Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania



Sijui tunawezaje kuwafikishia haya mawazo Hawa Jama.
Mana nahisi ni muhim wakaona post Kama hizi Ila SIDHANI Kama wanatumia JF.
 
Ngoja nimpongeze ndugu Pascal Mayalla kwa chama chake cha CCM kwa maono yao ya mbali katika mradi huo wa kokoto

Mwaka 2025 tanzania ndio ina deal na kokoto???
 
Ngoja nimpongeze ndugu Pascal Mayalla kwa chama chake cha CCM kwa maono yao ya mbali katika mradi huo wa kokoto

Mwaka 2025 tanzania ndio ina deal na kokoto???
Huyu mjinga saivi yupo busy kujikomba kwa mabwana zake CCM wamkumbuke maana dakika za jioni hizi, Umri umeshamtupa mkono.
 
M
Mimi huyu CDF Nkunda sijawai kumuelewa,nilichoka siku Ile katumwa na Samia kupeleka Hela ya rambirambi Kwa familia ya askari wa Zanzibar aliyefia DRC.
CDF unatumwa kupeleka ubani Kwa askari mdogo kicheo kabisa,dah!!
 
Suala la vipaumbele, jambo la Tz kuwekeza ktk ulinzi+siraha sidhan kama serikali inalipa uzito sababu ya usalama uliopo nchini tofauti na hizo nchi mnazolinganisha nazo, ambazo kwao vita na migogoro ni sehemu ya maisha yao.

Narudia tena, kuifananisha Tz na Ethiopia ktk hali za vipaumbele vya siraha ni ujinga japo sitetei uzembe wa nchi yetu kutowekeza ktk usasa wa siraha, lkn ukweli ndio huo kwa hali ya nchi kama Ethiopia, sudan, na baadhi ya nchi za aina hizo ni kawaida na lazima bajeti za nchi zao ktk usalama ziwe kubwa kuliko sisi ambao bado tumelewa hii amani tunayoichezea.

Nirudie tena, siku hii nchi ikipata adui sirias ndipo tutajua uwezo halisi wa jeshi letu pamoja na level yake ya intelligence ktk kudeal na usalama wa taifa, tofauti na hizi kelele tunazopigiana humu.

Acha wajeshi wafanye maendeleo kama hakuna shughuli ya kuwakimbiza vitani why wakae tu? Kuliko kutumika kulinda usalama wa nchi za watu huko zisizojijali ni bora wabaki nchini kuponda kokoto
 
M

Mimi huyu CDF Nkunda sijawai kumuelewa,nilichoka siku Ile katumwa na Samia kupeleka Hela ya rambirambi Kwa familia ya askari wa Zanzibar aliyefia DRC.
CDF unatumwa kupeleka ubani Kwa askari mdogo kicheo kabisa,dah!!
Ile walijishtukia baada ya watu kuwapiga spana huku kwa kutotoa taarifa kuhusu Wanajeshi wetu waliouwawa Congo.

Ilibidi wafanye vile kupoza machungu ya askari wengine wanaoona Jeshi linatekwa na wapuuzi na wajinga wa CCM.
 
Acha ujinga wewe.

Juzi Jeshi limevuliwa nguo na vijana wadogo wa M23 na Rwanda hawajifunzi?

Kwani Tanzania hatuna maadui? Hatuna mgogoro wa Ziwa na Malawi? Unajuajw huko mbeleni?

Alafu kutengeneza silaha sio tu kwa matumizi yako. Hata kibiashara. Hawaoni wanaweza fanya biashara kwenye eneo hilo ambalo ndo fani yao kabisa?
 
Cheka tu. Hawa watu wanachangia sana nchi hii kufa.

Wangekuwa na akili wasingeruhusu CCM waendelee kuwa madarakani.
Lawama zote apewe yule msukuma, msukuma gani muoga muoga yule, pale pale mwendazake alivyoanguka, angebadilika sura tu, pori lotebla DANGANYIKA angefanya lake, bundi mpaka nyoka ni mali yake, kisha akabadili vitu fulani fulani, angekuwa shujaa wa pori lile.
 
Jeshi letu linajiendesha kizamani sana,wanaamini sana kwenye matumizi ya nguvu kuliko akili
 
Hii kazi ni maarufu sana Kawe,Kunduchi,Kibaha na Mlandizi na wanaofanya huwa ni wajane,imagine jeshi limeingia hadi kuwa competitive kibiashara na wajane,

Upuuzi kama huu ndio umefanya tumekula kichapo juzi hapa kutoka kwa M23 hatujawah kuwa serious kwakweli,wewe unadhani huo mradi unaweza hata kuingiza million 100 kwa mwaka as a profit?! Zaid zaid hizi hela watakuwa wanakula hao magenerali ambao nao ni wapuuzi kama huyo wanayemuita mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…