Suala la vipaumbele, jambo la Tz kuwekeza ktk ulinzi+siraha sidhan kama serikali inalipa uzito sababu ya usalama uliopo nchini tofauti na hizo nchi mnazolinganisha nazo, ambazo kwao vita na migogoro ni sehemu ya maisha yao.
Narudia tena, kuifananisha Tz na Ethiopia ktk hali za vipaumbele vya siraha ni ujinga japo sitetei uzembe wa nchi yetu kutowekeza ktk usasa wa siraha, lkn ukweli ndio huo kwa hali ya nchi kama Ethiopia, sudan, na baadhi ya nchi za aina hizo ni kawaida na lazima bajeti za nchi zao ktk usalama ziwe kubwa kuliko sisi ambao bado tumelewa hii amani tunayoichezea.
Nirudie tena, siku hii nchi ikipata adui sirias ndipo tutajua uwezo halisi wa jeshi letu pamoja na level yake ya intelligence ktk kudeal na usalama wa taifa, tofauti na hizi kelele tunazopigiana humu.
Acha wajeshi wafanye maendeleo kama hakuna shughuli ya kuwakimbiza vitani why wakae tu? Kuliko kutumika kulinda usalama wa nchi za watu huko zisizojijali ni bora wabaki nchini kuponda kokoto