Nimeandaa matunda parachich, Tango,Ndizi,passion,mchaichai Na tangawizi Ni juisi yangu pendwa Sana Huu mchanganyiko .
Nikasema niandae zangu baadae nikae nawatch movie huku nashushia juisi yangu....nimeanza kusaga tu Brenda ikaunguaðŸ˜...Yan nimeishiwa pozi...
1. Tafuta fundi inaweza kuwa haijaungua yaweza kuwa ni shoti tu kwenye nyaya ukiwamo waya wa blender.
2. Muhimu usiwahi kujiaminisha imeungua bila kuthibitishwa na fundi mwenye kifaa mahsusi cha kupimia.
3. Tatizo linaweza kuwa dogo tu kama fuse ..