Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hapo unapokuwa unaongea naye na hicho kidoti chekundu kwenye paji la uso unahisi kama ana ku record.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe una miaka 68Mtu...
Uzee mbona ninao siku nyingi tu.
Sasa nina miaka 68.
Jamani Subash nimekwenda kwake na kukutananae siku moja tu.
Siwezi kuwa na mengi.
Toshekeni na hayo ndugu zanguni.
Engineer...Kumbe una miaka 68
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hapo unapokuwa unaongea naye na hicho kidoti chekundu kwenye paji la uso unahisi kama ana ku record.
Nilijua wewe ni kijana. Sema nafurahi sana jumbe zako na unanifundisha mengi na kuyanua mengi yaliyotokea TANGANYIKAEngineer...
February 2021 In Shaa nafikisha miaka 69.
Kwani ulidhani mie kijana?
Mie ndio kabisaa sijaelewa alitaka kusema nini AU huyu jamaa anatuhusu nini!Aliyemuelewa huyu mzee anisaidie
Unataka umbake?Mzee Mohamed amani iwe juu yako,
Naomba kama itakupendeza siku moja nikuone ana kwa ana.
Culture...
sijaelewa
Subash Patel nilimjua katika miaka ya mwishoni 1970 au mwanzoni 1980 kupitia rafiki yake Said Ibrahim ambaye mimi pia ni rafiki ndugu.
Said ndiye alinipeleka nyumbani kwake.
Miaka hiyo alikuwa anaishi nyuma ya Zanzibar Guest House Mtaa wa Zanaki na Libya Street sehemu za Kisutu. Siku hizo Subash hakuwa tajiri lakini mfanyabiashara kijana anaeinukia. Ninachokumbuka kila nilipokuwa nasoma jina la Subash katika magazeti au kumuona katika TV ni kuwa ilikuwa nyumbani kwake ndipo nilipoiona movie mashuhuri, "The Message," kwa mara ya kwanza.
Hii ilikuwa sinema maarufu sana kuhusu maisha ya Mtume Muhammad (SAW). Sinema hii tukiisoma sifa na "reviews," zake kwenye magazeti tu kwani enzi hizo Tanzania ilikuwa hoi na taaban kwa kila kitu.
Sinema za Hollywood zilikuwa haziingii nchini. Waagizaji wa filamu Tanzania Film Company (TFC) kazi iliwashinda kabla hata hawajaianza. Kwangu Mimi kupata nafasi ya kuangalia sInema hii halikuwa jambo dogo.
Iko siku Subhash alikuja ofisini kwetu alikuwa na miadi na Mkurugenzi wa Idara tukaonana na kusalimiana lakini hakunikumbuka. Ilikuwa miaka mingi imepita na ilikuwa tumeonana mara moja tu.
Utawala wa nyerere uliwabanaKwa nini Waasia wanafanikiwa zaidi kuliko sisi Watanzania weusi ? Halafu hawaachi utamaduni wao ingawaje wala hawaishi India/Pakistani , ...
Pole sana1gb
Wewe ni mtu wa pili kunilaumu.
Kipi hakijakaa sawa?
Happy birth month Muft SaidCulture...
Karibu sana ndugu yangu.
Muuza...Happy birth month Muft Said
Muft hainogi unaponiita Muuza peke, inapendeza ukiniita Muuza Viat kiujumla wake.Muuza...
Ahsante kaka.
Muuza Viatu,Muft hainogi unaponiita Muuza peke, inapendeza ukiniita Muuza Viat kiujumla wake.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]Sawa, nadhani mengine yanajaza server tu, ulichotaka kuandika ni hicho
Muuza Viatu,
Nitafanya hivyo hivyo kaka yangu.
Unavyo Clarks zaizi 42 kwenye duka lako au Roland Cartier?
Mimi.si mufti.