pTanzania ni rafiki mkubwa sana wa kijeshi wa China na Russia toka miaka hiyooo. China na Russia wako mbali mno kijeshi. Tuambie tumenufaika nao nini? Unajua idadi ya meli walizonazo Nigeria? Unajua kwamba wao hata meli za Jeshi wanateneneza wenyewe?
JW ilikuwa inatengeneza magari ya Nyumbu, kile kiwanda mpaka sasa kingekuwa mbali sana. Mleta mada ana hoja, jaribu kutumia akili na kuweka uzalendo mbele utamuelewa mleta mada.
Una maana gani mkuu? Hasira za nini?Upuuzi mtupu
Vinyesi tu hao, wakavunje matofali na sasa yatakuwa ya kokoto….
Za kwenu ziko wapi?Kwa akili yako unaamini hao Ethiopia wanaunda kila kitu kuhusu hizo drones?
Hapo ni ku assemble tu, wana ubia na nchi nyingine zinazo supply vifaa.
Afrika bila ngozi nyeupe hakuna jipya.
Hawana drones wangekuwa nazo wangezijaribu kwenye mazoeziJWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Kweli kabisa. Tundu Lissu anatuambia kila siku Reforms yenyewe imekaa tu kwenye Kambi zao.Tunapotaka reforms tunamaanisha ombwe linaanzia juu pale tuna watu wenye akili zakutosha na ujuzi wakutosha ila kama unaagiza jeshi lijiandae kwa uchaguzi unategemea nini
Akikujibu nitaggZa kwenu ziko wapi?
Lakini si kuna planners jeshini au???Ogopa sana mtu mpumbavu anayejiona ana nguvu ndugu yangu.
Unadhani wanashaurika hawa?
Hata sare za jeshi bado tunashonewa na fundi maikoAibu sana
Na hiyo ni kazi ya msingi ya JWTZ?Jeshi linajisifia kulinda mipaka ya nchi wakati ndani ya nchi watu wanachinjwa kama paka
Tuombe sana Mungu siku tusivamiwe kijeshi na nchi yeyote ile.JWTZ ila wametia aibu mradi wa kokoto kweli
Sare zao za hovyo.Hata sare za jeshi bado tunashonewa na fundi maiko
Inahuzunisha aseeMwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767
Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Ndo wana plan kuanzisha viwanda vya kokoto?Lakini si kuna planners jeshini au???
Wee jamaa akili huna...Tunaona kabisa miradi ya JW ambavo inatia aibu.JWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Kambi la Lugalo pale wamejaza frame za maduka na Bar tu.Wee jamaa akili huna...Tunaona kabisa miradi ya JW ambavo inatia aibu.
Eti wanapangisha frame, wanazoa taka, wanapiga tofali, wanapasua Kokoto.
Jaman jaman hii Aibu itaisha lini