kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #21
Mechi haitabiriki usinishawishi!Simba win over 1.5 weka laki utakuja kunishukuru .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi haitabiriki usinishawishi!Simba win over 1.5 weka laki utakuja kunishukuru .
Acha kujichomoa fyuzi wewe lile kocha ambalo lipo tayari kuziba pengo muda wowote hata kama lina mkataba sehemu linavunja chapu siku hizi linafundisha wapi kwan?Matola yupo simba!
Nafikiri uzi wangu hukusoma vyema nimeshasema mgunda ni mwanachama wa coastal union ...Simba alikwenda kikazi Matola ndio kocha wa kudumu simba!Acha kujichomoa fyuzi wewe lile kocha ambalo lipo tayari kuziba pengo muda wowote hata kama lina mkataba sehemu linavunja chapu siku linafundisha wapi kwan?
Zee la boli litambae/litembee kama ngoma ya chidy benz
Wamenajisi soka ndio maana walikimbia chamazi hawapendi kamera!Watakujibu huku wanatetemeka ukweli unawauma. Hata wakichukua ubingwa hakuna ladha tena tutakuwa tunajua wameupataje.
Tangu wamekimbia Chamazi kila mechi ni kufungwa tu...laana iwe juu yao kwa kunajisi sokaWamenajisi soka ndio maana walikimbia chamazi hawapendi kamera!
Wanashinda kimagushi!Tangu wamekimbia Chamazi kila mechi ni kufungwa tu...laana iwe juu yao kwa kunajisi soka
Alaah hivyo!Mpira wa tanzania unaharibiwa na msahabiki wa Simba
Na kwa sasa sisi Ynaga tumeamua liwalo na liwe hatucheki na kima pigeni kelele mpaka mtapike damu hakuna kucheka na kima.
Wakati mnapata matokeo ya kubebwa mlikua mnashangilia. Narudia tena HATUCHEKI NA KIMA KWA SASA FULL STOP.
Inaonekana jamaa alikuwa ndio ametoka kwenye njozi...Umemaliza ki uoga sana Uzi wako!
Endelea kulala sasa
Unaalika watu wakaangalie Maigizo?? Nani anataka...Tukashuhudie mechi ya ligi kuu NBC kweli isiyo na mipango twendeni tukaone mechi kikosi vikipangwa bila maelekezo toka kwa wamiliki wa timu ....Hata simba akishinda huwa anapata point halali za jasho na damu wachezaji wana henyeka hii inawasaidia sana simba kwenye mashindano ya caf ,kufanya vizuri...Mechi za namungo zinakuwa ni ngumu sana dhidi ya simba mara mbili imeshatokea Namungo kumzuia Simba ubingwa kwa kupata sare.....
Wale wenye hisia kuwa mgunda ni kocha aliyewahi kufundisha simba ni kweli lakini Mgunda hajawi kuwa shabiki au mwanachama wa Simba alikwenda kikazi ...Mgunda ni Coastal union kwa kadi ... .hivyo tutegemee mechi ya ufundi na ushindani sio ile ya kipa kuanguka kama njiwa kapigwa manati au dube anaruka peke yake bila kukabwa ......tushuhudie ateba,Mpanzu ahoua wakitoka jasho kweli yanayo endena na uhalisia wa mishahara na dola thamani ya dola wanazolipwa....unasajili bei ghali mechi unasaidiwa na mipango ya kali ongala,mexime na minziro...twendeni tushuhudie NBC PREMIER LEAGUE ya kweli sio ile ya jumatatu ya mipango iliyonajisi mpira wetu kila la kheri namungo kila kheri simba....
MATUSI POVU VINARUHUSIWA maana ndio silaha ya mtu mpumbavu.
Soka la bongo nalijua yanga walikimbia chamanzi kisa camera ziliwakamata wanajidunga pili wamepanga matokeo na singida!Hayo si maneno mageni Jijini. Unalijua soka la Bongo au unalisikia tu? Makocha wa mechi ya leo, wameshakutana kupanga mbinu na mbwinu.
Wakaone burudani sio utopolo wa jumatatu iliyopita!Unaalika watu wakaangalie Maigizo?? Nani anataka...
Abadilishe na "Unifomu za kazi" pia...ndio aanzishe uzi.Piga mswaki kwanza kabidhi lindo anzisha uzi haraka ya nin..
Hulijui, wala hatukuhama kwasababu hizo. Mwenye uwanja alitaka kufanya marekebisho. Usisikilize habari za vijiweni. Yanga si ya juzi, ipeni heshima yake.Soka la bongo nalijua yanga walikimbia chamanzi kisa camera ziliwakamata wanajidunga pili wamepanga matokeo na singida!
Wangetaka heshima wangeanza kujiheshimu lakini hili la juzi limewavua nguo...huo uwanja ulirekebishwa wapi wakati timu ziliendelea kuutumia!Hulijui, wala hatukuhama kwasababu hizo. Mwenye uwanja alitaka kufanya marekebisho. Usisikilize habari za vijiweni. Yanga si ya juzi, ipeni heshima yake.
Umeona eeh kwa hiyo wa kulaumiwa ni refa lakini utopolo wao wanapanga matokeo na timu husika!Mechi ya simba na timu ndogo kutabiri ni kama kumsukuma mlevi, mshindi ni refa tu mbona hiyo iko wazi haihitaji D mbili , na kama Simba wasipofunga dkk 90 mechi itachezwa dkk 400! Inatia kinyaa kuangalia mechi za Kolowizard