hayakaguliwi yanaletwa tu.

TOFAUTISHA kujengewa kiwanda cha Chandarua na kuletewa Multinational industries.

Israel ni Nchi ndogo kama watu milioni 9 tu, Marekani pekee Direct msaada aliopeleka Israel ni zaidi ya Dola Bilioni 150 zaidi ya Trilioni 350 za madafu, Replace hao milioni 9 na watu wowote duniani wangetoboa.
 
Marekani kuna matajiri kutoka kila jamii.
Sawa endelea kubishania kila jambo. Jews pale US hawaguswi ukitaka kupoteana pale US waguse jews. Kamuulize kanye west
 
Nyinyi si mnatoa msaada wa maroketi na mabomu ya kujilipua. Na Wapalestina wakikaribishwa ugenini si wanaanzisha makundi ya kigaidi, kuteka na kupigana civil wars.
Kila mtu akale alikopeleka mboga
 
Hiyo ni Iron Beam Decency system. Ni baba yake Iron Dom
 
uko sawa, lakini si mtu kuja kunambia wanashikilia mifumo ya pesa, huo uwezo hawana, US ni taifa lenye kila aina ya dini na kabila, hata watenda kazi wa white house kuna races nyingi mchanganyiko, kuja kunambia jews wameshikilia mifumo ya pesa, how?
 
Mwarabu ubinafsi ni Kama miafrika. Haiingii akilini Gaza inapata maji na umeme kutoka Israel(ambao ni adui zao),kwanini nchi za kiarabu zisiwawezeshe Watawala wa Gaza(Hamas) waweze kutoa huduma za maji na umeme bola kumtegemea Israel?
 
Nyinyi si mnatoa msaada wa maroketi na mabomu ya kujilipua. Na Wapalestina wakikaribishwa ugenini si wanaanzisha makundi ya kigaidi, kuteka na kupigana civil wars.
Kila mtu akale alikopeleka mboga
Uongo mtakatifu, Nchi ambayo ina wapalestina wengi Duniani nje ya Middle East ni Chile.

Chile ni Nchi ya Tatu kwa Utajiri wa mtu mmoja mmoja Nyuma ya Uruguay na Guyana, na Nchi ya kwanza kwa Utajiri kwa Nchi za South America zenye population Atleast ya watu milioni 10.

Kitu gani kimefanya Chile kuwa Tajiri? Wapalestina ni Sababu kubwa, Hapo Santiago kuna wapelistina kama 500K ambao ni very successful wameanzisha makampuni Makubwa tu.

Si Chile tu South America na Latin Kwa Ujumla kuna Levant arabs wa Kutosha ambao wame revolutionize hilo eneo watu kama Carlos slim Tajiri wa Dunia 2010-2013 ambaye mpaka Leo yupo top 10 ndio anawaletea series za Ki Mexico mpaka Leo wadada wanaoangalia huku.

Nchi kama Argentina, Uruguay, Brazil, El Salvador na Nchi nyingi za huu Ukanda zina influence kubwa sana za levants Tunaongelea influence hadi wamekua Maraisi, Raisi wa Sasa wa El salvador ni NAYIB bukele toka Palestina, si NAYIB tu hata aliekua Raisi wa Argentina Carlos Menem pia ni mwarabu wa Syria.

Toka South Nenda Hapo Usa unakutana na Steve Job mwarabu mwengine toka Ukanda huo huo kaanzisha kampuni ambayo imekuwa Tajiri kuliko zote Duniani. Leo Kampuni Tatu Tajiri zaidi Duniani ni Apple, Microsoft na Saudi Aramco, so 3 Tajiri duniani 2 zimeanzishwa na waarabu.

Hivyo kusema Wapelstina wakikaribishwa ugenini ni magaidi kuna onesha upo tayari Kuongea uongo kumridhisha mabwana wako na ku ignore mafanikio Makubwa ambayo wapalestina wameyaleta Duniani Hali ya kuwa wamefungwa mikono
 
Punguza jaziba maana unaongea mpaka unataka kupasuka utadhani una undugu na Netanyau.

Mm na ww hakuna mwenye uhusiano na wapalestina au waisrael ,hivyo hakuna haja ya kutoleana mapovu, alafu unapo kuwa unajadiliana na mm usiwe unaingiza mambo ya dini na kejeli zako za kifala dhidi ya dini yangu maana hata mm uwezo wa kuikejeli dini yako ninao.

Kwenye huo mgogoro hakuna anaye pigana kwa ajili ya dini bali wanagombania ardhi na pande zote zina raia ambao ni mchanganyiko wa dini mbali mbali.

Sidhani kama wapalestina wanahitaji huruma yako, maana hiyo huruma yako kwao haina masaada wowote kwao maana ww mwenyewe ni mlala hoi tu usiye jua hata nn hatima ya maisha yako ya badae.

Kwa hiyo historia ya Iran katika vita imeanzaia kwenye vita na Iraq sio?,katika historia Iran kapigana vita nyingi sana zote kashinda Iran hazijawahi kushindwa vita tangu kuhasisiwa kwake.

Mshindi wa vita siku zote ni yule aliye timiza lengo lililo mpeleka vitani, Misri alianzisha vita kwa ajili ya kuikomboa ardhi yake na lengo lake lilitimia hivyo yy ndo mshindi wa vita haijalishi hiyo vita iliishaje kwani Misri isinge anzisha vita hiyo Sinai siingekuwa inashikiliwa na Israel mpaka sasa?

