Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

Hawa ni wale waluoko kwenye payroll ya kutukana mawazo makubwa mitandaoni...ni kusifia tuu kila kitu....Jeshi letu linatakiwa Liwe la kisasa tena nguvu kubwa iwekwe kwenye uvumbuzi wa kitecnologia......wameshindwa hata kuwa colect ma IT wote walioko mitaani wawape kazi na kuwatumia katika ubunifu..kazi wanapewa machawa wenye matumba makubwa km jaba...dizaini ya Mwijaku
 
waalaaniwe mikosi iwe juu yao
 
Haya mambo ya Siri Siri ndio hata mamikataba ya kifisadi husainiwa kimya kimya kwa kisingizio cha Siri, sazingine hata bunge halijui.

Huu ujinga ukome.
 
Hao Ethiopia wako mbali kitambo kwenye military issues. Hizi ndege Su 27 na mig 29 ambazo hata Ukraine na Russia wanazo wao Ethiopia wanazitumia kwa miongo kadhaa sasa.
 
Na huu mradi hata sio kwamba wameu uni wenyewe...huu ulikuwa mradi wa kampuni ta Sogea Satom/rock tronic ndo waliounzisha pamoja na kublock bwa kubwa kwa ajili ya wananchi...lkn cha ajabu hilo jeshi limeshindwa hata kurekebisha lile bwawa baada ya kuvunjika..aibu kuvwa sana kwa nchi hii
 
Nchi kujitosheleza kwa chakula ni lazima Jeshi lizalishe chakula?

Nchi kujitosheleza kwa chakula ndo jeshi lizalishe kokoto?

kweli wewe ni punguani. No wonder hii nchi imekuwa failed state.
 
Tanzania kuna jeshi jamaa yangu anapiga hapo , linaitwa kama SAK hivi la anga wapo njema sana , hapa ndege wanafungua ni wasomi sana ...
 
Haya mambo ya Siri Siri ndio hata mamikataba ya kifisadi husainiwa kimya kimya kwa kisingizio cha Siri, sazingine hata bunge halijui.

Huu ujinga ukome.
Ukiona siri ujue wanaficha wizi wao na ujinga wao.
 
Hao Ethiopia wako mbali kitambo kwenye military issues. Hizi ndege Su 27 na might 29 ambazo hata Ukraine na Russia wanazo wao Ethiopia wanazitumia kwa miongo kadhaa sasa.
Hata sisi tungeweza kuzitumia kitambotu, hatuna kizuizi,nchi yetu ni tajiri sana kiasi chakufanya zaidi mara kumi ya jinsi tunavyo fanya Sasa.

Ufisani ndio shidayetu kubwa, CCM wamebweteka sana, wamelewa madaraka na jeuri.
 
Ufisadi unawanufaisha wao na familia zao. Ndo mana hawawezi kuuacha.
 
Tz ni wazuri sana kwenye vita ya ardhi,hapa kwa ukanda wa cecafa/sadeki labda msauzi ndio atakua kawazidi,vita vya sasa havipigani kwa kutuma watu hapa ndio wanatakiwa kurekebisha tu but they are very very army
 
Natamani huu uzi/Thread ifike mbali... Mwenye picha za yale mafrem ya Lugalo aweke hapa ...huku akifanua compaison na Barracks za Rwanda, Kenya na Uganda....
 
Natamani huu uzi/Thread ifike mbali... Mwenye picha za yale mafrem ya Lugalo aweke hapa ...huku akifanua compaison na Barracks za Rwanda, Kenya na Uganda....
Nataka nifanye hivyo. Kuna kautafiti nakakamilisha nitaruka nako humu.
 
Kama wanavunja matofali kwenye maonyesho tatizo Nini kuponda kokoto!?? Mitano Tena Kwa Mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…