Kama ambavyo Iran inaomba msaada wa Syria, Yemen, Lebanon, Iraq kuishambulia Israel?
Iran haijawahi pigana vita na adui mwenye nguvu, ilipigana na Iraq miaka nane kwa mamilioni ya wapiganaji zikatoka suluhu. Iraq hiyohiyo ikapigana na coalition forces ya wanajeshi 130,000 tu hazikupita siku 50 Saddam Hussein alikutwa kwenye shimo. Wakati muda huo Saddam ana jeshi kubwa Middle East nzima.
Mbona hujaitaja Syria iliyochukuliwa Golan heights, hujaitaja Jordan inayodai eneo lake, hujaitaja Palestina, hujaitaja Misri iliyochukuliwa Sinai eneo kubwa kuliko hata Israel yenyewe.
Ni lini serikali ya Lebanon iliwahi tangaza vita dhidi ya Israel?
"Akaitema Sinai" hiyo Sinai ilitemwa baada ya kuchukuliwa kwa nani si ni Misri huyohuyo? Kuna aliyemlazimisha Sadat asitishe vita? Angeendeleaje kukaza shingo wakati Israel ilikuwa imeiweka kati Egyptian III Army Corps wanajeshi 30,000 hawana supply wala route ya kurudi. Ingebidi Egypt iandae majeneza 30,000 wakati inakaza shingo. Nani aliizuia Israel isishambulie hiyo III Army kama si Marekani? Isingekuwa hivyo si wangesaga meno.
Wakati vita inasitishwa jeshi la nani lilikuwa ardhi ya mwenzake? Israel ilikuwa imevuka bahari ya Sham iko upande wa Egypt Sadat yuko anapata kizunguzungu. Na kwanini Israel ilirudisha Sinai mwaka 1972 na kuondoka kabisa 1982, wakati vita ililiteka 1967.
Ulisoma makubaliano kwanini Israel ILIWARUDISHIA Sinai, sio Misri waliirudisha au waliinyang'anya. Sema Israel ILIWARUDISHIA. Sababu ni kuwepo amani na kuitambua Israel, na ndio maana elimu ahera wenzako walimuua Sadat. Na Misri ndio nchi ya kwanza ya Kiarabu kuitambua Israel, kabla ya hapo ilikuwa kiherehere na kimbelembele ikapigwa ikachakaa. That time Misri ndio ina jeshi kubwa zaidi Middle East inaweza wajumlisha Iran na Iraq ikawatandika kwa pamoja.
Ndio maana sitaki Israel iwaonee huruma baadae msije sema ujinga. Sasa hivi mpigwe mchakae.
Kwanini usiishauri Hamas namna ya kuiangamiza Israel badala yake unaishauri Israel adui yako namna ya kuiangamiza Hamas. Israel haitaki ushauri wako, kafungueni kampuni ya kufukua vifusi hapo Gaza utajirike.
Dunia imebadilika ndio. Kufanya ugaidi, ukapigwa alafu ukapost picha za maiti za watoto hakutakufanya uonewe huruma. Utatandikwa mpaka akili zirudi kichwani.
Na sasa hakuna Mwarabu mpuuzi wa kutetea ujinga wenu. Waarabu wenyewe nyie Wapalestina mkienda kwao mnakuwa wajuaji mnaharibu nchi zao.
Unafiki wa Waarabu upi? Si kila siku wanajilipua, wanajitoa mhanga, wanadhamini mashambulizi. Wanachofanya mataifa ya Kiarabu sio unafiki ni woga, kila ukinyoosha kidole unadundwa sasa ungekuwa wewe ungekubali. Cha kufia nini kisa Palestina, mnabaki nyinyi wajilipuaji na lawama. Kabebe paraglider kama Hamas uingie Israel ufie uko ukawahi mito ya pombe mbinguni.
Vita ya Iraq na Iran mi mwenyewe nilishangaa Iran imewezaje kutoka salama. Usichukulie simple. Ipo hivi.
Kuna vita ilitokea 1974-1975 kati ya Iraq na Iran, Iraq ikapigwa tena kwa wepesi.
Iran inakuja kupambana na Iraq baada ya Shah aliyekuwa kibaraka wa US kutolewa, katika mapinduzi hayo ilitokea civil war na machafuko mengi, hakukuwa na umoja kuna ambao walimuunga Ayatollah kuna ambao walimkubali Shah.
Hivyo Iraq ili take advantage ya Iran kuwa weak, pia kipindi hiko Iran ilikuwa katika vikwazo vikali mno. Saddam akafikiri ni muda sahihi kuiangusha Iran, alipize kisasi vita aliyopigwa 1975. Ilikuwa hivi.
1-Iraq ilikuwa imejiandaa kijeshi kwa kuongeza silaha kama vifaru, ndege na jeshi kuikabili Iran, lilikuwa ni lengo na mkakati wa muda mrefu kuja kulipa kisasi.
2-Marekani waliwapa Iraq satelite ya kufanya intelligence na silaha za kibaiolojia(bio-weapon).
3-Iraq walipewa washauri wa kivita 90 toka Britain na US kusaidia majeshi ya Iraq ili kuwasaidia mahala wanapaswa kupiga toka angani na ardhini.
4-Saudia,Kuwait na waarabu wengine walitoa msaada wa pesa n.k. kwa Iraq.
5-Umoja wa kisovieti walikuwa na chuki na Iran katika wakati huu, hii ni kutokana na Iran kukiua chama cha kikomunisti(Tudeh Party) kilichokua Iran, hivyo USSR ilipeleka msaada wa silaha za kutosha kwenda Iraq zikiwemo ndege vita, helicopters za uchukuzi n.k.
Iran walikuwa hawana pesa ya kununulia silaha kama Iraq tokana na vikwazo.
Libya,Syria na North Korea ndio waliompa msaada Iran, ndege vita zao zilikuwa za kimarekani na wataalamu wa kufanya maintanace ya vyombo hivyo walikuwa ni US wenyewe , but how wali survive kwa miaka 8?
Sasa huo mfano unaotoa ni wa miaka hio 1980's, sasa hivi Iran sio ile, ime advance kijeshi, technology n.k.
Sasa hao waliungana kumpiga Saddam, Iran walimpiga Saddam peke yao 1975.
Can you imagibe miaka 8 unapigana vita, upo katika vikwazo, nchi ipo katika machafuko halafu adui unayepambana nae anapewa msaada wa kila aina na mataifa yenye uchumi na nguvu kijeshi kama USSR, USA, Saudia, Kuwait, UK n.k.
Na bado wakashindwa, halafu hilo taifa uje ulinganishe kiuwezo na nchi ambayo kila mwaka wanapata donation ya dola bilioni 3, Hamas kikundi cha mgambo kimeanzisha mashambulizi wanaomba dola bilioni 14 kuitumia kupambana na Hamas.
You cant be serious, Israel haiwezi kusimama na Iran hata siku moja, sijatoa facts Iran ni kubwa kieneo sana sana sana kuliko Israel, Iran ina askari wengi kuliko Israel.
Hata Israel akipewa msaada wa silaha na pesa toka USA bado haitoshi kupambana na Iran.