Hata sasa hivi viongozi wote wa Israel wanasema lengo la mashambulizi ya sasa ni kuiangamiza Hamas, ikija kutokea wakashindwa kuiangamiza Hamas basi Israel itakuwa imeshindwa vita haijalishi atakuwa ameuwa watu wangapi.

Eti nisiipangie Israel cha kufanya kwahiyo ww ulipo kuwa unashinda humu unatapika mavi kuhusu jeshi la Urusi uli kuwa na cheo gani ndani ya jeshi la Urusi mpaka kuipangia cha kufanya?
Kwa hiyo wakifanya mambo ya hovyo asiambiwe kisa ni Israel ?
Nyinyi si ndo kila siku mlikuwa nashinda humu Mara ho Israel ni jeshi lenye weledi kuliko jeshi lolot duniani sasa huo weledi mbona hawauoneshi zaidi ya kufanya mambo ya hovyo?

Yaani asilimia 80 ya wahanga wa mashambulizi yake ni watoto wa wanawake sasa hilo ni jeshi au ni kikundi cha wahuni wenye silaha za kisasa?

Eti Misri ina weza kuipiga Iran na Iraq kwa wakati mmoja kwa hili neno ni dhahiri kabisa kuwa puli zina athari kubwa kwenye ubongo wa binadamu.
 
Vita ya Iraq na Iran mi mwenyewe nilishangaa Iran imewezaje kutoka salama. Usichukulie simple. Ipo hivi.
Kuna vita ilitokea 1974-1975 kati ya Iraq na Iran, Iraq ikapigwa tena kwa wepesi.

Iran inakuja kupambana na Iraq baada ya Shah aliyekuwa kibaraka wa US kutolewa, katika mapinduzi hayo ilitokea civil war na machafuko mengi, hakukuwa na umoja kuna ambao walimuunga Ayatollah kuna ambao walimkubali Shah.

Hivyo Iraq ili take advantage ya Iran kuwa weak, pia kipindi hiko Iran ilikuwa katika vikwazo vikali mno. Saddam akafikiri ni muda sahihi kuiangusha Iran, alipize kisasi vita aliyopigwa 1975. Ilikuwa hivi.

1-Iraq ilikuwa imejiandaa kijeshi kwa kuongeza silaha kama vifaru, ndege na jeshi kuikabili Iran, lilikuwa ni lengo na mkakati wa muda mrefu kuja kulipa kisasi.

2-Marekani waliwapa Iraq satelite ya kufanya intelligence na silaha za kibaiolojia(bio-weapon).

3-Iraq walipewa washauri wa kivita 90 toka Britain na US kusaidia majeshi ya Iraq ili kuwasaidia mahala wanapaswa kupiga toka angani na ardhini.

4-Saudia,Kuwait na waarabu wengine walitoa msaada wa pesa n.k. kwa Iraq.

5-Umoja wa kisovieti walikuwa na chuki na Iran katika wakati huu, hii ni kutokana na Iran kukiua chama cha kikomunisti(Tudeh Party) kilichokua Iran, hivyo USSR ilipeleka msaada wa silaha za kutosha kwenda Iraq zikiwemo ndege vita, helicopters za uchukuzi n.k.

Iran walikuwa hawana pesa ya kununulia silaha kama Iraq tokana na vikwazo.
Libya,Syria na North Korea ndio waliompa msaada Iran, ndege vita zao zilikuwa za kimarekani na wataalamu wa kufanya maintanace ya vyombo hivyo walikuwa ni US wenyewe , but how wali survive kwa miaka 8?

Sasa huo mfano unaotoa ni wa miaka hio 1980's, sasa hivi Iran sio ile, ime advance kijeshi, technology n.k.

Sasa hao waliungana kumpiga Saddam, Iran walimpiga Saddam peke yao 1975.

Can you imagibe miaka 8 unapigana vita, upo katika vikwazo, nchi ipo katika machafuko halafu adui unayepambana nae anapewa msaada wa kila aina na mataifa yenye uchumi na nguvu kijeshi kama USSR, USA, Saudia, Kuwait, UK n.k.

Na bado wakashindwa, halafu hilo taifa uje ulinganishe kiuwezo na nchi ambayo kila mwaka wanapata donation ya dola bilioni 3, Hamas kikundi cha mgambo kimeanzisha mashambulizi wanaomba dola bilioni 14 kuitumia kupambana na Hamas.

You cant be serious, Israel haiwezi kusimama na Iran hata siku moja, sijatoa facts Iran ni kubwa kieneo sana sana sana kuliko Israel, Iran ina askari wengi kuliko Israel.

Hata Israel akipewa msaada wa silaha na pesa toka USA bado haitoshi kupambana na Iran.
 
Angalia Ramani ya Palestina ndio utaelewa kwanini
Ila Gaza imepakana na Misri.

Huu mzingiro waliowekewa Gaza toka Hamas ishinde uchaguzi wa 2007 na baadae kuitwaa Gaza baada ya kupigana na Fatah ni uonevu kabisa.
 
Hao Levant wenye influence kubwa hasa walio Wapalestina wanahitaji kupaza sauti sana ili kutetea haki za Wapalestina maana waarabu kupitia Arab league wameshasalim amri.

Angalau Uturuki, Iran na nchi kama Ireland, Hispania ndio zipo mstari wa mbele kuitetea Palestine kuliko waarabu.
 
Kumbe ndo maana huko arabu kuna mabasha na mabashuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…