Jioni ya leo Namungo dhidi ya Simba ni mechi safi isiyo na makando makando huwezi tabiri mshindi kabla ya mechi

Matola yupo simba!
Acha kujichomoa fyuzi wewe lile kocha ambalo lipo tayari kuziba pengo muda wowote hata kama lina mkataba sehemu linavunja chapu siku hizi linafundisha wapi kwan?
Zee la boli litambae/litembee kama ngoma ya chidy benz
 
Acha kujichomoa fyuzi wewe lile kocha ambalo lipo tayari kuziba pengo muda wowote hata kama lina mkataba sehemu linavunja chapu siku linafundisha wapi kwan?
Zee la boli litambae/litembee kama ngoma ya chidy benz
Nafikiri uzi wangu hukusoma vyema nimeshasema mgunda ni mwanachama wa coastal union ...Simba alikwenda kikazi Matola ndio kocha wa kudumu simba!
 
Watakujibu huku wanatetemeka ukweli unawauma. Hata wakichukua ubingwa hakuna ladha tena tutakuwa tunajua wameupataje.
 
Mpira wa tanzania unaharibiwa na msahabiki wa Simba
Na kwa sasa sisi Ynaga tumeamua liwalo na liwe hatucheki na kima pigeni kelele mpaka mtapike damu hakuna kucheka na kima.
Wakati mnapata matokeo ya kubebwa mlikua mnashangilia. Narudia tena HATUCHEKI NA KIMA KWA SASA FULL STOP.
 
Alaah hivyo!
 
Unaalika watu wakaangalie Maigizo?? Nani anataka...
 
Hayo si maneno mageni Jijini. Unalijua soka la Bongo au unalisikia tu? Makocha wa mechi ya leo, wameshakutana kupanga mbinu na mbwinu.
 
Hayo si maneno mageni Jijini. Unalijua soka la Bongo au unalisikia tu? Makocha wa mechi ya leo, wameshakutana kupanga mbinu na mbwinu.
Soka la bongo nalijua yanga walikimbia chamanzi kisa camera ziliwakamata wanajidunga pili wamepanga matokeo na singida!
 
Soka la bongo nalijua yanga walikimbia chamanzi kisa camera ziliwakamata wanajidunga pili wamepanga matokeo na singida!
Hulijui, wala hatukuhama kwasababu hizo. Mwenye uwanja alitaka kufanya marekebisho. Usisikilize habari za vijiweni. Yanga si ya juzi, ipeni heshima yake.
 
Hulijui, wala hatukuhama kwasababu hizo. Mwenye uwanja alitaka kufanya marekebisho. Usisikilize habari za vijiweni. Yanga si ya juzi, ipeni heshima yake.
Wangetaka heshima wangeanza kujiheshimu lakini hili la juzi limewavua nguo...huo uwanja ulirekebishwa wapi wakati timu ziliendelea kuutumia!
 
Mechi ya simba na timu ndogo kutabiri ni kama kumsukuma mlevi, mshindi ni refa tu mbona hiyo iko wazi haihitaji D mbili , na kama Simba wasipofunga dkk 90 mechi itachezwa dkk 400! Inatia kinyaa kuangalia mechi za Kolowizard
 
Umeona eeh kwa hiyo wa kulaumiwa ni refa lakini utopolo wao wanapanga matokeo na timu husika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…