Jioni ya leo Namungo dhidi ya Simba ni mechi safi isiyo na makando makando huwezi tabiri mshindi kabla ya mechi

Umeumbuliwa na refa mwenye maelekezo. Soka letu kivyetuvyetu.
 
Umeumbuliwa na refa mwenye maelekezo. Soka letu kivyetuvyetu.
Mechi ni nzuri vikosi vyote ni vya kwanza hakuna list ya kiongozi wala maelewano ya raisi na mmiliki wa timu kifupi matokeo hayajapangwa!
 
Huko ulipo kila ukiangalia kadi nyekundu unaona aibu,kuurudia huu uzi.Naona refa muamala umesoma,kweli nyie hambebwi mnapambana wenyewe.
 
Tatizo kamdomo yaani makolo dah mpka siyo poaa
 
Makandokando ni kitu gani mdau ?...je !,ni tofauti na uchafu huu tunaoushuhudia huko kwa watu wenye meno mafupi ?
 
Hawa mbumbumbu ni wepesi kama pamba,,wakiwa wanabweka kama mbwa yanga anaposhinda uwa tunawachora tu maana michezo yao ndio iyo ya marefa kupewa bahasha,,yanga atomuhurumia mtu ataendelea kupiga utosini alafu tutakutana mwisho wa msimu
 
Tff wapo wameshuhudia refa akiharibu burudani ila sio ya kupanga hersi na mwigulu ya kuachiana match fixing ile ni mbaya sana!
 
Huko ulipo kila ukiangalia kadi nyekundu unaona aibu,kuurudia huu uzi.Naona refa muamala umesoma,kweli nyie hambebwi mnapambana wenyewe.
Matokeo hajapangwa kuachiana kama ya singida na yanga hapo wa kuadhibiwa ni refa kama kafanya kusudi ila game ilikuwa poa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…