Jioni moja miaka mingi iliyopita na Subhash Patel

Hapo unapokuwa unaongea naye na hicho kidoti chekundu kwenye paji la uso unahisi kama ana ku record.
 
sasa wewe boya umeileta ili itusaidie nini? Yeye alikuwa na umuhimu gani kwetu?
Au shukrani kwa zile nguo alizozichoka mlizokuwa mnapata?
Sisi haituhusu, kama kufa kafa kama wengine.
 
sijaelewa
 
Kwa nini Waasia wanafanikiwa zaidi kuliko sisi Watanzania weusi ? Halafu hawaachi utamaduni wao ingawaje wala hawaishi India/Pakistani , ...
Utawala wa nyerere uliwabana
Tulibaniana wenywwe kwa wenyewe
Waasia,wazungu,magiriki warabu walipewa kipaumbele
Huo ndiyo ukweli

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
1gb

Wewe ni mtu wa pili kunilaumu.
Kipi hakijakaa sawa?
Pole sana
Ndiyo vijana wetu hawa. Wanaingia na majibu ya mitihani hata vyuo vikuu. Usife moto

Allah akuongezee hekima na maarifa, maisha marefu tujifunze zaid toka kwako
Inshallah.
 
Hongera nyingi Said Kwa Miaka uliyofikia!

Tunakupongeza sana pia tunajifunza mengi toka kwako!

Kipindi cha TBC saa nane ulivyoongelea mchango wa wanahakati wazalendo katika kupata uhuru ulitupa mwanga sana ahsante!

Ahsasante sana na Mola akupe miaka 50 tena!
 
Muft hainogi unaponiita Muuza peke, inapendeza ukiniita Muuza Viat kiujumla wake.
Muuza Viatu,
Nitafanya hivyo hivyo kaka yangu.

Unavyo Clarks saizi 42 kwenye duka lako au Roland Cartier?

Mimi si mufti.
 
Muuza Viatu,
Nitafanya hivyo hivyo kaka yangu.

Unavyo Clarks zaizi 42 kwenye duka lako au Roland Cartier?

Mimi.si mufti.

..kumbe na wewe ni mtu mambo hayo?

..sasa unataka mzigo wa clarks casual, au dress shoes?

..au unataka Clarks wallabee?

🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…