kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Tukashuhudie mechi ya ligi kuu NBC kweli isiyo na mipango twendeni tukaone mechi kikosi vikipangwa bila maelekezo toka kwa wamiliki wa timu ....Hata simba akishinda huwa anapata point halali za jasho na damu wachezaji wana henyeka hii inawasaidia sana simba kwenye mashindano ya caf ,kufanya vizuri...Mechi za namungo zinakuwa ni ngumu sana dhidi ya simba mara mbili imeshatokea Namungo kumzuia Simba ubingwa kwa kupata sare.....
Wale wenye hisia kuwa mgunda ni kocha aliyewahi kufundisha simba ni kweli lakini Mgunda hajawi kuwa shabiki au mwanachama wa Simba alikwenda kikazi ...Mgunda ni Coastal union kwa kadi ... .hivyo tutegemee mechi ya ufundi na ushindani sio ile ya kipa kuanguka kama njiwa kapigwa manati au dube anaruka peke yake bila kukabwa ......tushuhudie ateba,Mpanzu ahoua wakitoka jasho kweli yanayo endena na uhalisia wa mishahara na dola thamani ya dola wanazolipwa....unasajili bei ghali mechi unasaidiwa na mipango ya kali ongala,mexime na minziro...twendeni tushuhudie NBC PREMIER LEAGUE ya kweli sio ile ya jumatatu ya mipango iliyonajisi mpira wetu kila la kheri namungo kila kheri simba....
MATUSI POVU VINARUHUSIWA maana ndio silaha ya mtu mpumbavu.