Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatuhumia au ndio ukweli wenyewe?Si ndio mna mtuhumu au sio refa!
Tukashuhudie mechi ya ligi kuu NBC kweli isiyo na mipango twendeni tukaone mechi kikosi vikipangwa bila maelekezo toka kwa wamiliki wa timu ....Hata simba akishinda huwa anapata point halali za jasho na damu wachezaji wana henyeka hii inawasaidia sana simba kwenye mashindano ya caf ,kufanya vizuri...Mechi za namungo zinakuwa ni ngumu sana dhidi ya simba mara mbili imeshatokea Namungo kumzuia Simba ubingwa kwa kupata sare.....
Wale wenye hisia kuwa mgunda ni kocha aliyewahi kufundisha simba ni kweli lakini Mgunda hajawi kuwa shabiki au mwanachama wa Simba alikwenda kikazi ...Mgunda ni Coastal union kwa kadi ... .hivyo tutegemee mechi ya ufundi na ushindani sio ile ya kipa kuanguka kama njiwa kapigwa manati au dube anaruka peke yake bila kukabwa ......tushuhudie ateba,Mpanzu ahoua wakitoka jasho kweli yanayo endena na uhalisia wa mishahara na dola thamani ya dola wanazolipwa....unasajili bei ghali mechi unasaidiwa na mipango ya kali ongala,mexime na minziro...twendeni tushuhudie NBC PREMIER LEAGUE ya kweli sio ile ya jumatatu ya mipango iliyonajisi mpira wetu kila la kheri namungo kila kheri simba....
MATUSI POVU VINARUHUSIWA maana ndio silaha ya mtu mpumbavkimo wapi
Kiko wapiTukashuhudie mechi ya ligi kuu NBC kweli isiyo na mipango twendeni tukaone mechi kikosi vikipangwa bila maelekezo toka kwa wamiliki wa timu ....Hata simba akishinda huwa anapata point halali za jasho na damu wachezaji wana henyeka hii inawasaidia sana simba kwenye mashindano ya caf ,kufanya vizuri...Mechi za namungo zinakuwa ni ngumu sana dhidi ya simba mara mbili imeshatokea Namungo kumzuia Simba ubingwa kwa kupata sare.....
Wale wenye hisia kuwa mgunda ni kocha aliyewahi kufundisha simba ni kweli lakini Mgunda hajawi kuwa shabiki au mwanachama wa Simba alikwenda kikazi ...Mgunda ni Coastal union kwa kadi ... .hivyo tutegemee mechi ya ufundi na ushindani sio ile ya kipa kuanguka kama njiwa kapigwa manati au dube anaruka peke yake bila kukabwa ......tushuhudie ateba,Mpanzu ahoua wakitoka jasho kweli yanayo endena na uhalisia wa mishahara na dola thamani ya dola wanazolipwa....unasajili bei ghali mechi unasaidiwa na mipango ya kali ongala,mexime na minziro...twendeni tushuhudie NBC PREMIER LEAGUE ya kweli sio ile ya jumatatu ya mipango iliyonajisi mpira wetu kila la kheri namungo kila kheri simba....
MATUSI POVU VINARUHUSIWA maana ndio silaha ya mtu mpumbavu.
Kipi!Kiko
Kiko wapi
Ukweli hakuna ni hisia za kibinadamu ila ya jana ilikuwa match fixing baina ya klabu mbili!Anatuhumia au ndio ukweli wenyewe?
Unakumbuka kuna kipindi wazee wa yanga waligomea logo ya vodacom kisa nyekundu!Hahahaha mirembe is real
Sawa naona Azam wamerudia mara tano ila hawakuona kitu,yaani jana haikuwa hisia leo ? Tena ushahidi wa kamera mpaka mtangazaji akaguna........kweli mtu chake.Ukweli hakuna ni hisia za kibinadamu ila ya jana ilikuwa match fixing baina ya klabu mbili!
Refa ndio anajua tusubiri ripoti ya kamisaa!Sawa naona Azam wamerudia mara tano ila hawakuona kitu,yaani jana haikuwa hisia leo ? Tena ushahidi wa kamera mpaka mtangazaji akaguna........kweli mtu chake.
Report ikitoka haito badilisha kitu.Refa ndio anajua tusubiri ripoti ya kamisaa!
Ndio yenye ukweli wote kama kweli refa alivuta mpunga ama laa!Report ikitoka haito badilisha kitu.
Refa ndio anajua tusubiri ripoti ya kamisaa!
View: https://www.instagram.com/reel/DGQ-pdotSOc/?igsh=Y203MWd1eThxY3Vz
Refa alikuwa mchezaji wenu wa kumi na mbili.
