Jioni yangu imekua mbaya ghafla😩😩😩😩😩

Jioni yangu imekua mbaya ghafla😩😩😩😩😩

Nimeandaa matunda parachich, Tango,Ndizi,passion,mchaichai Na tangawizi Ni juisi yangu pendwa Sana Huu mchanganyiko .

Nikasema niandae zangu baadae nikae nawatch movie huku nashushia juisi yangu....nimeanza kusaga tu Brenda ikaungua😭...Yan nimeishiwa pozi...

1. Tafuta fundi inaweza kuwa haijaungua yaweza kuwa ni shoti tu kwenye nyaya ukiwamo waya wa blender.

2. Muhimu usiwahi kujiaminisha imeungua bila kuthibitishwa na fundi mwenye kifaa mahsusi cha kupimia.

3. Tatizo linaweza kuwa dogo tu kama fuse ..
 
Huu uzi kuna mtu anatafutwa anunue brenda apige na kimasihara. Uzi umekaa kidangaji dangaji sana.
 
Niliipeleka Kwa fundi ikarudi kuitumia ndoivo ikawa inatoa harufu YA kuungua
 
Back
Top Bottom