Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

Hata DRC jeshi lake lilikuwa dhaifu sana baada ya kuanza kulitumia kisiasa wakati wa Mobutu, hizo athari zimeendelea kulitafuna jeshi lao hadi leo..

Jeshi linapaswa kuwa chini ya uongozi wa kiraia, lisiwe sehemu ya siasa za ndani, na liwe na wajibu mmoja kuu , kulinda taifa na katiba.
 
Nazidi kuthibitisha kuwa hawa chadema ni kundi Moja la wapumbavu kishenzi wanajiona wanajua Kila kitu wakati hawajui chochote. Sijui inaijua miradi yote ya jeshi la Ethiopia au imekurupuka tu kuja na hii baada ya kuona na kupata hiyo picha?!!!Kumbe ndo maana lissu na heche wanawakamua tone tone tu wapumbavu hawa!!
 
Huu mradi aliozindua Jenerali Mkunda ni wa JKT na kamwe hauwezi kuwa mradi wa JWTZ! Vinginevyo M23 wataendelea kuwanyanyasa!
 
Endelea kufanya kazi uliyotumwa hapo Lumumba tu.

Mmetuharibia sana hii nchi Wapuuzi nyie. Mmeziharibu taasisi zote hadi saivi nchi yetu imekuwa kituko hadi kwa Wanamgambo wa M23.

Siku yenu itafika mtaukana huo u CCM wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…