Kepteni si alimuuliza refa? Kwani hayo maamuzi yamewapa faida wa kina nani? Maamuzi sio ya haki ndio maana watu wanahoji sasa kwenye hoji watu ndio wanahisi mnavyo hisi nyie kwa Singida miamala ilitembea kwa refa,hata tukianzia Azam,Dodoma Jiji na JKT au kosa kuhoji ila nyie ndio mna haki ya kuhoji,hatuja hoji penati, dk nyingi za nyongeza.Akaulizwe refa sasa hapo simba wanahusikaje sio kuwa Mo kamfuata tajiri wa namungo wapange kikosi dhaifu la hasha!
Kama una ushahidi wa miamala imelipwa kwa hundi,cash au mitandao peleka ushahidi takukuru kopy tff muamuzi achukuliwe hatua lakini tulio na uhakika mechi ya yanga na singida ilipangwa tayari taarifa zetu zipo tff na takukuru tutawakilishwa na Mbunge kingu ,jemedari said na kocha uchebe!Kepteni si alimuuliza refa? Kwani hayo maamuzi yamewapa faida nani? Maamuzi sio haki ndio maana watu wanahoji, tukianzia Azam,Dodoma Jiji na JKT au kosa kuhoji ila nyie ndio mna haki ya kuhoji,hatuja hoji penati, dk nyingi za nyongeza.
Ila sio mbaya na nyie kuamua kutembeza miamala kwa refa,so acha miamala itembee then ubingwa utaamuliwa tukikutana
Hizo taarifa zenu zipo wapi TFF na mmepeleka lini?Kama una ushahidi wa miamala imelipwa kwa hundi,cash au mitandao peleka ushahidi takukuru kopy tff muamuzi achukuliwe hatua lakini tulio na uhakika mechi ya yanga na singida ilipangwa tayari taarifa zetu zipo tff na takukuru tutawakilishwa na Mbunge kingu ,jemedari said na kocha uchebe!
Subiri pindi uchunguzi utakaponza watu wakiitwa mmoja mmoja!Hizo taarifa zenu zipo wapi TFF na mmepeleka lini?
Uchunguzi gani bongo kuna matukio kibao ya kubebwa na hamna uchunguzi ulio fanyika.Kiemba alizungumza kwenye radio Clouds ,anasema wakiwa wanacheza na nyie maandalizi yake yanakuwa shallow, hata benchi la ufundi hawatilii maanani.Ila wakiwa wanacheza na Yanga maandalizi yake yanakuwa ya hali ya juu.Subiri pindi uchunguzi utakaponza watu wakiitwa mmoja mmoja!
Amri kajibiwa na waliyokuwa viongozi wa azam fc katibu idris na aliyekuwa meneja jemedari saidi ....alipokuwa azam kacheza mechi mbili tu dhidi simba ya kwanza walikwenda sare 1-1 ya pili wakafungwa moja bila wakawapeleka wachezaji wao takukuru kwa uchunguzi kiemba nae ni muongo asiye na kumbu kumbu!Uchunguzi gani bongo kuna matukio kibao ya kubebwa na hamna uchunguzi ulio fanyika.Kiemba alizungumza kwenye radio Clouds ,anasema wakiwa wanacheza na nyie maandalizi yake yanakuwa shallow, hata benchi la ufundi hawatilii maanani.Ila wakiwa wanacheza na Yanga maandalizi yake yanakuwa ya hali ya juu.
Hivi unajua hii kauli ya Kiemba tu ingekuwa mbele hajalishi kama ameitoa wakati gani uchunguzi ungeanza,ila kwetu uchunguzi haukufanyika kumbuka huyu source iliyokuwa ndani ya Azam.Akatolea mfano mwengine na Kagera Utd wakati akiwa mchezji,viongozi waliwalaumu benchi la ufundi kwa kupanga kikosi kikali wakati wakicheza na nyie, kumbuka hizi kauli zote walizitoa ndani ya radio na hizi kauli zote kwa nchi iliyo serious na mpira uchunguzi ungeanza.
Jemedari na Azam lazima wajitetee wao hamna mtu anayekubali kukosea,ndio maana kuna mahakama na mashahidi.Amri kajibiwa na waliyokuwa viongozi wa azam fc katibu idris na aliyekuwa meneja jemedari saidi ....alipokuwa azam kacheza mechi mbili tu dhidi simba ya kwanza walikwenda sare 1-1 ya pili wakafungwa moja bila wakawapeleka wachezaji wao takukuru kwa uchunguzi kiemba nae ni muongo asiye na kumbu kumbu!
Umesoma nilichoandika ...hawa kujitetea wameweka wazi upotoshaji wa kiemba kwa kudhani hakuna anayejua zaidi yake kumbe watu husika wapo ..kama mchebe alivyosema singida wakatoa maelezo!Jemedari na Azam lazima wajitetee wao hamna mtu anayekubali kukosea,ndio maana kuna mahakama na mashahidi.