joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Halafu Social networks sio sehemu za kujitetea,hata Juventus na Everton walijitetea Social networks na press conference kupitia wanasheria wao, ila badae vyama vyao vya soka kwa kutumia mabaraza yao ya waamuzi na mashahidi wakasikiliza then Juve akashusha daraja na Everton wakakatwa Points. Jemedari na Azam lazima wajitetee sababu kwa wakati huo wao ndio wa husika wa wakati huo ambao Kiemba alikuwa anacheza.Umesoma nilichoandika ...hawa kujitetea wameweka wazi upotoshaji wa kiemba kwa kudhani hakuna anayejua zaidi yake kumbe watu husika wapo ..kama mchebe alivyosema singida wakatoa maelezo!
Kwani alichosema Uchebe na Kiemba ,kimantiki kina tofauti gani. Wale wameongea sasa hapo kinacho takiwa ni TFF na kamati zake za wanasheria wawaite hao waliongea na timu zilizo husika na viongozi waliotajwa. Ndivyo wanavyo fanya mbele.