Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Mkuu, hii kazi niachie mimi, nauli nilipo mimi mpaka Segera, dala dala ni jero tu, boda ni buku tu... 😀😀😀.Hilo limeisha tayari, ni Segera au ni Tanga Mjini? Hapa unaanza kutuvuruga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hii kazi niachie mimi, nauli nilipo mimi mpaka Segera, dala dala ni jero tu, boda ni buku tu... 😀😀😀.Hilo limeisha tayari, ni Segera au ni Tanga Mjini? Hapa unaanza kutuvuruga
Huku mpaka radi zinaua Juzi Kafa mtu Kwa radiTutaanza na Maombi, ili blender isiharibike tena! Tanga naijua vyema bila Maombi hata "network" inaweza kuwa shida
AhsanteMimi nina mashamba Kabuku, kwedikwazu, mkata hadi kwa ludege, nakuja week ijayo, nitakuletea blender mpya mpaka hapo Michungwani.
Kuna mda kichwa yako huwa inawaka moto😁😁😁Pole, fanya uvitwange
Ewaaaaaa hapo SASA! Hao ndio nawaweza mimiHuku mpaka radi zinaua Juzi Kafa mtu Kwa radi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapana, nitampelekea mpya, asante Kwa msaada wako
Nunua Kenwood au Panasonic. Silver crest na wachina wenzake ubora mdogo zinawahi kufa hizo nilizotaja if hauziabuse zinadumu muda mrefu mpaka zife basi inakuwa siku imefika na hata utaona kabisaa maplastic yake yanakuwa yamechoka hapo inakuwa ishakuhudumia vya kutosha. Silver crest na wenzake zinakufa ilihali kitu bado kina upya wake.Hapana Ni Silver crest
Lastborn huyo, MUACHE.You need to grow up. Sio kila changamoto unayopitia lazima uje ulie lie mitandaoni. Sawa ?
Baki tu na nauli yako, tulia kwanza kidogoMkuu, hii kazi niachie mimi, nauli nilipo mimi mpaka Segera, dala dala ni jero tu, boda ni buku tu... 😀😀😀.
Niliipeleka Kwa fundi ikarudi kuitumia ndoivo ikawa inatoa harufu YA kuungua
NishaitupaHata shoti hutoa harufu ya kuungua. Panga kurejea tena kwa fundi. Usichoke bidada.
Kenwood Ni heavy duty pia?Nunua Kenwood au Panasonic. Silver crest na wachina wenzake ubora mdogo zinawahi kufa hizo nilizotaja if hauziabuse zinadumu muda mrefu mpaka zife basi inakuwa siku imefika na hata utaona kabisaa maplastic yake yanakuwa yamechoka hapo inakuwa ishakuhudumia vya kutosha. Silver crest na wenzake zinakufa ilihali kitu bado kina upya wake.
Ngoja anyooshweLastborn huyo, MUACHE.
Nishaitupa
Kenwood Heavy duty zipo ila bei imechangamka kama upo Dar nenda mlimani city au mnazi mmoja cloak tower au shoppers supermarkets au shrejee supermarket au posta SM Megji kati ya haya maduka utapata. Vilevile kuna maduka ya vyombo vya hotels nakumbuka rose garden rose mikocheni, masaki sopco petrol station yalikuwepo hayo maduka huko napo waweza pata pia.Kenw
Kenwood Ni heavy duty pia?
Huyu mpuuzi alitaka kutengeneza sumu, mambo yakaharibika.Sasa mchai mchai Toka lini ukatoa juice
Njoo huku Kilimanjaro. Umeme tumeweka mpaka taa kwenye kila mgomba. Maji mpaka mabanda ya kuku yana bomba lake.Mariah rural gani ina umeme jamani au watumia solar
Shukrani sanaKenwood Heavy duty zipo ila bei imechangamka kama upo Dar nenda mlimani city au mnazi mmoja cloak tower au shoppers supermarkets au shrejee supermarket au posta SM Megji kati ya haya maduka utapata. Vilevile kuna maduka ya vyombo vya hotels nakumbuka rose garden rose mikocheni, masaki sopco petrol station yalikuwepo hayo maduka huko napo waweza pata pia.