Lord Knoxx
Member
- Nov 14, 2024
- 70
- 52
Aahaaaa pole yetu. Sio mchezo wenzetu wapo serious na haya mambo. Ndiyo maana kijana wa Mzee akitishia majirani, inabidi wakae kimya.....mziko wake ni mzito.Sasa Uganda wanazo 6. Halafu mtu anatokea anakwambia JW ipo serious, tunatania sisi.
Sisi bado tunapambana kuwaongezea mishahara ili kutetea chama tawala.Aahaaaa pole yetu. Sio mchezo wenzetu wapo serious na haya mambo. Ndiyo maana kijana wa Mzee akitishia majirani, inabidi wakae kimya.....mziko wake ni mzito.
Kama wana akili hawatajali hiyo nyongeza ya mishahara na watafocus kulikomboa taifa dhidi ya udhalimu wa CCM.Sisi bado tunapambana kuwaongezea mishahara ili kutetea chama tawala.
Labda jeshi la magereza
Ova
Hawa ndo ndanda premium, you know🙏🏾Labda jeshi la magereza
Ova
Duh!🤣🤣🤣🤣🤣Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767
Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Akili za kuelewa hayo mambo makubwa makubwa atayajulia wapi?Acha upuuzi wewe.
Kuwa na kiwanda ni siri? Kwa hiyo mtatengeneza silaha kwa matumizi yenu tu? Hujui silaha ni biashara?
Hawa ndo wanamiliki halali wa Animal House! Timu tatu za ligi kuu, ukiondoa Prison You Know 🙏🏾Labda jeshi la magereza
Ova
JWTZ ndiyo maana wanapigwa mitaani na Polisi kama watoto wadogo bure kabisaMwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767
Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Sasahivi wamekuwa machawa wa uvccm. Miradi wanayoiweza ndo hii na kujenga fremu kwenye kambi zao za kijeshi.JWTZ ndiyo maana wanapigwa mitaani na Polisi kama watoto wadogo bure kabisa
Mradi mwingine wanaojua ni kwenda kuuza madafu pale ikulu ya Magogoni.Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767
Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Ndo mana Kagame anawashikisha adamu kwelikweli.wanajeshi wetu unawafahamu lakini
wanachojua ni kukata kuni na kuua watu tu
Kagame tulikuwa tunamuweza kwasababu pia wanajeshi wake wengi walitokea monduli pale ,nowadays tutapata tabu kwelikweli wanachuo chaoNdo mana Kagame anawashikisha adamu kwelikweli.
Limegeuka jeshi la kishenzi la machawa na wapumbavu ccm.
Mpaka Majenerali ni chuya tupu.Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.