Jioni ya leo Namungo dhidi ya Simba ni mechi safi isiyo na makando makando huwezi tabiri mshindi kabla ya mechi

Kiko

Kiko wapi
 
Ukweli hakuna ni hisia za kibinadamu ila ya jana ilikuwa match fixing baina ya klabu mbili!
Sawa naona Azam wamerudia mara tano ila hawakuona kitu,yaani jana haikuwa hisia leo ? Tena ushahidi wa kamera mpaka mtangazaji akaguna........kweli mtu chake.
 
Sawa naona Azam wamerudia mara tano ila hawakuona kitu,yaani jana haikuwa hisia leo ? Tena ushahidi wa kamera mpaka mtangazaji akaguna........kweli mtu chake.
Refa ndio anajua tusubiri ripoti ya kamisaa!
 
Akaulizwe refa sasa hapo simba wanahusikaje sio kuwa Mo kamfuata tajiri wa namungo wapange kikosi dhaifu la hasha!
Kepteni si alimuuliza refa? Kwani hayo maamuzi yamewapa faida wa kina nani? Maamuzi sio ya haki ndio maana watu wanahoji sasa kwenye hoji watu ndio wanahisi mnavyo hisi nyie kwa Singida miamala ilitembea kwa refa,hata tukianzia Azam,Dodoma Jiji na JKT au kosa kuhoji ila nyie ndio mna haki ya kuhoji,hatuja hoji penati, dk nyingi za nyongeza.

Ila sio mbaya na nyie kuamua kutembeza miamala kwa refa,so acha miamala itembee then ubingwa utaamuliwa tukikutana
 
Kama una ushahidi wa miamala imelipwa kwa hundi,cash au mitandao peleka ushahidi takukuru kopy tff muamuzi achukuliwe hatua lakini tulio na uhakika mechi ya yanga na singida ilipangwa tayari taarifa zetu zipo tff na takukuru tutawakilishwa na Mbunge kingu ,jemedari said na kocha uchebe!
 
Hizo taarifa zenu zipo wapi TFF na mmepeleka lini?
 
Subiri pindi uchunguzi utakaponza watu wakiitwa mmoja mmoja!
Uchunguzi gani bongo kuna matukio kibao ya kubebwa na hamna uchunguzi ulio fanyika.Kiemba alizungumza kwenye radio Clouds ,anasema wakiwa wanacheza na nyie maandalizi yake yanakuwa shallow, hata benchi la ufundi hawatilii maanani.Ila wakiwa wanacheza na Yanga maandalizi yake yanakuwa ya hali ya juu.

Hivi unajua hii kauli ya Kiemba tu ingekuwa mbele hajalishi kama ameitoa wakati gani uchunguzi ungeanza,ila kwetu uchunguzi haukufanyika kumbuka huyu source iliyokuwa ndani ya Azam.Akatolea mfano mwengine na Kagera Utd wakati akiwa mchezji,viongozi waliwalaumu benchi la ufundi kwa kupanga kikosi kikali wakati wakicheza na nyie, kumbuka hizi kauli zote walizitoa ndani ya radio na hizi kauli zote kwa nchi iliyo serious na mpira uchunguzi ungeanza.
 
Amri kajibiwa na waliyokuwa viongozi wa azam fc katibu idris na aliyekuwa meneja jemedari saidi ....alipokuwa azam kacheza mechi mbili tu dhidi simba ya kwanza walikwenda sare 1-1 ya pili wakafungwa moja bila wakawapeleka wachezaji wao takukuru kwa uchunguzi kiemba nae ni muongo asiye na kumbu kumbu!
 
Jemedari na Azam lazima wajitetee wao hamna mtu anayekubali kukosea,ndio maana kuna mahakama na mashahidi.

Halafu Social networks sio sehemu za kujitetea,hata Juventus na Everton walijitetea Social networks na press conference, ila badae vyama vyao vya soka kwa kutumia mabaraza yao ya waamuzi na mashahidi wakasikiliza then Juve akashusha daraja na Everton wakakatwa Points. Jemedari na Azam lazima wajitetee sababu kwa wakati huo wao ndio wa husika wa wakati huo ambao Kiemba alikuwa anacheza.
 
Jemedari na Azam lazima wajitetee wao hamna mtu anayekubali kukosea,ndio maana kuna mahakama na mashahidi.
Umesoma nilichoandika ...hawa kujitetea wameweka wazi upotoshaji wa kiemba kwa kudhani hakuna anayejua zaidi yake kumbe watu husika wapo ..kama mchebe alivyosema singida wakatoa maelezo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…