🙈🙈🙈🙈Kuna mda kichwa yako huwa inawaka moto😁😁😁
Mpishi mkuu shikamoo😄😄mkuu hiyo ni mix juice, smoothie au ni tiba asilia..?🤣
MH MI sio mpishiMpishi mkuu shikamoo😄😄
nakaziaKama unaishi vizuri na majirani zako unaona shida gani kwenda wakuazime kwa leo.
Inategemeana na jirani ndugu.Iliwai nitokea enzi izo tumepanga apartment watu wawili Tu.Ile nachomeka Tu blender kil kinachoingia kwenye switch kikakatika.Kwenda kwa jirani.Unajua alichonijibu.Blender ni kitu expensive hawezi niazima ikiharibika siwezi mlipa.Ilibidi nikamwage huo mchanganyiko.Mgongee jirani kwa leo.....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tutaanza na Maombi, ili blender isiharibike tena! Tanga naijua vyema bila Maombi hata "network" inaweza kuwa shida